kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba kujua chanzo cha mto Ruvu

    Nasikia mto Ruvu unaanzia mbali huko, ninaomba nipate elimu ya mto huu. Kwamba maeneo unayopita tofauti ni majina mto ni ule ule. Msaada wajuzi wa mambo. Katka picha
  2. K

    Mwenye kujua kuhusu uhamisho wa muda, naoma msaada

    Moja kwa moja kwenye mada naomba kujua stahiki za mtumishi anapokuwa " UHAMISHO WA MUDA" ambao nafikiri ni siku 90 au 120 kama sijakosea. Mimi Niko uhamisho wa muda hivyo naomba kujua haki zangu na ikiwezekana wajuzi niwekee ni sheria za kiutumishi zinasimamia jambo hili.Naona boss ananichezea...
  3. Naomba kujua tofauti ya maneno haya ya kisiasa

    Wataalamu wa masuala ya kiasiasa na hata wa lugha ya kiswahili naomba kujua tofauti ya maneno haya. Makamu, Naibu na msaidizi. Kuna makamu wa Rais, Naibu katibu, na Katibu msaidizi. Kwa Nini isiwe naibu mwenyekiti, au makamu wa katibu, Naibu mwenyekiti? Kwa kweli sijui kwa Nini Yako hivi...
  4. Wajuzi wa bei ya naomba kujua bei za mafuta huko duniani

    Mimi sio mtaalamu wa masoko yoyote ya dunia, nimekuja hapa kuuliza bei za mafuta katika soko la dunia ni bei gani? Dhumuni la kuuliza bei ni kutaka kulinganisha bei ya hapa tanzania ni sawa kwa uwiano na bei za dunia? Kuna komenti moja nimesoma humu jamaa kasema bei ya pipa moja iran na urusi...
  5. O

    Msaada nataka kujua kwanini mbegu zinarudisha nje baada ya kusex na wife mi kama 15 mpaka sekunde 40 au dk1

    Mke wangu mbegu nyingi humtoka baada ya kusex naye nashindwa kuelewa maana bado hatujapata mtoto na mimi ndo mtoa bikira karibia mwaka sasa Embu nipeni shule maana hasikii maumivu yoyote kama nilivyo ambiwa kuwa kunaweza kukawa na kitu kama kidole kina zuia mbegu kwenda mbele
  6. U

    Mkataba wa Bandari: Mbunge Aida Khenani akiri kupelekwa Dubai, lakini mpaka wanarudi hakujua walikwenda kufanya nini

    Hakika shetani ana trick za ajabu sana anapotaka kutenda au anapotenda uovu wake kwa kuwatumia watu waovu hususani viongozi wenye dhamana kubwa za kuongoza nchi na wananchi wa nchi yetu.. Hebu twende pamoja, soma na sikiliza hii👇👇👇 Mkataba wa DP WORLD ni zaidi ya mkataba tu! • Kumbe kulikuwa...
  7. Kuna Mtanzania natamani kujua kama Kiingereza chake cha Kuongea ni Kizuri kama kile anachokisoma kwa Kujiamini na Mikogo kwa Kuandikiwa?

    Ngoja nitafute sasa Video Clips zake nione akiwa na Wazungu (Wenye Lugha yao hii ya Kiingereza) huongea nao kwa Kujiamini na Mikogo aliyonayo kama akiwa anasoma katika Karatasi kwa Kuandikiwa na huenda wanaoijua hiyo Lugha (Kiingereza) zaidi yake. Binafsi nijiweke tu Wazi kuwa sijui Kiingereza...
  8. Ukimya ni silaha ya hatari anayotumia Samia aidha kwa kujua au kutokujua

    Silence is polite, silence gets people’s attention, further more, silence at the wrong time could be crushing weakness. Tunaweza kufahamu ujinga wa mtu kwa kutazama anachokiongea. Tunaweza kufahamu huyu mtu anawaza Nini au alikuwa anawaza nini kwa kusikiliza anachokiongea. Hivyo mtu akikaa...
  9. FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

    Mabingwa watetezi Yanga SC wanaanza mbio za kulitetea taji la NBC kwa kumenyana na KMC. Mechi hii itapigwa kuanzia saa 1:00 katika Dimba la Azam Complex Katika mechi 10 walizokutana kwenye ligi kuu tangu wapande daraja msimu wa 2018/19, KMC wameshinda mara moja pekee dhidi ya Yanga, huku sare...
  10. Naomba kujua Rais Samia anasifiwa kwa ukimya upi?

