kujifunza

  1. Ripoti ya hesabu ya kura katika maeneo 15 yametoka,kuna la kujifunza!

    Jumla ya masanduku 45 yamekaguliwa katika,dosari zimejitokeza katika masanduku yote ya maeneo 6 kama yalivyobainishwa na upande wa Raila Odinga.
  2. Nimekutana na JPM akiongelea kodi, wale wa tozo najua mpo

    Ukiwa na hasira na anayeongea tafadhali hamia burundi niache nipambane na tozo.
  3. Simba na Yanga zinapaswa kujifunza zaidi fitna za mechi za kimataifa, tulichokiona Sudan ni trailer tu, picha lenyewe linakuja

    Kwanza nikiri mechi ya Jana kati ya Simba na Al hilal sikuangalia Kwa lakini kutokana na mazingira nilikuwa sehemu za kugonga vyombo. Lakini nimejifunza kitu Watanzania tuna ukarimu wa kiboya sana, tunawakarimu wageni wakija kwetu lakini tukienda kwao ni tofauti. Kwa mechi kama ya Jana tena...
  4. Saikolojia ya kujifunza kuhusu tabia za binadamu

    1. Ikiwa mtu amekukasirikia na ukatulia, anaweza kuwa na hasira zaidi. Lakini hatakuwa na jinsi zaidi ya kujionea aibu. 2. Ikiwa mtu anaendelea kuzungumza na huwezi kuingia kwenye mazungumzo,jifanye unaangusha kitu chini (ufunguo, kalamu, nk), jifanye unainama ili kukichukua na kuanza...
  5. Aziz Ki atumie muda mwingi kujifunza kwa Chama

    Mwamba alihusika katika magoli yote manne ya jana. Huyo mchezaji wenu atambue hapa Tanzania kuna mwamba mmoja tu. Kwa hiyo achukue muda mwingi ajifunze vitu kwa Mwamba wa Lusaka.
  6. Moloko wa Yanga SC ana mengi ya kujifunza kutoka Asha Djafar wa Simba Queens

    Ukitizama uchezaji wa hawa wachezaji wawili utagundua kuwa Jesus Moloko kaachwa mbali sana na Asha Djafar
  7. M

    Simba SC nashauri hizi Mechi zenu tatu za Kirafiki za Kipaumbele kiwe ni Kujiimarisha Kiufundi, Kujifunza na siyo Kushinda

    Kwanza nitoe Pongezi nyingi kwa Uongozi wa Simba SC kwa kuamua kutafuta Mechi Tatu Kubwa za Kirafiki za Kimataifa hasa katika Kipindi hiki cha Mapumziko cha Wiki Mbili. Tarehe 28 August 2022 Simba SC itacheza na Wanaojua Mpira Asante Kotoko huko nchini Sudan. Tarehe 31 August 2022 Simba SC...
  8. L

    Nchi za Magharibi zinapaswa kujifunza kutoka China jinsi ya kushirikiana na nchi za Afrika

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken hivi karibuni aliahidi kwamba Marekani inapanga kutumia dola bilioni 200 kati ya mpango wa miundombinu wa dola bilioni 600 uliotangazwa hapo awali na G7 kupambana na "nafasi ya uongozi ya China barani Afrika na nchi nyingine maskini." Mwezi...
  9. Ukweli mweusi wa kujifunza kwenye maisha

    1. Watu pekee wanaokupenda kwa dhati pasipo mategemeo ni wazazi/walezi wako. 2. Mapenzi ni hadithi.Pasipo sababu , hakuna rafiki. 3. Cheka na kila mtu lakini usimuamini mtu. 4. Kila mtu husema Ukweli usemwe lakini hakuna anayependa kuusikia ukweli huo. 5. Pesa ina sehemu yenye nguvu kwenye...
  10. Kenya 2022 Hakika hakuna cha kujifunza kutoka katika Uchaguzi Mkuu wa Kenya

    Nikiwa napitia katika mitandao mbalimbali ya kijamii nchini niliona baadhi ya wanaharakati, wafuasi na viongozi wa vyama vya upinzani wakidai kuwa Tanzania inapaswa kujifunza kutoka uchaguzi Mkuu wa Kenya. Wakidai kuwa uchaguzi huo ni huru na wa haki. Kwa ufuatiliaji nilioufanya katika...
  11. Watanzania tuchutame, Uchaguzi Mkuu nchini Kenya umetuacha uchi

    Sina la kusema, nimepigwa butwaa. Najiuliza kama ule nilioushuhudia nchini Tanzania mwaka 2020 ulikuwa ni uchaguzi kweli. Tukubali tusikubali, huu uchaguzi nchini Kenya umetuvua nguo na kutuacha uchi wa mnyama na kama bado tunazo tuchutame. Nafuatilia matokeo yanavyotiririka kwenye TV na...
  12. L

    Afrika inaweza kujifunza nini kutokana na uzoefu wa China?

