kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pang Fung Mi

    Wenye kujua zaidi kuhusu Pastor Paul Mackenzie na Maiti za Msitu wa Shakahola huko Kenya atuambie hapa

    Wasalaam nyote, Tafadhari kama rejea ya kichwa Cha habari kiilivyo. Mwenye mtiririko mzima wa namna waumini mania Kwa mamia walivyokufa na kuzikwa huko Msitu wa Shakahola huko Kenya. Haileweki ni vifo vya halaiki, na walikufa kimafingu, walikufaje, hili Pepo liitwalo Pastor Paul Mackenzie...
  2. M

    Albert Msando acha kutetea tumbo lako. Hauna uwezo wa kudadavua na kujua mambo kama Prof. Shivji

    Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mkoani Tanga Wakili Albert Msando amesema mkataba uliosainiwa baina ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia mamlaka ya usimamizi wa Bandari nchini (TPA) na serikali ya Dubai kupitia Kampuni ya DP World ni wa jumla kwakuwa kifungu cha Pili 'C' cha mkataba...
  3. J

    Natamani kujua, Mwenyekiti wa Jimbo la jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaitwa nani?

    Natamani kujua, Mwenyekiti wa Jimbo la jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaitwa nani? Jamani hili swali limenishinda. Nisaidieni.
  4. Zee la Masonko

    Namtafuta Rafiki yangu Shunie. Tulipotezana humu mwaka 2015 mwanzoni enzi za JK

    Wakuu mpaka Leo huwa najiuliza Shunie alienda wapi loo!! Huyu mtu tulipendana Sana humu JF Enzi hizo ndiyo alikuwa bae wangu humu kila Uzi lazima atupie comment kipindi hicho humu JF kulikuwa na ladha ya kipekee Sana. Shunie popote upatapo ujumbe huu nakutafuta mwenzio ni Kitambo sana...
  5. Majighu2015

    Ukitaka kujua ukubwa wa uke au uume wa mpenzi wako kabla ya kuingia kwenye mahusiano

    Habari zenu wapendwa, Natumai ni wazima kabisa na mnaendelea vyema na majukumu ya ujenzi wa Taifa Kijana uwe wa kike au wa kiume ni lazima uijue japo kwa uchache elimu ya maumbile ya ndani kwa kusoma maumbile ya nje yaani kwa kumtazama usoni na miguuni tu au maumbile yaliyoruhusiwa kumtazama...
  6. The Burning Spear

    Ukitaka kujua ubovu wa serikali ya awamu ya sita, Yakupate haya utajuta kuzaliwa Tanzania.

    Kuna watu bado wana shadadia hii serikali ya awamu ya sita sijui ni kwa makusudi au kukosa uelewa, inshort naweza sema wengi wao ni wapiga dili, kama siyo mpiga dili hii serikali huwezi iunga mkono hata kidogo ina mambo ya ajabu ambayo hayajawhi kutokea tongu tupate uhuru. Sasa Mwananchi...
  7. cleokippo

    Mwenye kujua Apps nzuri ya music player msaada tafadhal

    Habar za usiku wananzengo!! Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza Kwayeyote mwenye kujua apps nzuri ya music player kwenye simu naomba anitajie tafadhali ili ni download niweze kuskiliza good music na mimi kwenye kijitambo changu
  8. R

    Dr. Slaa: Waandishi wa habari someni mjue mikutano inahusu nini kabla hamjaenda kwenye mikutano

    Dr. Slaa awaambia Waandishi wa habari wafanye uchunguzi kujua mikutano wanayoenda kuhudhuria kutazungumzwa nini kabla ya siku ya tukio ili wasiende kuwa watu ambao hawana maana kwa kushindwa kupeleka ujumbe unaotakiwa kwa wananchi. Dr. Silaa alisema hayo baada ya mwandishi wa habari kumwambia...
  9. GENTAMYCINE

    Naomba kujua Faida yoyote ya Jeshi lolote la Afrika Kuficha Taarifa za Kuuwawa kwa 'Ambush' kwa Wanajeshi wake

    Majeshi ya Bara la Ulaya, America, Mashariki ya Kati na Mashariki ya mbali huwa hayana Upuuzi wa Kuficha au Kuwaficha Wananchi wa Nchi zao Taarifa za Kuuwawa kwa Wanajeshi wake katika Ambush wakiwa Vitani au katika Misheni za AU au UN. Ila kwa Bara la la Afrika Majeshi yao hupenda sana kuficha...
  10. R

    Naomba kujua ushuru wa kuingiza smartphones kutoka nje

    Habari wakuu. Kuna mtu wangu yupo nje ya nchi anataka kunitumia smartphones tano (5) brand new. Utaratibu wa ushuru ukoje pindi zikifika nchini? Nadhani kuna wakati serikali iliondoa import duty ila ikarudisha tena. Naomba kuwasilisha.
  11. Meneja Wa Makampuni

