Utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa banda la kupokelea samaki katika soko la kimataifa la samaki lilipo eneo la Katambe Magarini lililojengwa kwa fedha za mfuko wa ndani Halmashauri kiasi cha Tsh. Mil 50 lakamilika kwa 100%. OR TAMISEMI
Nadhani ifike wakati serikali yetu hata kama ina wajinga wengi basi tutumie nafasi yetu kushauri badala ya kukosowa tu.
Mimi si mtaalam wa mambo ya ulinzi lakini naelewa fika nimezaliwa Dar gongo la mboto ilikuwa iko wilaya ya kisarawe ni shamba.
Sasa kuwepo kambi ya JWTZ kwa kipindi kile...
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) la Tanzania, lililoanzishwa kwa lengo mapana la kuboresha upatikanaji wa makazi, pamoja na malengo ya kuhakikisha kila Mtanzania anapata nyumba tena ya bei nafuu. Lakini ni ukweli mchungu kubwa NHC ni shirika ambalo limeshindwa kufikia uwezo wake. Ingawa...
Burj Khalifa, mnara mrefu zaidi duniani, unajulikana kwa urefu wake wa mita 828 na idadi ya sakafu 163. Kwa kuwa ni mnara wa maendeleo mchanganyiko, unajumuisha makazi, hoteli, biashara, ofisi, burudani, maduka, na vituo vya starehe.
The Burj Khalifa Tower ilifunguliwa kwa umma mnamo Januari...
Katikati ya mwezi Machi serikali ya Tanzania ilitangaza kuwa Kampuni ya Uhandisi wa reli ya China (CRCEG) ilishinda zabuni na kupata kandarasi kujenga uwanja mpya wa soka mkoani Arusha, na kusaini makubaliano na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ya Tanzania. Uwanja huu utakuwa ni sehemu ya...
Umenunua kiwanja ukaanza kujenga nyumba from scraatch kwa milioni 100 unakuja kukodisha kwa laki 2 na nusu, hicho kiasi ni ngumu kukupigisha hatua, ni pesa itayokuwa inaishia kwenye bills za mwezi, hapo kumbuka kuna muda nyumba inaweza isiwe na mpangaji ama mpangaji akawa msumbufu,
Ukiweka pesa...
BASHUNGWA ATOA MABATI 519 UJENZI WA BWALO, SERIKALI KUJENGA MABWENI SHULE YA SEKONDARI YA BUGENE - KARAGWE.
Serikali imeahidi kujenga Mabweni mawili pamoja na kukamilisha ujenzi wa bwalo katika Shule ya Sekondari Bugene wilaya ya Karagwe mkoani Kagera ili kuendelea kuboresha mazingira ya...
Wanaukumbi.
Afisa mkuu wa Iran ameonya kuwa Iran inaweza "kupitia upya" mafundisho yake ya nyuklia iwapo itashambuliwa na Israel.
Israel inaendelea kuitishia Iran, tutafikiria kujenga silaha za atomiki'
- Kamanda wa IRGC anayesimamia Ulinzi wa Maeneo ya Nyuklia
"Mapitio ya mafundisho yetu ya...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeikabidhi Kampuni ya TBEA ya nchini China kandarasi ya kuanza ujenzi wa laini ya kusafirisha umeme kutokea Kituo cha kupozea umeme 'Chalinze Substation' mkoani Pwani hadi Dodoma ikigharimu Sh Bilioni 510.
Akizungumzia kandarasi hiyo Aprili 17, 2024 akiwa...
Naomba kuuliza tu!
Hawa wenzetu huwa wanawaza kwa kutumia nini?
Yaani unachimbua barabara kuweka viraka halafu unaiacha na mashiyo hayo pasipo kuyaziba inazidi kuwa mbaya zaidi unapotea!
Sasa kama huna bajeti ya kujenga kwaninj huwa wanachimbua?
Yaani ni sawa na mtu achimbe msingi wa nyumba...
Serikali ya Awamu ya Sita, Chini ya Wizara ya Ujenzi ipo mbioni kujenga Daraja la Kisasa na la Kudumu kwenye mto wa Mitomoni, kijiji cha mapotopoto ambalo litaunganisha Wilaya ya Songea Vijijini na Nyasa Mkoani Ruvuma.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa leo tarehe 16 Aprili...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa tathmini ya athari ya miundombinu ya barabara nchini imebaini hadi kufikia jana Aprili 14, 2024 kuwa Wizara ya Ujenzi inahitaji kiasi cha Shilingi Bilioni 500 ili kuwezesha urejeshaji miundombinu ya barabara na madaraja katika hali yake ya...
Watumishi wa Mungu tunaendelea kumwombe Dr Samia Suluhu Hassan ili Mwenyezi Mungu amjalie neema ya kuyafahamu haya na ampe nguvu na ujasiri wa kuyatekeleza kwa Uwezo wa Allah.
2030 sio mbali Dr Samia kwa vyovyotw vile hatakuwa tena Rais wa Tanzania baada ya hapo.
Je tutamkumbuka kwa lipi...
Mkataba umesainiwa kwa vishindo na vigelegele ili uwanja wa ndege wa Mwanza uanze kujenga kwa kile kilichosemwa na Mkurugenzi wa TAA kwa dharura iliyopo hapo uwanjani kuboresha huduma.
Magreda yakasombwa site, Msukuma akasifu, Hamis Tabasamu akatabasamu na kusifu na wananchi waliokusanywa...
Kwanza kabisa ni vyema unaposoma huu uzi upanue uelewe wako na kiwango chako cha kuyaangalia mambo kwa mapana na marefu.
Kwa miaka miwili mpaka mitatu sasa kumeibuka wimbi kubwa la vijana wachekeshaji (comedian) kila kona ya Tanzania. Ukiwakuta vijana wana camera mtaani lazima tu watakuwa...
Habari wanajamvi,
Natumaini kuwa tuko salama katika shughuli zetu siku ya leo. Hongera kwa kufanya sehemu yako katika kusukuma gurudumu la maisha na la taifa pia. Nchi hii inakutegemea (endelea kupigana, iko siku).
Leo nimeleta mada ambayo imekuwa ikinisumbua kichwa kwa muda mrefu. Endapo wewe...
Habar wakuu huku ndani,
Hapa kijijini kwetu Moshi kuna eneo zuri potential kwa ajili ya biashara hasa ya duka la reja reja, hardware au site ya tofali za block wamiliki wa hili eneo ni chama cha ushirika wa kahawa KNCU.
Changamoto iliyopo ni kuwa hamna frame yeyote ya kufanya hiyo biashara ni...
Unapokuwa kiongozi na ukashindwa kujishusha mpaka chini kwa wale unaowaongoza, kwa kisingizio kwamba wapo viongozi husika katika kila eneo, maana yake unatengeneza picha na unatuma ujumbe kwa wale walioko chini yako kwamba nao wanao watu chini yao hivyo hawapaswi kuwajibika!
Mfano kiongozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.