    Na Umaru Napoleon Koroma, Katibu mkuu wa Chama cha Umma cha Sierra Leone Kwenye hotuba iliyotolewa na Makhtar Diop, Naibu Mkuu wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika, alisema mwaka 1978 China ilikuwa miongoni mwa nchi maskini zaidi duniani. Kuanzia mwaka huo, mapato halisi ya kila mtu wa China...
  13. Programming language: Wapi tunakwama kujifunza?

    Wakuu Habari zenu? Kujifunza programming language wapi tunakwama kama taifa. Kuna kipindi na mimi niliamua kujaribu kujifunga ili nianze kutengeneza app ya android, Rafiki yangu akaniambia nitumie android studio nikainstall android studio kwenye computer nikajaribu kutengeneza weather forecast...
  14. Jamii wameiga(Kujifunza) nini kutoka kwako?

    Kuna jambo lolote unahisi katika familia, Wilaya, mkoa, Taifa au Dunia kwa Ujumla lilinzia kwako ndipo watu wakaliendeleza katika jamiii liwe baya au zuri au la kuvutia au kukera lakini wewe ndio muasisi. Tuthibitishie hapa!! Kwa mfano kuna maneno yalitamkwa na wanasiasa na wanamuziki miaka...
  15. Wababe wa vita walioogopwa sana na wazungu lakini maisha yao yakaishia pabaya, Putin anapaswa kujifunza kwao

    1. Napoleon Bonaparte Huyu aliasisi mapinduzi ya Ufaransa dhidi ya ufalme lakini baada ya kutawala hakuridhika, alitaka kutawala ulaya yote na alifanikiwa kwa kiasi kasoro Uingereza. Pamoja na kuogopwa na wababe wenzie bado walifanikiwa kumtoa kwa nguvu na kumshika kama kuku. Alihamishwa kabisa...
  16. Wapi naweza kujifunza lugha ya KIARABU

    Wakuu nimepata fursa ya biashara ya kuuza Mkaa katika nchi wanazozungumza Kiarabu Egypt, Oman, Bahrain, Kingdom of Saudi Arabia, UAE na Qatar. Ili kurahisisha mawasiliano nimeona nijifunze lugha pendwa. Wapi naweza kujifunza kwa Dar es Salaam? Gharama sio tatizo. **Walimu wawe professional...
  17. R

    Tabia hizi mbili za Hayati Magufuli zilifuta Mazuri yake Mengi sana, Watanzania kuna la kujifunza hapa

    Habari wana JF, kwenye hii dunia hakuna mtu alie kamilika nna maana kila mtu ana tabia au vijitabia ambavyo watu wengine hawavipendi au vinakufanya mtu kufanya ufanya mambo isivyo. Hivyo Pia JPM pamoja na mazuri yake yote yanayomfanya aonekana ni Rais bora mpaka alikuwa na tabia mbili kubwa...
  18. Hayati Rais Magufuli: Kiongozi wa mfano Karne ya 21

    Afrika na Dunia nzima inakiri kuwa Dr. JPM (Hayati) ndie kiongozi bora na mzalendo kwlikweli kuwahi kutokea katika karne ya ishirini na moja. Ni rais pekee aliyethubutu kutoa maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watanzania. Katika awamu yake, alithubutu kukingia kifua raslimali za watanzania...
  19. Je, unatatizo au unataka kujifunza?

    Katika kipindi ambacho technology iko Kasi pia fursa nyingi zinafunguka kwa vijana wanaoitaji kujiajiri. Saan agency tunakupa mafunzo yatakayo kufanya uweze kujiajiri mwenyewe. 1. Tutakufundisha matatizo mbalimbali yanayoikumba computer au simu yako upande wa software na hardware na jinsi gani...
  20. Baada ya Kenya kupiga marufuku LPG kutoka Tanzania, kuna kitu cha kujifunza kama Taifa

    Mwaka jana mwezi wa tano mama yetu kipenzi alifunga safari kwenda huko kwa jirani kufuja pesa za umma kwa kisingizio cha kurudisha demokrasia na uhusiano wa biashara waliodhani uliharibiwa na mtangulizi wake. Moja ya vitu vilivyotumika kuonesha mafanikio ya ziara hiyo ni Ujenzi wa bomba la gesi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…