Naombeni ushauri, nina mwaka sasa tangu nimalize chuo, sina kazi, sijapata hata mtaji tu wa kuanzisha biashara. Nimepata sehemu ya kujitolea lakini ni mbali na ninapoishi lazima upande gari kwenda na kurudi na ukifika stand kuelekea kazini unapanda boda tena, sijala na nimeambiwa No malipo...