    Kwenu Watanzania wenzangu: Hekima ni pamoja na kujua la kuzungumza kwa wakati ufaao na kwa kiasi kifaacho

    Neno la hekima kwa wanajamii forums, wanasiasa, viongozi, watendaji wa serikali na watanzania wenzangu. "Hekima ni pamoja na kujua la kuzungumza kwa wakati ufaao na kwa kiasi kifaacho."
  12. JET SALLI

    DOKEZO Trafiki na Polisi wanaotumia pikipiki Sumbawanga wanawatesa wamiliki wa vyombo vya usafiri kwa rushwa iliyokithiri

    Ndugu zangu Watanzania serikali yetu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania inapaswa kutambua kwamba katika majeshi ambayo ni shida na mateso kwa Watanzania hususani wenye vyombo vya usafiri Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani na polisi wanaotumia pikipiki ni tatizo kubwa kwa Watanzania...
  13. Von_Lufuta

    Nimeingia kwenye mahusiano na mwanamke wa rafiki yangu pasipo kujua

    Habari za jumapili wakuu, hope mko vizuri. Nipo vizuri pia ingawa nipo njia panda kwa hili jambo. Kuna jamaa zangu wawili mapacha wanyaturu huwa wana mdogo wao wa kike, ni mrembo Pro Max. Katika ile familia, naweza kumpa credit mama yao kwa kufyatua watoto wazuri kupita maelezo pale mtaani...
  14. W

    Kuna kiashiria chochote cha tabia kwa mtoto anayenyonya kidole?

    Ndo hivyo wakuu, naomba nisaidiwe hilo!. Najua kuna wataalamu na wazoefu wa kung'amua tabia humu. Mtoto ni wa kike, still todler (2+ yrs). Mtoto huyu halali kama hajanyonya kidole chake gumba cha mkono wa kushoto huku mkono wa kulia akiutumia kumfinyafinya mama yake (au yeyote aliyemshika). Na...
  15. C

    Msaada: Leo Juni 29, 2023 Ofisi za Serikali zipo wazi?

    Habarini wana JF, Hivi leo Alhamisi Juni 29, 2023 Ofisi za Serikali zipo wazi, au bado ni Eid Al Hajj?
  16. K

    Ukitaka Kujua ni Jinsi Gani na Kiasi Gani WaZanzibari Wanautaka na Kuufaidi Muungano

    Leo hii waletee habari ya kuuvunja huo Muungano. Akina Jussa wanajirusharusha huko pembeni wakicheza sinema chovu, lakini husikii wakihimiza Muungano uvunjwe. Kama paliwahi kutokea fursa nzuri ya kuuvunja huu Muungano, , hapajawahi kuwa kama ilivyo sasa, wakati ambapo mZanzibari yupo...
  17. S

    Wapi nitapata soko la kuuza mkaa mbadala? Ujuzi wa kuzalisha ninao, mwenye kujua soko anijuze tafadhali

    Hello wapendwa! Nina ujuzi wa kutengeneza mkaa mbadala wa kupikia! Lakini tatizo sijui wapi nitapata wateja! Naomba mawazo nifanyeje ili nipate wateja ili nianze kuzalisha bidhaa hii. Ujuzi ninao, vifaa na mashine zipo lakini shida ni wapi nitauza hii bidhaa! Kwasasa napotaka kuanza...
  18. H

    Designer au supplier wa T-shirt ya "Tunatangazwa bure "Burj Khalifa" tafadhali sana naomba kujua nitaipataje?

    Leo katika pitapita yangu nimeona Mtanganyika mwenzetu kavaa Tshirt imeandikwa "Tunatangazwa bure Burj Khalifa", nikashindwa hata kupiga picha, hata kumpata kwa haraka sababu nilikuwa nadrive na wakwe zangu na taa ziliruhusu, kwa hiyo nikashindwa kabisa ila nimefarijika sana kwa ujasiri ule...
  19. Beige

    Ninaomba kujua ABC za biashara ya asali

    Habarini ndugu zangu, Nianaomba mrejee heading hapo juu. Natamani sana kufanya biashara ya asali. Ninaomba wenye uzoefu wanijuze wapi nitapata asali halisi na mambo yapi ya kuzingatia kwenye biashara hii. Pia nina potential buyers outside the country hivyo mwenye uzoefu pia wa kuexport atakua...
  20. Mohamed Said

    Kujua leo yako unahitaji kujua jana yako

    KUJUA LEO YAKO UNAHITAJI KUJUA JANA YAKO Nimeweka picha nne hapo chini tati ni za maandamano ya wananchi yakiwakilisha makundi makubwa mawili katika jamii ya Watanzania. Picha ya kwanza ni ya Rais wa TANU Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyopigwa nje ya Ukumbi wa Karimjee akiwa anawaonyesha...
Back
Top Bottom