kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mdukuzi

    Kujua kupiga Saxophone kulivyonifanya nichakate wanawake wa kila aina,

    Achana na magitaa kila mtu anapiga,qchana na vinanda. Unataka kuchakata wanawake wakila aina jifunze saxophone Mimi nakilaani hiki kifaa maana kimenifirisi kupitia wanawake. Kuna rafiki yake na mzee wangu alikuwa kwenye brass band ya JWTZ miaka ya nyuma akaacha saxophone yake nyumbani akaenda...
  2. McCollum

    Naomba kujua ugonjwa wa nguruwe wadogo kuwa na haja kubwa iliyoambatana na maji (kuhara)

    Habari kwa wanajukwaa. Kwa leo naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Naulizia je huu unaweza kuwa ugonjwa gani hasa kwa vinguruwe vidogo kutoa haja kubwa ambayo inakuwa kama uji uji mwepesi na mara nyingi wanakosa hata nguvu ya kutembea. Ninaulizia ili niweze kuujua ugonjwa huu na kuwapatia...
  3. Sea Beast

    Unakuwa na mahusiano na mwanamke mpaka unawaza kuoa unakuja kujua baadae kuwa ulikuwa unaingia chaka, weka kisa

    Habari wazee, nimesoma baadhi ya visa vya mahusiano, kama una kisa chako uliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke mpaka kufikiria kwenda kutoa barua hili mfunge ndoa lakini ukaja kugundua kumbe ulikuwa unapotea kumbe sio wife material Kama ulivyodhani. Ulimpenda na kuanza kufikiria ndoa akaja...
  4. DR HAYA LAND

    Je, kuna watu walizaliwa ili waje kutatuliwa matatizo yao na watu wengine?

    Ninapotazama majira ya leo kitu nashangaa ni maisha ya mtu mweusi, 90% lengo lake la kuzaliwa ni kuja kuujaza ulimwengu na sio kuendeleza Diunia. Yaani Maisha yetu watu weusi hayana maana! Yaani unasoma, unamaliza unaajiriwa au unajiajiri, unaoa au kuolewa, unajenga nyumba na kununua gari...
  5. brave Mwafrika

    Naombeni kujua ni vyuo gani vya serikali apa Tanzania vinatoa kozi ya physiotherapy ngazi ya Diploma

    Naombeni kujua ni vyuo gani vya serikali apa Tanzania vinatoa kozi ya physiotherapy ngazi ya Diploma Naombeni msaada ndugu zangu
  6. JF Member

    Siasa za Kulambisha Asali zinaangamiza Taifa bila kujua

    Amini naawaambieni mambo ni Magumu mno huku kitaa lakini tuliozoea kutusemea wameshalamba asali na hawajui wafanye nini. Wametugeuka sasa wanaona kazi zetu za bodaboda na uvuvi ni za hovyo. Bei za vitu zimepanda sana na Serikali imelala. Wapambe wanahakikisha Rais hajui mambo ya nchi...
  7. kikoozi

    Naomba kujua zilipo Ofisi za Posta katika Mkoa wa Pwani wilaya ya Kibaha

    Habari ndugu zangu, mwenye kujua zilipo Ofisi za Posta katika Mkoa wa Pwani Wilaya ya Kibaha (Posta wanapotoa huduma wa kupokea na kutuma barua, na documnet zingine). Msaada tafadhali ndugu zangu.
  8. mdukuzi

    Nikiwa mdogo niliwahi kucheza draft na Jakaya Kikwete pale Magomeni bila kujua kuwa ni Waziri wa Fedha:Viongozi kuweni wanyenyekevu

    Sikumbuki mwaka ila nakumbuka nilikuwa mdogo ,tulitoka na mzee wangu mitaa ya kariakoo tukaelekea mitaa ya Magomeni Mapipa mtaa sikumbuki ila ni karibu na Shibam. Kufika pale kulikuwa na vijana watoto wamjini hakuna aliyezidi miaka 50,walikuwawakicheza draft,bao,zumna na kunywa kahawa Vijana...
  9. M

    Jeshi la Polisi kuchunguza Askari anayedaiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Kamishna Hamad alitaja sababu tatu za kutokukubaliana na tendo hilo ndani ya polisi; kinyume cha sheria, maadili na linalomwondolea ukakamavu askari. Kutokana na mkasa huo, Kamishna Hamad aliyeonekana kukereka nalo, aliiambia Nipashe kwamba ofisi yake ina mpango maalum wa kuwasaka askari wake...
  10. LA7

    Watu kuuziwa simu za mkopo bila kujua

    Ndugu ukinunua Simu hasa simu za smart phone kumekuwa na wimbi kubwa LA watu kuuziwa au kununua Simu huku akiwa hawajui kuwa ni za kulipia baada ya wiki au siku kadhaa Simu inalokiwa huku wakishindwa wafanyeje. nyaje?
  11. Infinite_Kiumeni

