Habari za wakati huu wana jf
Kwa Mara nyingine nimekuja mbele yenu nikiwa natafuta sehemu yoyote ili ya kujitolea anglau niweze kupata uzoefu
Nina shahada ya sosholojia nani mkazi wa mkoa wa mwanza
Ahsante
Habari za wakati huu wanajamii?
Mimi ni muuguzi, jinsia Me, umri miaka 25, naishi Bunju ,Dar es salaam nina leseni ya uuguzi, nina uzoefu wa kazi hii ya uuguzi wa mwaka mmoja.
Naomba connection ya kazi kwenye hospitali, au kwenye mashirika ya Afya ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali au...
A motivated, adaptive, and responsible ndustrial engineering maagement graduate seeking a position within which i will utilize my proffesional and technical skills.
I have recently graduate at Mzumbe university taking Bsc in industrial engineering management and i currently looking to apply my...
Kazi za kujitolea ni kazi ambazo mtu au watu wanaamua kufanya kwa ajili ya lengo la kutoa msaada katika jamii. Misaada hiyo inaweza ikawa katika mfumo kifedha, mawazo,elimu na nguvukazi, kulingana na mahitaji ya jamii inayosaidiwa.
Kuna baadhi ya watu huwa wanahisi kuwa kazi za kujitolea ni...
Tatizo la ajira linazidi kuwa janga kubwa sana afrika na dunia na soko la ajira zitazidi kuwa baya zaidi miaka kadhaa baadaye baada ya dunia kuendelea kuamini juu teknolojia ya roboti kuliko binadamu katika kufanya kazi kwa weledi , kulalamika tu kwamba tumesoma na hakuna ajira huku tukiendelea...
Habari JF,
Hakuna kitu kinaumiza kama msomi na mwalimu aliyesomea na kufuzu mafunzo ya ualimu na kwenda kufanya kazi katika shule za serkali kwa kujitolea bure
Hakika hii haikubaliki, ni unyonyaji wa kiwango kisichoelezeka. Mtu kufanya kazi bure ndani ya nchi hii ni kinyume na haki za binadamu...
Habari wana JF I hope mpoa.
Mimi mi muhitimu wa diploma ya account mwaka jana nilijaribu kuomba mkopo nienndelee na bachelor ila nilikosa. Naomba kama mwenye kunisaidia nipate sehemu hata ya kujishikiza hata kujitolea ili mradi nisikae nyumbani huku nikijaribu mwaka huu kuomba tena mkopo vyeti...
Habari Wana JF,
Kwa Jina Naitwa Steven Naishi Ilala Dar es salaaam namiaka 24 Pia ni Kijana mchapa Kazi mwaminifu kwa kila majukumu nayofanya, Katika swala langu la kielimu nimehitimu level zote ikiwemo O level, Advanced level na kwa sasa ni kijana naehitimu elimu yang yangu chuoni nikiwa...
Kumekuwa na upendeleo wa dhahiri katika ajira za ualimu kwa siku za hivi karibuni. Utakuta imetangazwa ajira ya waalimu wa hesabu na fizikia lakini majina yakitoka unakuta wa Biology wamo!
Utakuta imetangazwa waalimu wanaotakiwa ni wale waliomaliza masomo mwisho 2017, lakini unakuta waliomaliza...
Ikiwa serikali inasema kipaumbele kwenye ajira 6000 zilizotangazwa na Rais, Samia kuwa ni walimu waliojitolea, mkuu wa mkoa wa Katavi bw. Juma Homera, amewahi kupiga marufuku walimu hao kufundisha katika mkoa wake na kudai Serikali inaajiri walimu kila siku.
Msikilize kwenye video hapa chini...
Ningependa niweke wazi na Watanzania wakielewe, sijawahi kuomba kuwa mwenyekiti kwa mtu yeyote, mwaka 2004 nilikuwa Mwenyekiti baada ya wajumbe wa kamati kuu na wazee wa Chadema kunipendekeza kutokana na historia na commitment yangu ya chama.
Nilianza harakati za kuijenga Chadema baada ya kuona...
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea nipo njiani kufungua NGO yangu ambayo itakuwa ina deal na maswala ya ELIMU YA TANZANIA
Kazi tutakazokuwa tunafanya ni kama ifuatavyo:
1. Kufundisha mashuleni kwa mfumo wa club
2. Kuandaa matamasha mbali mbali ya kielimu mashuleni
3. Kutoa mafunzo kwa...
Kwanini usijitolee kufanya kazi zako.
Kwanini usijitolee kutafuta hata madini wewe mwenyewe.
Kwanini usijitolee hata kutoa elimu kwa wengine wewe mwenyewe.
Kwanini usijitolee hata kufundisha wengine wewe mwenyewe.
Mimi baada ya kumaliza chuo nilijitolea mwenyewe kufundisha vijana table...
Habari wakuu,
Naitwa Juma naishi Mwanza umri ni miaka 21, nina taaluma ya ukemia upande wa madini {mineral processing engineer} na elimu yangu ni basic certificate in mineral processing na uwezo wa kukabiliana na udongo wenye changamoto nyingi, pia uwezo wa kusimamia usalama kazini (OSHA...
Habari zenu wana jf
Natafuta kazi yeyote ya kujitolea kama messenger unitume popote nitaenda mahala popote nitaenda kwa gharama nafuu tuu
Ukinilipa hata elfu moja au mbili kwa siku ntashukuru ili mradi nipate hela ya kula
Kimakazi nipo dar njoo inbox
Mwalimu wa KUJITOLEA wa somo la English Language anahitajika. (Posho kwa mwezi ni 150,000/= tu.)
Sifa kubwa
1. Awe ni jinsi ya KE.
2. Elimu ya Stashahada au Shahada ya Elimu.
NB: Shule ipo Ifakara Morogoro
Mawasiliano. 0621538913.
KARIBU SANA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.