kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Superbug

    Naomba kujua ubora na udhaifu wa gari za Toyota town hiace au panya buku

    Wana jf nataka ninunue hii gari naomba kuijua A-Z ubora wake madhaifu yake na bei zake. Asanteni.
  2. May Day

    Baadhi ya maneno ya matusi ambayo jamii hutumia kwa kujua au bila kujua

    Kumekuwa na mtindo kwenye Jamii kugeuza maneno yenye mlengo wa ki matusi kuwa kama sentensi au misemo rasmi na halali kuitumia kwenye maongezi ya kawaida. Na kwa isivyo bahati kwa utitiri huu wa vyombo vya habari imekuwa ni rahisi sana kueneza misemo au mneno yenye ukakasi au matusi hata kama...
  3. Bzero

    MSAADA: Ni kozi gani ya kusoma chuo ili kujua mambo ya graphics design na motion?

    Nahitaji kujua kozi inayohusiana na graphics designing na motion graphics chuon, ni course ipi naweza kwenda kuisoma kwa wanaofaham?!
  4. M

    Zitto Kabwe adaiwa kutupiwa lawama na viongozi ACT Wazalendo kwa kushindwa kuikosoa Serikali

    Zitto ametupiwa lawama na baadhi ya viongozi wenzake ndani ya ACT Wazalendo kwa kile walichoeleza kuwa pamoja na Nchi kuingia gizani kwa ukosefu wa umeme, amekuwa kimya kuzungumza matatizo yanayowakabili wananchi kama alivyokuwa kinara kuikosoa Serikali ya awamu ya Tano.
  5. official__pius

    Je, naruhusiwa kuhama chuo?

    Naomba kujua utaratibu wa kuhama chuo kwa ngazi ya diploma (Vyuo vya Afya) Nilikuwa na paper ya sup na nilishaimaliza. Je, naruhusiwa kuhama chuo?
  6. Billionaire wa Betting

    MSAADA: Naomba kama naweza kupata gari 0 kilometers au kuagiziwa

    Wakuu heshima kwenu, Naomba kufahamu authorized dealers au hata waagizaji wa magari kutoka USA kwa hapa Bongo.
  7. Side Makini Entertainer

    Kipi ni kigumu zaidi kati ya kuweka rekodi na kuvunja rekodi?

    Wakuu kama kichwa cha uzi kinachoeleza najiuliza je ipi ina thamani kubwa na inaugumu zaidi kuliko kingine kati ya Kuweka rekodi na kuvunja rekodi!!!?
  8. willpower

    Tafakari: Miezi 9 ya mahusiano na mke wa mtu pasipo kujua

    Miaka kadhaa nyuma, asubuhi siku ya jumapili, niliamshwa kwa kelele zisizo za kawaida, watu kadhaa walikuwa wakigonga mlango, japo nilikuwa chumbani lakini ugongaji ule wa mlango haukuwa wa kawaida. Nikaamka na kukutana na watu wanne, mzee mmoja, vijana wawili wakiwa na askari. Swali lilikuwa...
  9. NetMaster

    Unajiona unapendwa kisa umewekwa Profile picture Whatsapp na kila mtu anaiona? Ijue mbinu chafu ya kuwaingiza kingi wawili bila wao kujua

    Aisha ana wapenzi wawili, Moja wao ni Ally na huyu ndie boyfirend wake wa tangu kitambo na anampa penzi moto moto. Wapili ni Jose, Kijana flani yupo Taasisi flani nzito ama mfanya biashara mwenye mkwanja mrefu, kijana wa totoz, Aisha yupo kwajili ya kukusanya mtaji tu hapo, siku akiachwa awe...
  10. B

    Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

    JF, Kwa heshima na taadhima ningependa kujua Nabii Mwamposa amefikaje fikaje hapo alipo na namna Mungu anavyoendelea kumtumia. Nadhani ni muhimu watumishi Hawa wawe wanatuwekea historia zao ili kuweka mazingira halisi ya mahusiano yao na Mungu wetu kabla ya kufikia hatua hiyo...wengine utakuta...
  11. M

