Habari,
Kujitolea katika Serikalini au kwenye private kwa sasa imekuwa ni ugonjwa mkubwa sana nchini.
Baada ya Uhaba mkubwa wa ajira nchini, kumekuwa na wimbi la Hali ya mashirika,taasisi za umma na binafsi kuhitaji watu wa kujitolea kwenye sehemu za kazi.
Kiuhalisia kujitolea sio jambo baya...
Habari wakuu.
Mimi ni mwanachuo wa DIT mwaka wa kwanza,ngazi ya Ordinary Diploma in Electrical engineering.
Katika kipindi hiki cha likizo ya wiki mbili,nilikuwa naomba connection kama nitaweza kupata sehemu nikajiegeza kwa ajili ya kupata ujuzi nje ya workshops.
Sehemu iwe yoyote...
Habari za leo? Kama kuna mwalimu wa hesabu mwenye uwezo wa kufundisha vizuri o-level na A-level na angependa kujitolea naomba ani-pm. Tutamlipa posho isiyozidi laki mbili na nusu kwa mwezi. Akihitaji kulipwa hiyo posho kwa wiki ni sawa pia(250,000/4). Utapata kifungua kinywa, chakula cha mchana...
Hili sakata kwa tuliowasikiliza viongozi wa mkoa ni wazi walikiri kuwa kulikuwa na uhaba wa madeski shuleni Sinde, viongozi hao walisema siku husika walikuwa wakigawa madeski japo haohao wanasema shule haikuwa na uhaba wa madeski! Hayo madeski walikuwa wakigawa ni ya ziada?
Viongozi wa mkoa...
Kata ya Kiriba ya Jimbo la Musoma Vijijini imepata Sekondari ya pili ili kutatua matatizo ya umbali mrefu unaotembewa na mwanafunzi wa Kata hiyo kwenda masomoni Kiriba Sekondari.
Vilevile, Shule hiyo mpya, iitwayo Bwai Sekondari, itapunguza mirundikano ya wanafunzi kwenye madarasa ya Kiriba...
Habari Wananzonde jukwaani
Nimesajili shirika NGO mwaka 2020 ina usajili wa kufanya kazi mikoa yote Tanzania bara (Usajili wa kitaifa) lakini Hadi leo sijafanikiwa kupata fund Mahali popote .
Nimejifanyia tathmini nimegundua kwamba Sina watu wenye weledi kwenye hii NGO. Kwani 99% ya wanachama...
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi amewataka vijana kujenga tabia ya kujitolea katika masuala ya kijamii kwa lengo la kusaidia wengine badala ya kusubiri kuajiriwa.
Amesema kilio cha ukosefu wa ajira kwa vijana kitaondoka endapo kundi...
Taarifa kutoka Ofisi ya Rais imesema, Baraza la Mawaziri limekubali kuwa fedha zao za malipo ya mwezi mmoja, zitachangia katika hatua za serikali kusaidia Wakenya wanaokabiliwa na njaa kutokana na ukame
Pia ilibainisha kutokubaliana na bei za juu za mahindi hivyo kuahidi msaada wa soko kwa...
Kwa kweli, kwa kweli, jamani, kwa hili la kukata umeme Kariakoo tangu asubuhi hadi muda huu umeme haujarudi kwa maeneo mengi ya Kariakoo, binafsi nipo tayari kutoa usafiri hadi Milembe, na nitalipa gharama zote za matibabu, this is Insanity!!!!!!!
Habari zenu wanajamii,
Mimi ni kijana wa kitanzania, nina miaka 24, mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es salaam. Nimesomea shahada ya sanaa katika isimu na fasihi (Bachelor of Arts in linguistics and literature). Mbali na elimu niliyosomea nina ujuzi na computer applications.
Natafuta nafasi ya...
Kama Wahenga wetu walivyosema'Ndege anayetaka kutua kwenye bua la mtama ale sharti Kwanza atue kwenye mti wa pembeni ili aone vizuri bua lenye mtama mzuri'.
Kujitolea ni Hali ya kufanya shughuli Fulani bila kutanguliza malipo au maslahi binafsi.
Mwalimu mmoja wa shule moja ya Msingi...
Habari za saizi jamani samahanini mimi ni mwanamke miaka 24, nimemaliza chuo Bachelor of Business Adminstration mwaka huu.
Natafuta internship au kujitoleapopote kampuni au kiwandani nipo tayari kuanza muda wowote ata sasa napatikana Dar es Salaam
Salama wandugu,
Hii nchi mbona double standard sana.
Waliwafanyia interview watu ili kuwapa kazi sasa kama walikuwa hawana hela za kuwalipa hao maafisa wangetangaza ajira za kujitolea kuonyesha uzalendo.
Ingefaa zaidi uzalendo waanze wabunge na mawaziri wasilipwe posho ili haki itendeke...
Naombeni ushauri, nina mwaka sasa tangu nimalize chuo, sina kazi, sijapata hata mtaji tu wa kuanzisha biashara. Nimepata sehemu ya kujitolea lakini ni mbali na ninapoishi lazima upande gari kwenda na kurudi na ukifika stand kuelekea kazini unapanda boda tena, sijala na nimeambiwa No malipo...
Nimetoka ofisi moja asubuh kutafuta kazi ya kujitolea wameniambia hakuna imagine kazi ya kufanya bure hakuna vitu bei juu wap tunaelekea hali ni ngumu mno hela haina thaman kabisa soon tutaelewana .
Habar zenu ndugu!!
Mimi ni kijana wa miaka 23 Nina Diploma ya land survey nilikuwa naomba kama kuna kampuni yoyote inayojihusisha na shughuli za land survey nahitaji kupata mahali hata pa kujitolea.
Namba yangu 0699239068
Miaka kadhaa iliyopita nilipata kazi kwenye shirika moja la maendeleo ya jamii.
Katika shirika ilo nilipelekwa kijijini sana uko mkoani Tabora ambapo niliyekua nalipwa mshahara ni mimi pekeangu huku wanachama wengine wa shirika wakifanya kazi ya kujitolea na kupokea tu posho ndogondogo.
Asee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.