Nasikia mto Ruvu unaanzia mbali huko, ninaomba nipate elimu ya mto huu. Kwamba maeneo unayopita tofauti ni majina mto ni ule ule. Msaada wajuzi wa mambo.
Katka picha
Moja kwa moja kwenye mada naomba kujua stahiki za mtumishi anapokuwa " UHAMISHO WA MUDA" ambao nafikiri ni siku 90 au 120 kama sijakosea.
Mimi Niko uhamisho wa muda hivyo naomba kujua haki zangu na ikiwezekana wajuzi niwekee ni sheria za kiutumishi zinasimamia jambo hili.Naona boss ananichezea...
Wataalamu wa masuala ya kiasiasa na hata wa lugha ya kiswahili naomba kujua tofauti ya maneno haya.
Makamu, Naibu na msaidizi.
Kuna makamu wa Rais, Naibu katibu, na Katibu msaidizi.
Kwa Nini isiwe naibu mwenyekiti, au makamu wa katibu, Naibu mwenyekiti?
Kwa kweli sijui kwa Nini Yako hivi...
Mimi sio mtaalamu wa masoko yoyote ya dunia, nimekuja hapa kuuliza bei za mafuta katika soko la dunia ni bei gani?
Dhumuni la kuuliza bei ni kutaka kulinganisha bei ya hapa tanzania ni sawa kwa uwiano na bei za dunia?
Kuna komenti moja nimesoma humu jamaa kasema bei ya pipa moja iran na urusi...
Mke wangu mbegu nyingi humtoka baada ya kusex naye nashindwa kuelewa maana bado hatujapata mtoto na mimi ndo mtoa bikira karibia mwaka sasa
Embu nipeni shule maana hasikii maumivu yoyote kama nilivyo ambiwa kuwa kunaweza kukawa na kitu kama kidole kina zuia mbegu kwenda mbele
Hakika shetani ana trick za ajabu sana anapotaka kutenda au anapotenda uovu wake kwa kuwatumia watu waovu hususani viongozi wenye dhamana kubwa za kuongoza nchi na wananchi wa nchi yetu..
Hebu twende pamoja, soma na sikiliza hii👇👇👇
Mkataba wa DP WORLD ni zaidi ya mkataba tu!
• Kumbe kulikuwa...
Ngoja nitafute sasa Video Clips zake nione akiwa na Wazungu (Wenye Lugha yao hii ya Kiingereza) huongea nao kwa Kujiamini na Mikogo aliyonayo kama akiwa anasoma katika Karatasi kwa Kuandikiwa na huenda wanaoijua hiyo Lugha (Kiingereza) zaidi yake.
Binafsi nijiweke tu Wazi kuwa sijui Kiingereza...
Silence is polite, silence gets people’s attention, further more, silence at the wrong time could be crushing weakness.
Tunaweza kufahamu ujinga wa mtu kwa kutazama anachokiongea. Tunaweza kufahamu huyu mtu anawaza Nini au alikuwa anawaza nini kwa kusikiliza anachokiongea.
Hivyo mtu akikaa...
Mabingwa watetezi Yanga SC wanaanza mbio za kulitetea taji la NBC kwa kumenyana na KMC.
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 1:00 katika Dimba la Azam Complex
Katika mechi 10 walizokutana kwenye ligi kuu tangu wapande daraja msimu wa 2018/19, KMC wameshinda mara moja pekee dhidi ya Yanga, huku sare...
Jambo la kushangaza ni kwamba watu wanageuza mada walianza na kuupiga mwingi . Mara mtulivu.
Sasa anapongezwa kwa ukimya . Upi huo maana bila kuvuja mkataba wa bandar haya tungeyajuaje si alikiwa kimya pia.
Lakini tunajua alivyo ng'aka pale ndugai aliposema nchi inauzwa ..mama hana majibu...
Leo naomba niwaambie CCM kuwa kwa muda sasa, wamekuwa wakipata misukosuko inayotishia uhai wa CCM na CCM kuendelea kubaki madarakani huku wao wakiwa hawaelewi. Wasichokijua CCM nii kuwa, mitikisiko wanayoipitia, ni sawa na yale mapigo 10 alioyopitia Farao aliekuwa Mtawala wa Misri kabla ya pigo...
WAKRISTO HAWAHITAJI SENSA KUJUA IDADI YAO. KWA SABABU UKRISTO WENYEWE NI HESABU.
Anaandika, Robert Heriel.
Mtibeli.
Moja ya mafundisho makuu katika Ukristo ni fundisho la Hesabu. Ukristo hauwezi kukamilika bila hesabu Kwa sababu hesabu ni sehemu ya Ukristo.
Jukumu kuu la Ukristo Duniani ni...
Naitwa Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura GENTAMYCINE (anayejitambulisha hivi ndiyo inadaiwa yuko sahihi) na kapatia.
Majina yangu ni Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura GENTAMYCINE (anayejitambulisha hivi inadaiwa kuwa amekosea) anaharibu Lugha.
Haya Mangwena (Magwiji na...
Salama humu🙂
Anaejua uchumi was hizi nchi za ecowas atujuze jamani au gdp.
Ninavyojua Mimi nchi za afrika zote ni maskini na wananchi wake wengi wanaishi maisha ya kifukara sana has vijijini.
Ni nchi ombaomba na zinaishi kwa kutegemea misaada kutoka nchi zilizoendelea.
Sasa kinachoniajabisha...
Aisee nyie walimwengu mna siri!
Kumbe mapenzi mnayoturingishia kuna na mambo kupekuana kimya kimya mifukoni na kupekenyuliana simu pasipo kujua!
Mwanzo nilizani ni pombe inanichanganya kumbe huyu mwanamke huwa ananipekua bwana usiku (kuchunguza) lakini haniibii bali hii tabia
imenishangaza...
kuna mtu wangu wa karibu kuna muda anasafiri ukimuuliza ulikua wapi anasema kufanya kazi maalumu na sehemu maalumu hapo ndo sielewagi kabisa..natamani anaeelewa haya mambo anielezee
Habari wakuu.
Naomba kujua kama nikienda nje ya Africa nikitumia huduma ya international roaming kama bado naweza kufanya miamala ya kutuma na kupokea pesa kwenye simu. Shukran!
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya, Waziri Mkuu wa Zamani wa Nchi hiyo na Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga amesema jitihada za kutafuta suluhu ya mgogoro unaoendelea kulitafuna taifa zilifanywa sio tu na jamii wa Wakenya peke yao bali hata Matifa jirani ambapo...
akataa
gani
kenya
kimya
kodi
kujua
kukutana
kutumia
maana
maandamano
mbili
mgogoro
nchi
odinga
raila
raila odinga
rais
rais samia
raisi
ruto
samia
tanzania
wiki
wiki mbili
Hellow wanajf muwazima, Kwanza samahani sina uandishi mzuri ila twende kazi tutaelewana.
Kabla sijakutana na huyu mwanamke nilikuwa na mpenzi wangu tuliekuwa tuna mahusiano ya kama miezi mitano so tunapendana tu pasi na shida. Changamoto. Ilianzia pale nilipohama kituo cha kazi nakuahamia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.