    Wakuu naomba kujua mshahara wa Lead generator kwa bank ya NBC

    Wakuu naomba kujua mshahara wa Lead generator kwa bank ya NBC
  12. JF Member

    Ukitaka kujua Rushwa inafanyaje kazi, angalia Nape na Makamba wanavyochaguliwa huko Dodoma

    Licha ya Nape kushindwa kabisa kwenye bando na anwani za makazi, na January kufeli kabisa kwenye umeme, uashangaa wanavyoenda kuchaguliwa huko kamati kuu! Rushwa ni mbaya ila inawaneemesha hawa vijana.
  13. kayeja jr

    Zifahamu hatua halisi za kutoa gari kwenye Meli na bandarini

    Katika mfululizo wa makala za bandari, leo tunakuletea utaratibu unaotumika kuhudumia shehena ya magari hatua kwa hatua katika bandari za TPA, kuanzia meli inapoingia bandarini, gari linavyoteremshwa kutoka melini na linavyopokewa bandarini, gari linavyotoka bandarini hadi mteja kukabidhiwa gari...
  14. B

    Nasumbuka sana wakuu mwenye kujua Tiba ya vidonda vya tumbo anijuze

    Nitangulize salam kwanza kwa ndugu wote wana jamii forum, kama kichwa cha Habari hapo juu kinavoeleza, ninasumbuliwa na vidonda vya tumbo huu mwaka wa 6 naomba kwa yoyote anayefaham dawa au ameshatumia dawa amepona anifahamishe na mimi niondokane na hiii karaha, , nipo mwanza, natanguliza...
  15. Allen Kilewella

    Mwenye kujua tafsiri ya maneno haya kwa Kiingereza anasaidie.

    1. Ubwabwa 2. Wali 3. Pilau 4. Uji wa mapande 5. Mchele 6. Mpunga 7. Chuya 8. Pumba = Rice bran. By Kinyungu
  16. S

    Ukitaka kujua ni kwa kiasi watu wanawaamini Makamba na Tanesco angalia hii picha!

  17. S

    Naomba Kujua Gharama Mbalimbali za Ujenzi

    Kwema Wakuu, Nataka nianze ujenzi, ila ujenzi wenyewe ni wa pole pole. Nimepanga nitenge walau 250,000/= monthly iingie kwenye ujenzi. Msingi nimeshaweka bado kunyanyua boma tu. Waiojenga msingi niliwatoa mikoani hivyo wako na bei reasonable ila kuwalaza gesti ilini cost. Nimepanga ninunue...
  18. Msolid1990

    Tambua namna ya kujua uhalali wa mileage ya gari unalonunua Yard au kwa mtu

    Wakuu Habari, Leo nimeona nielezee kidogo kwa namna gani unaweza kujua uhalali wa kilometer zinazosoma kwenye gari unalotaka kununua either mkononi kwa mtu ama yard. Hii njia haitaweza kuapply kwa magari yote kwa sababu mbali mbali ikiwemo kwamba kipindi fulani hapa nyuma magari yalikuwa...
  19. Mwanangikolo

    Naomba msaada kujua ni wapi ntapata matangazo ya mpira wa kombe la dunia akitangaza Peter Dlury

    Kama kichwa kinavyojieleza wakuu uyu jamaa uwa namkubal sana sasa nahtaj kujua ni vipi ntapata channel ambayo anatangaza yeye. Namkubali sana peter druly hasa ile misemo yake. Nmejaribu kumfatilia supersport ila naona kombe la dunia hili hasikiki uko dstv
  20. CIA mgumu

    Naomba msaada wa kujua ni vifaa gani vinahitajika katika kuanzisha huduma hii ya hosting Tanzania

    Wadau wa jukwa hili naombeni kujua ni vifaa gani muhimu vinahitajika kuanzisha sever kwa ajili ya hosting ? Ukitoa kuwa na Generator la automatic ambalo ni muhimu kuwepo na Internet ya nguvu either na solar power kwa kujilinda ikitokea tatizo lolote kwenye vyanzo vya umeme. Je ni vitu gani...
Back
Top Bottom