kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Agent from Turkey To Tanzania

    Wakuu..naomba kujua freight forwarder wa kulete mizigo kutoka Uturuki mpaka Tanzania. Wawe waaminifu na gharama nafuu.
  2. Wildlifer

    Naombeni kujua dini ya Kiafrika, nijiunge nayo

    Salam! Mimi ni Muumini wa uwepo wa Mungu. Lakini pia huamini dini ni njia ya kumfuata huyo Mungu. Na kila mazingira huwa na dini yao. Waarabu wana Uislam wao, Wayahudi wanayo yao, Wachina wanayo yao. Naombeni ya kwetu Waafrika au hata Watanzania ili niungane nayo!
  3. KAGAMEE

    Wapi nitanunua friji la mtumba Mwanza?

    Wakuu bila kuwapotezea muda naomba kujua chimbo ambalo naweza kupata friji za Mtumba imara kwa hapa Mwanza. Asanteni.
  4. LA7

    Mwenye kujua dawa ya kumfanya mtu ajiamini

    Yaani kiujumli hili tatizo la kutojiamini limenianza toka nikiwa mtoto mpaka kufikia sasa japo nahisi limepungua kidogo labda kutokana na kukutana na watu wa tofauti tofauti kila wakati. Kwa mfano kuna kitu nimewahi buni nikapeleka shuleni veta nikaambiwa nikitolee maelezo nilishindwa kabisa...
  5. anti-Glazer

    Nina kipato kwa mwezi nataka gari wewe unaleta kujua. Wengine hawataki ushauri ni maelekezo

    This is mei dei. Happy birthday dear workers world wide. Kwa wasiojua siku hii inazingatiwa na international labour organization- ILO. Niende kweny point yangu. Nilianza kuhangaikia maisha long ago. Age is so so so going fast. Nyumba yangu ya kupunzikia sio kulala. Ninayo. Watoto yesu...
  6. Afisa Mteule Drj 2

    Nahitaji kujua uwezo wa umeme wa 3 phase wa Tanesco

    Kutokana na shughuli zangu za mashine mbalimbali za kuchakata mazao.Nilifungiwa umeme wa 3 phase.Ambao kwa wakati mmoja unaweza kuendesha mashina tatu mashine moja ya alizeti ina mota yenye ukubwa kama.mota za mashine za kusaga na.mashine nyingine 2 zina mota ndogo zisizozidi 2Kw.Motor zote ni...
  7. J

    Je, ulipata kujua mwaka ambao Ulimwengu ulimjua rasmi Yesu kuwa ndiye Masihi aliyetabiriwa?

    Ukisoma Luka 3:1 inatambulisha kuwa katika mwaka wa 15 wa Roman Emperor Tiberius Caesar (Kaisari Tiberius). Halafu ukienda chini kwenye hiyo Sura ya 3 unakuta masimulizi ya Yesu Kubatizwa katika Mto Yordan na Yohana. Na kwakweli, kwakuwa Wayahudi walikuwa wakiujua unabii mwingine wa Daniel...
  8. jastertz

    Uzi maalumu wa kujua wana JF wengi wanatokea wapi..

    Huu uzi ni maalumu kwa kujua wana JF wanatokea wapi. Comment unapotokea sisi majirani tutapita na likes. Itasaidia pia kupeana michongo ya hapa na pale. nianze mimi Arusha- sanawari
  9. O

    Naomba kujua hii companies from japan

  10. O

    Naomba kujua kuhusu real motor auction japan kama kuna mtu ameshawai agiza gari kwao

    Naomba kujua hii company hipo kwel au
  11. ChoiceVariable

    Mufti Zubeir: Serikali inunue chombo cha kutazamia mwezi

    Swali, Je ni jukumu la Serikali kufanya masuala ya dini? Pili,Kuomba Serikali ifanye sio vibaya maana ni ombi. === Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amekemea ufisadi, akihimiza jamii kulinda maadili, umoja na mshikamano, huku akiwaomba viongozi wa Serikali na wadau kusaidia upatikanaji...
  12. S

    Hivi unaaamini Waziri mmoja tu anaweza kufanya maamuzi ya kuingiza nchi hasara ya zaidi ya trilioni moja bila mabosi wake kujua?

