kujitolea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bodi ya Maji ya Uroki Bomang'ombe wilayani Hai yajenga Choo kipya baada ya uchakavu wa Choo cha wanafunzi katika Shule ya Msingi Kiselu

    Uchakavu wa Choo cha wanafunzi katika Shule ya Msingi Kiselu iliyopo Kata ya Machame Uroki Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro uliyokuwa ukihatarisha usalama wa wananfunzi katika shule hiyo kutokana na choo hicho kuwa na dalili za kutitia umepatiwa ufumbuzi baada ya Bodi ya Maji ya Uroki...
  2. L

    Ushauri katika kujitolea zahanati au kituo cha afya

    Wakubwa habarini za majukumu, na pia nawapa hongera katika kipindi hiki cha MFUNGO MTAKATIFU( ISLAM& ROMAN CATHOLIC) Mimi ni kijana( me) 25 OLD ambaye nimehitimu ngazi ya diploma in clinical medicine 2024. Hivyo naomba naombeni ushauri katika kada hii hususani kujitolea (volunteer) Katika...
  3. S

    Ninatafuta Fursa ya Kujitolea kama Mwanafunzi wa Mwaka wa Mwisho katika Sayansi ya Kompyuta [Uchakataji wa Data, Machine Learning na Akili Mnemba]

    Kwa majina naitwa Alfred Baraka Rugoye, mwanafunzi wa mwaka wa mwisho katika shahada ya Sayansi ya Kompyuta. Nimejikita zaidi katika uchakataji na uchanganuzi wa data, ujifunzaji wa mashine (Machine Learning), na akili mnemba (Artificial Intelligence). Ninatafuta fursa ya kufanya mazoezi ya kile...
  4. Natafuta Nafasi ya Kujifunza na Kufanya Mazoezi ya Kazi katika Fani ya Business IT

    Husika na mada tajwa hapo juu. Mimi ni mhitimu mwenye shahada ya Business Information Technology. Natafuta nafasi yoyote ambapo naweza kujifunza kazi kutokana na taaluma yangu. Ingawa nimejifunza mambo mengi nikiwa chuoni, natamani kupata sehemu ya kufanya mazoezi ya kazi, hasa katika upande wa...
  5. LGE2024 Kazi za serikali za mitaa ni kazi za kujitolea chadema waambiwe ukweli kiwa kama huna kazi huwezi pata

    Unaambiwa kigezo kikuu cha kazi za serkali za mitaa ni kujitolea kama huna kazi isiombe utakuwa huna vigezo wao ndio wakiomba walikataliwa ukosa vigezo wanaanza kulia lia tu. Chama kisichofuata hata ishu ndogo kama hizi kitaweza kweli kusimamia mambo ya maana ya siri na nyeti kitaifa na...
  6. Naomba kazi ya kujitolea

    Wakuu habari natafuta nafasi ya kujitolea katika kampuni yoyote au biashara yoyote inayoqeza nipatia uzoefu wa kazi hata kama hawalipi natafuta uzoefu katika fani ya uhasibu. Nipo temeke dar es salaam na shahada ya uhasibu na teknolojia ya habari.
  7. Kujitolea hakufai kua kigezo cha taifa watu kupewa ajira; Badala yake serikali iongeze ajira kutaondoa tatizo

    Hoja ya Kujitolea Kama Kigezo cha Ajira Serikalini: Je, Ni Suluhisho au Tatizo? Hivi karibuni, Spika wa Bunge aligusia suala la kuwazingatia wale waliojitolea kama kigezo cha kuajiriwa katika nafasi za serikali. Ingawa nia ya serikali ni kusaidia kupunguza ukosefu wa ajira kwa vijana, hatua...
  8. Kujitolea huku unasoma chuo

    Je inawezekana kwa mwanafunzi wa chuo anayesoma akawa anajitolea kufanya kazi kwenye kampuni au taasisi nje na chuo anachosoma Nini maoni yako na utaratibu wake ukoje, na ushuhuda kutoka kwa watu waliowahi kufanya hivyo kipindi wapo chuo. Asante
  9. Sishauri kwa kijana ambaye amesoma kwenda kujitolea JKT

    Habar zenu Sababu zangu zinanzo nifanya nikate kwakijana mwenyewe elimu degree au diploma au masters kwenda jeshini yaani kujitolea Kwaza, unaenda kuua career yako mwenyewe uwezi kuwa competent katika taaluma yako ambayo umesomea kwasababu kule elimu inawekwa pembeni nguvu inatumika so that...
  10. Wito wa Kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa Kujitolea Mwaka 2024. Kazi kwenu!