    Jambo la kushangaza ni kwamba watu wanageuza mada walianza na kuupiga mwingi . Mara mtulivu. Sasa anapongezwa kwa ukimya . Upi huo maana bila kuvuja mkataba wa bandar haya tungeyajuaje si alikiwa kimya pia. Lakini tunajua alivyo ng'aka pale ndugai aliposema nchi inauzwa ..mama hana majibu...
  11. S

    Logical thinking: CCM bila kujua, inapitia mapigo kama ya Farao, na lipo moja litakalokuja kuwaangusha(Pigo la 10)

    Leo naomba niwaambie CCM kuwa kwa muda sasa, wamekuwa wakipata misukosuko inayotishia uhai wa CCM na CCM kuendelea kubaki madarakani huku wao wakiwa hawaelewi. Wasichokijua CCM nii kuwa, mitikisiko wanayoipitia, ni sawa na yale mapigo 10 alioyopitia Farao aliekuwa Mtawala wa Misri kabla ya pigo...
  12. Wakristo hawahitaji Sensa kujua idadi Yao. Kwa sababu Ukristo wenyewe ni Hesabu

    WAKRISTO HAWAHITAJI SENSA KUJUA IDADI YAO. KWA SABABU UKRISTO WENYEWE NI HESABU. Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli. Moja ya mafundisho makuu katika Ukristo ni fundisho la Hesabu. Ukristo hauwezi kukamilika bila hesabu Kwa sababu hesabu ni sehemu ya Ukristo. Jukumu kuu la Ukristo Duniani ni...
  13. Naomba kujua Kimantiki kwanini anayejitambulisha hivi anaonekana Kakosea na wa hivi Kapatia?

    Naitwa Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura GENTAMYCINE (anayejitambulisha hivi ndiyo inadaiwa yuko sahihi) na kapatia. Majina yangu ni Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura GENTAMYCINE (anayejitambulisha hivi inadaiwa kuwa amekosea) anaharibu Lugha. Haya Mangwena (Magwiji na...
  14. Naomba msaada kujua duka wanalouza mota bei nzuri kwa Dar

    Wanajf natumai mpo poa, Naomba anayejua duka ambalo naweza pata mota kwa bei nzuri ukiachana na autosokoni. Nawasilisha kwa msaada.
  15. H

    Nchi za umoja wa ECOWAS zinapata wapi jeuri ya kuwa na jeshi kuvamia nchi nyingine?

    Salama humu🙂 Anaejua uchumi was hizi nchi za ecowas atujuze jamani au gdp. Ninavyojua Mimi nchi za afrika zote ni maskini na wananchi wake wengi wanaishi maisha ya kifukara sana has vijijini. Ni nchi ombaomba na zinaishi kwa kutegemea misaada kutoka nchi zilizoendelea. Sasa kinachoniajabisha...
  16. D

    Kumbe mapenzi yana mambo! Kusachiana mifukoni na kupekuliana simu kimya kimya pasipo kujua, na hamkuniambia?

    Aisee nyie walimwengu mna siri! Kumbe mapenzi mnayoturingishia kuna na mambo kupekuana kimya kimya mifukoni na kupekenyuliana simu pasipo kujua! Mwanzo nilizani ni pombe inanichanganya kumbe huyu mwanamke huwa ananipekua bwana usiku (kuchunguza) lakini haniibii bali hii tabia imenishangaza...
  17. S

    Naombeni kujua mtu akikwambia nimeenda sehemu maalamu kufanya kazi maalumu ina maana gani?

    kuna mtu wangu wa karibu kuna muda anasafiri ukimuuliza ulikua wapi anasema kufanya kazi maalumu na sehemu maalumu hapo ndo sielewagi kabisa..natamani anaeelewa haya mambo anielezee
  18. R

    Naomba kujua kuhusu huduma za M-PESA na mitandao mingine nikiwa nje ya nchi

    Habari wakuu. Naomba kujua kama nikienda nje ya Africa nikitumia huduma ya international roaming kama bado naweza kufanya miamala ya kutuma na kupokea pesa kwenye simu. Shukran!
  19. Raila Odinga: Rais Samia alikuja Kenya kutusuluhisha mgogoro lakini Rais Ruto akaingia mitini

    Akizungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya, Waziri Mkuu wa Zamani wa Nchi hiyo na Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga amesema jitihada za kutafuta suluhu ya mgogoro unaoendelea kulitafuna taifa zilifanywa sio tu na jamii wa Wakenya peke yao bali hata Matifa jirani ambapo...
  20. Nilivyojikuta kwenye penzi la mwanamke mwenye mshikaji wake bila kujua

    Hellow wanajf muwazima, Kwanza samahani sina uandishi mzuri ila twende kazi tutaelewana. Kabla sijakutana na huyu mwanamke nilikuwa na mpenzi wangu tuliekuwa tuna mahusiano ya kama miezi mitano so tunapendana tu pasi na shida. Changamoto. Ilianzia pale nilipohama kituo cha kazi nakuahamia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…