Habari wa ndugu,
Napenda kupata maarifa zaidi kwenye ulimaji wa minazi, hasa kibiashara.
1. Wapi napata mbegu nzuri za kisasa
2. Utayarishaji shamba?
3. Muda gani wa kupanda, na namna gani nzuri.
4. Kwa ekari moja inaapendekezwa miti mingapi?
Na habari nyingine muhimu.
karibuni
Ndiyo maana mambo yanajiendea tu ili mradi liende!
Wanachokiamua huko hata kama wanajua kina maumivu makali kwa wananchi, wao wanapitisha tu!
Ajali zinatokea, wao ndiyo kwanza wanakuja na viti wakae kuona watu wanavyohangaika pindi ajali ikitokea!
Tukio hili Watanzania kote waliko tumekuwa...
Wataalamu na wajuvi wa magari,naomba mwenye kujua kuhusu hizi gari kwenye maeneo haya yafuatayo:
1.comfortability yake.
2.fuel consumption
3.Availability of spare part zake.
4.Durability
5.Stability yake.
6.Changamoto zake.
na mengine mengi unayoyajua kuhusu chuma hii.
Asanteni sana
Kila mtanzania mwenye kulitakia mema taifa lake alichanga kidijitali ili Chadema wawe vizuri.
Sasa mbona wanalia kuwa wana magumu kiasi cha kutamani ruzuku kupitia mgongo wa Mdee na wenzake?
Wale wapenzi wa muziki wa Congo watakua sio wageni wa Petit/Little Reagan. Bwana mdogo aliesherehesha albamu ya mwanamuziki wa Congo B. Bula Ponderation 8 ya mwaka 1999/2000.
Kwenye hiyo albamu ya Ponderation 8, na wimbo wa Ponderation 8 ambao ndio ulibeba jina la albamu, dogo Little Reagan...
Mwamba kama mnavyomuona unaweza fika benki wakakuachia kiti umalizie kuhesabu pesa.
Hana longo longo
Njoo na mpinzani unayeweza kudhani atamtoa kwenye (low price high value 💪character)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.