    Kama mpaka leo hamjajifunza, basi wadanganyika mna laana. Mamba haya hayana tofauti na yale ya kuchota hela kwenye mifuko ya sandarusi na kelele zilipozidi, mkaambiwa na Mamlaka ya juu kuwa zile hazikuwa za umma. Poleni sana Wadanganyika.
  13. C

    Naomba kujua zinakopatikana khanga za Mombasa

    Habari wakuuu! Naomba kufahamishwa sehemu yeyote ambayo naweza kupata khanga za mombasa kwa bei ya Jumla nchini Tanzania. Kama una mtu unamjua anafanya hiyo biashara naomba kuunganishwa nae. Kwa aliyepo Dar es salaam ni vizuri zaidi.
  14. chiembe

    Jeshi la Polisi limuite Abdul Nondo na wenzake kwa mahojiano ili kujua nia yao ni nini, na mahala pa kuelekea katika maandamano ili wasivuruge amani

    Ni vyema Jeshi la Polisi likampelekea Abdul Nondo na waandamanaji wenzake ambao wanaweza kufika kumi au ishirini, wito wamuhoji nia yake, na kisha wamuelekeze kwamba, kiusalama, ni vyema maandamano yake yakaishie Mwembeyanga au Ofisi za ACT Wazalendo, wakapokewe na Kiongozi wao mkuu. Hata...
  15. MIXOLOGIST

    Taifa linapaswa kujua kiasi cha pesa kinachotumika kwenye michakato ya uchepukaji kila mwaka

    Amani iwe nanyi Ukiutafakari uchepukaji kwa makini ni reflection ya maendeleo, je uwekwe kwenye criteria za kupima maendeleo ya kaya? Baada ya kujiuliza hilo swala, mchakato wa uchepukaji una gharama kwenye household income and expenditure. Je hakuna sababu za ku establish total cost incurred...
  16. Nafaka

    Mwenye kujua mkali mwingine wa kuzalisha songs za EDM kama Alan walker

    Kwa wale wapenzi wa nyimbo za EDM kuna mkali mwingine anazalisha mangoma kama ya Alan Walker anitajie maana ukiacha ngoma za kusikitisha ngoma nyingine ninazozielewa ni EDM..
  17. B

    Habari naomba kujua hali ya kimaisha, kimazingira na fusra za Handeni mkoani Tanga

    Kama title inavyojieleza hapo naomba kujua fursa, changamoto na hali ya ujumla ya wilaya ya handeni mkoani tanga, uwe mwenyeji, mzeofu au uliewahi kuishi au kufika Handeni karibu na msaada tafadhali
  18. Barugize

    Natamani kujua kinachosababisha umasikini kwa vijana wasomi

    Habari za Muda huu wana JamiiForums. Mimi ni kijana mjasiliamali kwa muda wa mika 10, kuna mambo huwa najiuliza kila siku nikiwa peke yangu sasa leo nimona ni changie na wana JamiiForums wenzangu. Suala la Umasikini na Utajiri. Kwanini vijana wengi hususani Wasomi ndio wanao hangaika sana...
  19. GENTAMYCINE

    Naomba kujua Gesti / Loji ambazo zipo / zitakuwa Wazi leo kwani za huku nilipo kwa 100% zote zimeshajaa hadi Easter Monday

    Kama utabahatika kupitapita huko uliko (Eneo lako Kimakazi) na ukaona kuna Guest au Lodge ziko wazi tafadhali nijulishe haraka GENTAMYCINE kwa Kunitajia Jina na iliko ili nimpeleke Mgeni wangu katoka Safarini nchini Somalia akapumzike. Za huku niliko tokea Ijumaa Kuu hadi Kesho Easter Monday...
  20. R

    Naomba kujua utaratibu wa kufunga ndoa ya serikalini kati ya Mtanzania na raia wa nje

    Habari wataalamu, Ndugu yangu wa like anataka kufunga ndoa ya kiserikali na raia wa nje. Huyo raia Kwa sasa anaishi nchini kwake ila anataka kuja Kwa muda mfupi wafunge ndoa halafu arudi kwao kuendelea na shughuli zake. Naomba kujuzwa utaratibu.
Back
Top Bottom