    Wazee niaje Jkt yazindua goma jipya 2024, mchakato wa maombi kuanza mosi 2024, oktoba. Mshindwe ninyi tu!
  11. Asanteni wadau lile wazo letu la kibiashara ya (hotspot manage) linaendelea vizuri ila kwa sasa tunahitaji muekezaji mwenye mtaji kati ya 5m to 10m

    Sina budi kumshukuru muumba kwa kutupatia neema zote kubwa kwa ndogo ndogo Naomba nisikuchoshe mdau katika jukwaa hili tuende moja kwa moja kwenye kusudio husika la uzi huu Iko hivi miezi kadhaa iliyopita tuliweza kuleta wazo kupitia uzi huu hapa chini unaweza kusoma kupata wazo au...
  12. Nishaurini kuhusu kujitolea halmashauri

    Habarini wakuu,nimeomba nafasi ya kujitolea kwenye halmashauri,nashukuru Mungu nimepata nafasi ila nawaza kwa huu mfumo wa kila ajira kupitia utumishi,vipi kujitolea kunaweza kuwa na tija nje ya kupata uzoefu?maana kwa zamani ukijitolea halmashauri kuna viajira km utendaji unaweza kupata vipi...
  13. Maisha ya Chuo na Kujitolea

    Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam ni Moja kati ya Vyuo nchini Tanzania ambacho unaweza kusoma na kujitolea kufanya kazi pia. Kwa wale waliosoma UDSM-SJMC watakuwa wananielewa kuwa kutokana na ile Televisheni,Radio na Gazeti wanafunzi wanaojitolea kufanya kazi hapo huwa wanapata kipato...
  14. W

    Natafuta nafasi ya kazi ya kuajiriwa au kujitolea. Nina Stashahada ya Uhasibu

    Habari zenu, Mimi ni kijana mwenye elimu ya Stashahada ya Uhasibu. Ninatafuta nafasi ya kazi ya kujitolea au kuajiriwa ofisi yoyote ndani ya Tanzania. Namba yangu: 0759285908
  15. Natafuta nafasi ya kujitolea, nina shahada ya Uandishi wa Habari

    Habari, Mimi ni mvulana natafuta nafasi ya kujitolea shirika lolote Nina degree ya Journalism nipo mkoa wa Iringa
  16. Kujitolea kwenye kampuni hasa viwanda

    Habari waungwana naamini kuna wengi sana walio nitangulia naamini nitapata mawazo chanya, kwa sasa nipo DSM ila nataka nitume maombi ya kujitolea kwnye viwanda vilivyopo Mbeya, Iringa, Njombe, na sehemu nyingine makampuni ya Coca, Mo, Asas, ili niweze kujitolea nina imani ya kuwa wanaweza...
  17. Kujitolea kisiwe kigezo cha kupata ajira za serikali

    AJira ni haki ya kila Mtanzania na kigezo cha kwamba wanaojitolea ndo wapate kipaumbele. Kujitolea huo ni utashi binafsi na kujitolea itachangia kiasi kikubwa kwa serikali kuto toa ajira wakijua kuwa kuna watu wanafanya kazi bure. Serikali inatakiwa kufanya kazi yake ya kuwatafutia kazi vijana...
  18. G

    SoC04 Programu ya Walimu wa Kujitolea ya Ndani (Local Volunteer Teacher Program)

    Maelezo ya Mfumo:Programu hii inalenga kuhamasisha na kutumia nguvu kazi ya ndani, ikiwa ni pamoja na wahitimu wa vyuo vikuu, walimu wastaafu, na wataalamu wengine wenye elimu na ujuzi wa kufundisha ili kujitolea kama walimu kwa muda maalum katika shule za msingi na sekondari...
  19. Kuhusi nafasi za kujitolea

    Napenda kuwasilisha kama inavyojieleza je BOT taasisi huwaga haitoi nafasi kwa vijana wa kujitolea au ??? Wenye ujuzi wa hili msaada
  20. Msajili wa Jumuiya za Kiraia: Makundi ya WhatsApp kusajiliwa Kisheria kwa TZS 200,000/-

    Msajili wa Jumuiya za Kiraia katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Kihampa, amesema kampeni ya usajili wa jumuiya zisizo za kidini iliyoanza mkoani Dar es Salaam, inahusisha vyama au vikundi vikiwamo vinavyoendeshwa kwa njia ya mtandao wa WhatsApp. Amesisitiza kuwa ni muhimu vyama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…