    Wanaume wengi wameharibu mahusiano yao bila kujua kwa kufanya makosa haya

    Ni muhimu kujua makosa ili usiyarudie/usiyafanye. Ukishaondoa makosa, kinachobaki ni vitu vizuri. Pia kuna makosa yatakayomfanya mwanamke wako kupoteza mvuto kwako. Ataanza kujitenga nawe. Nawe utaanza kulazimisha penzi mwisho wa siku anakublock, anakunyima penzi au anakuchunia kabisa. Hivyo...
  12. benzemah

    Uteuzi: Rais Samia amteua Nehemia Mchechu kuwa Msajili Hazina

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- 1. Amemteua Bw. Nehemia Kyando Mchechu, kuwa Msajili wa Hazina. Kabla ya uteuzi huo Bw. Mchechu alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Bw. Mchechu anachukua nafasi ya Bw...
  13. Mkanaani

    Naomba kujua bei ya gold kwa gram kwa hii pete na hereni zake inaweza kuwa sh. ngapi?

    Habari zenu wakuu, naombeni msaada, nataka kuuza hizi hereni na pete ni vya gold ila sijui chochote kuhusiana na bei naogopa nisije pata mteja nikataja bei kubwa nikachekwa au nikataja ndogo nikajinyonya. Msaada kwa wataalam wa mambo ya grams za gold na bei zake wanisaidie bei kwa gm. Mf...
  14. T

    Vita na mafisadi na wauza madawa ni kukiendea kifo?

    Binadamu wote ni jasiri! Hata mimi na wewe, sote ni majasiri na wakati mwingine vile viwango vyetu vya uvumilivu vinapokoma, nafsi na miili yetu hufika ukomo wa kuona maumivu kufaa kuvumilika tena, na hatimaye hujikinahi na kuona sawa tu kwa lolote! Na hapo mtu hukubali hata kukabiliana na kifo...
  15. Nyendo

    Ni imani gani potofu uliiamini kwa muda mrefu halafu ukaja kujua si kweli?

    Dhana potofu ni imani zinazojengeka kwenye jamii ambazo si za kweli. Dhana hizi hurithishwa kwa vizazi na watoto hufahamishwa tangu wakiwa na umri mdogo. Mfano wa dhana potofu ni ugonjwa wa mabusha "Hydrocele" kusababishwa na unywaji wa maji ya madafu. Je, imani ipi potofu unaijua kwenye jamii...
  16. G

    NAOMBA KUJUA TOFAUTI ZA KOZI ZA MASTERS ZIFUATAZO.

    Habari wana JF Kuna kozi nataka kusoma ila naomba ushauri wenu, nijue tofauti zake kwanza na ipi bora, kuna MSc in PROJECT PLAANING AND MANAGEMENT inatolewa IAA, BBA in PROJECT MANAGEMENT inatolewa TIA na Msc in PROJECT PLANNING, MONITORING AND EVALUATION inatolewa IRDP. Naombeni maoni ili...
  17. Superbug

    Ukitaka kujua nguvu na ushawishi wa Urusi waangalie Wagner Group

    Russia kwà maana ya Urusi ni dude kubwa duniani very powerful and influencial tunadanganywa sana na western media kwà kuidogosha Urusi. Hebu waangalie Wagner. Wanatoa kichapo Ukraine wanatoa kichapo afrika magharibi wanatoa kichapo Kongo DRC. Huo ni mkono wa kushoto wa Putin kwà maana ya urusi...
  18. Infinite_Kiumeni

    Jinsi ya kumpa mwanamke zawadi siku ya Valentine kwa kujua hatua mliyopo

    Zawadi yako lazima iwe na uzito na itoke kwa moyo mmoja. Wanaume wengi hutoa zawadi kwa wanawake ili kuomba msamaha au ili apendwe au ili amshawishi mwanamke awe naye kimapenzi, hii hupunguza nguvu ya zawadi. Mwanamke atapokea zawadi yako na kukushukuru. Ili zawadi yako iwe na uzito kwanza...
  19. Benjamin10

    Nahitaji kujua formula za kucheza draft

    Wakuu habari za usiku.. Naomba niende kwenye swali moja kwa moja. Mimi nimetokea kuupenda sana mchezo wa draft lakini sasa sijajua namna ya kuucheza vyema. Je draft inaformula yeyote ambayo ukiifuata unakua mchezaji mzuri?
  20. S

    Ukitaka kujua umepata mwenza ama umepatikana fanya hivi

    Mwambie :- 1. Umepata kansa au kisukari au ukimwi.....ukiona anaanza kukukwepa vunja uchumba haraka sana. 2. Mwambie umepoteza kazi au biashara yako imekufa. Hata Kama anaijua biashara yako ilipo mpige saundi kwamba imechukuliwa na inaendeshwa na waliochukua. Ukiona anapoozesha mapenzi vunja...
Back
Top Bottom