Wanabodi nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kazi iendelee..
Kwanza nampongeza mh. raisi kwa maono marefu katika katika eneo la utumishi wa umma hasa kwenye kada ya elimu pamoja na ualimu wenyewe. Raisi ameona mbali sana katika ualimu. Katika kongamano la wanawake...
Habari wapendwa poleni na majukum. Naomba kujitolea kujifuza nipo tayari kuwekeza MDA AKILI NA NGUVU.
Mimi ni kijana wa kiume miaka 28 mkazi wa dar Elimu kidato cha nne.
Tadhali wapendwa naomba kujitolea kujifunza sichagui fani au kazi ya kujifunza ila naomba pale nitakapo jifunzia ndio nije...
Habari za wapendwa.
Mimi ni kijana wa kitanzania ninaishi Dar jinsia (me), elimu (shahada ya teknolojia na mawasiliano) nimekuja humu ndani kutafuta connection yoyote ya Kazi/au sehemu ya kujitolea kwenye taasisi yoyote iliyo na uhitaji wa mtu mwenye fani yangu.
Nipo tayari kujitolea sehemu...
imagine kuna kampuni unaifahamu na hakuna mtu unayemfahamu pale lakini unataka kuomba nafasi angalau ya kujitolea ili upate angalau uzoefu hebu tupeane mbinu unaanzaje kufika na kujitambulisha, na ukifika haswa unatakiwa umuulizie nani ambaye atakusimamia mpka upate hiyo nafasi tuu
maana...
Habari Wadau.
Naomba kufungua mazungumzo haya kuzungumzia Suala la Kazi za Kujitolea na Umuhimu wake sambamba na madhara yake unapochukulia kwa wepesi nafasi hizi pindi unapozipata. (Kutokana na uzi huu kutokuwa maandiko matakatifu, ninaweza kurekebishwa, unaweza kutoa mchango chanya na kutoa...
Habarini wana JF, Mimi ni moja kati ya vijana ambao tumebahatika Kumaliza chuo mwaka huu 2021/2022 sina budi kumshukuru Mungu kwa hilo. Nimesoma Bsc. Human Nutrition, chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo (SUA). Shahada hiyo imejikita kwenye masuala yafuatayo;
1. Nutritional Assessment and...
Kazi IPO. Mzee Putin kakabwa Koo ndani ya Ukraine, Sasa anaomba msaada wa watu wanaotaka kujitolea kwenda kupigana nchini Ukraine.
Russian President Vladimir Putin has called for foreign volunteers to be able to fight against Ukrainian forces.
Speaking at a Russian security council meeting, he...
Hali inazidi kuwa ngumu kwa Urusi kadiri wanavyoshindwa kuiteka Kiev, maelfu ya makomando wazoefu wa kivita wanazidi kutiririka Ukraine, ukizingatiia pia silaha nyingi zinapitishwa kuingia Ukraine kutokea kwenye mataifa ya NATO.
Putin anazidi kuwa frustrated na hivi vita vitamsumbua muda mrefu...
Nikiwa kama mkazi wa sayari hii tuliyo rehemishwa na Mwenyezi Mungu tuikalie kwa haki, amani na usawa, nina laani uvamizi wa Russia 🇷🇺 nchini Ukraine 🇺🇦.
Siishii tu kulaani na kukemea uvamizi huo, bali kwa hiari yangu na ridhaa ya familia yangu, tukiwa kama watetezi wa wanyonge, wanaoonewa...
Naitwa Aliko Musa. Ninaishi Mbeya mjini. Mimi ni mwandishi na mshauri mbobezi wa masuala ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo.
Ninaandika makala kupitia mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO BLOG. Kupitia mtandao huu ninawashirikisha watu mbinu bora za kuwekeza kwenye ardhi na majengo ili kujenga...
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA KUJITOLEA.
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya inatangaza nafasi 45 za ajira ya kujitolea katika
Kada mbalimbali kama ifuatavyo;
I. Afisa Ugavi Daraja la Il (supplies Officer Il)- Nafasi 1
Awe wenye Shahada/Stashahada ya juu ya ununuzi/Ugavi kutoka katika chuo...
Mimi nimeitimu chuo miaka 10 iliyopita yaan 2012 niliamini kujitolea ndio njia sahihi ya kuzingatiwa katika ajira nikajitolea kuanzia 2013 adi 2018 katika taasisi mbalimbali za umma kwa uaminifu mkubwa akika nimejifunza mengi makubwa mahusiano kazin nk unaachiwa ofis ya umma unafanya kaz zote as...
Habari za leo wakuu,
Mimi nina nyumba Maji ya chai, Kijiji Cha Imbaseny, Arumeru, Arusha.
Leo nikiwa huku kijiini viongozi wa Kijiji wanapita kutangaza watu watoke wakajenge madarasa kwa nguvu.
Kumbuka leo ni siku ya kazi kwa waajiriwa.
Ukienda kazini usipoonekana kwenye ujenzi wa madarasa...
Nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mama!
Kwanza nikupongeze kwa Mafanikio makubwa yanayoonekana kwenye suala la kuwahamisha Machinga na kuwapeleka maeneo rasmi. Na furaha nchi sasa imeanza kupendeza hasa majiji yetu! Nimepita Posta mpya leo na Kweli nimeiona Posta niliyoijua...
Natanguliza shukrani za dhati kwa wanajukwaa Mimi ni mhitimu wa clinical medicine mwaka 2021
Naomba nafasi ya kujitolea kwenye dispensary au kituo Cha afya popote inchini kikubwa tu nipate Malazi na chakula🙏
Nipo shinyanga
Mawasiliano 0746532392
Wote wanafanana, wale waliosoma nje na wale waliosoma hapahapa nyumbani - wote wana uwezo mdogo sana.
Huwa wanakuwa na uwezo mkubwa wanapokuwa twitter, baada ya kugoogle sheria mtandaoni na kutweet, lakini wakiwa mahakani ni lazima wateja wao walale mahabusu au wapate kifungo kabisa.
Lema...
Waungwana nimekuja kwenu, anayeweza anisaidie nipate kazi ya kujitolea nipo tayari kufanya kazi sehem yoyote ile, ilimradi ni kuwa na sehem yakunihifadhi na kula tu
🙏🙏🙏
Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita madaktari wameonyesha umuhimu mkubwa katika jamii yetu, kwani wao walikuwa mstari wa mbele kwenye mapambano dhidi ya janga la COVID-19. Tunakumbuka mwanzoni wakati janga hili linaanza, baadhi ya madaktari walilazimika kufanya kazi kwa muda mrefu, na kuna...
Habari za asubuhi ndugu!
Mimi ni kijana wa kitanzania ninaishi Dar jinsia (me), elimu (shahada ya teknolojia na mawasiliano) nimekuja humu ndani kutafuta connection yoyote ya Kazi/au sehemu ya kujitolea kwenye taasisi yoyote iliyo na uhitaji wa mtu mwenye fani yangu.
Nipo tayari kujitolea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.