kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kumbe mlikuaga mnakula misaada ya Marekani alafu mkija humu JF mnawaita mashetani mara sijui firauni, etc 😂

    https://youtu.be/ShzDBSbPbm4?si=F3MM9-KNiFf54Oqm
  2. Angalizo: Jinsi ya kujua ya kuwa mtu uliye naye kwenye mahusiano hana mapenzi na malengo na wewe, akili kichwani mwako

    Habari za muda huu waungwana wa hapa jamvini...... Kwenye ulimwengu wa sasa uliojaa changamoto za ulaghai na uaminifu imekuwa ni changamoto kubwa sana kukutana na mwenza mwenye moyo wa dhati wa kujenga maisha na wewe...... Limekuwa jambo la kubahatisha kwa kuwa wakati mwingine waongo na wa...
  3. Naomba kujua kitu wana jamii

    Sasa mm nimeamuaa kuja na wife wangu nyumbani kama nilivyosema awali nina mke mkenya sasa nataka nije nae home jee nitatakiwa kufuata taratibu gani ni mjamzito tayar
  4. Kuna GPS App ya kupima na kujua mipaka ya shamba?

    Wakuu wana Tech Nilinunua shamba 2019 ekari 12 Sasa kuna wahuni ninaopakana nao naona kila nikienda nakuta wamehamisha mpaka hata nikipanda miti wanang’oa na kuisogeza shamba linazidi kupungua tu Sasa nataka kujua kama kuna GPS App naweza kupima mipaka yangu nikahifadhi online siku nikienda mi...
  5. Nataka kujua kingereza ni njia gani nzuri?

    Kwa darasani kwa sasa ni ngumu kurudi labda naweza pata njia nyingine nzuri ya kufahamu hasa kusoma na kuongea. Nataka kufanya hivo kwasababu zifuatazo 1. Napenda Sana kusoma na kuangalia habari za kimataifa. 2. Napenda kusikiliza miziki ya kingereza 3. Napenda kutazama movie za kingereza...
  6. Naomba kujua hasa Wasifu wa huyu Mtu aitwae 'Waziri' ninayemuona 24/7 akiwa nyuma ya Rais Samia huku akiwa anasikilizwa na hata Kuogopwa pia?

    Je, ndiyo Chief of Protocol kwa Mheshimiwa Rais Samia sasa? Nasikia pia kuwa ndiyo National Intelligence Analyst. Na kwanini anasikilizwa na hata Kuogopwa sana na Timu ya Rais kiasi kwamba ananyenyekewa mpaka na wale Watu wa Msaada Kontena ambao Kiutendaji Yeye ndiyo anatakiwa aongozwe nao na...
  7. Pre GE2025 Nazitafuta kura za Lissu kesho sizioni zinapatikana wapi? Msaada kwa mwenye kujua atashidaje uenyekiti CHADEMA?

    Kura zinapigwa na wajumbe;nikiangalia muundo wa CHADEMA na wajumbe wapiga kura sioni Lissu anakura
  8. Naomba kujua je, malengo ya Chama kuhamia Yanga SC kuwa anafuata Mashindano makubwa ili afike mbali yametimia?

    Yaani Simba SC wakuache kwa kukuona Kiwango kimekwisha, kisha ujidanganye kuwa utafanikiwa huko Uendako?
  9. Sababu Tano unapaswa kujua body count ya Mpenzi Wako.

    Katika jamii ya kisasa, masuala ya afya ya ngono yamekuwa yakiangaziwa zaidi, na watu wanapaswa kuwa na uelewa wa kina kuhusu jinsi ya kulinda afya zao na kufanya maamuzi bora kuhusu washirika wao wa kimapenzi. Moja ya maswali ambayo mara nyingi hujengwa katika midahalo ya kimapenzi ni “Je...
  10. Jinsi ya Kujua Kama Mwanamke Anakupenda au Hakupendi

    Dalili za Mwanamke Kukupenda Anaonyesha Kupenda Kuwepo Karibu na Wewe Atafurahia kutumia muda na wewe, hata kama ni kwa mambo madogo kama kupiga stori au kushiriki shughuli zako. Hutafuta sababu za kuwasiliana, kama vile kutuma ujumbe au kukuuliza maswali yasiyo ya lazima ili tu muendelee...
  11. Jinsi ya kujua kama mwanaume anakupenda au hakupendi

    Dalili Kwamba Anakupenda Anaonyesha Kujali kwa Moyo wa Dhati Anakufuatilia kujua hali yako (mwenendo wako wa kila siku, afya yako, au matatizo yako). Anachukua hatua kukusaidia bila ulazima, iwe kwa kukushauri au kukutegemeza. Anaweka Muda wa Kukaa na Wewe Licha ya ratiba zake kuwa na...
  12. T

    Nataka kujua biashara ya oil chafu

    Sasa ivi oil chafu imekuwa bidhaa adimu sana hasa huko kwenye garage za Magari, pikipiki, n.k Nataka kufahamu wanaozinunua wanazipeleka wapi?
  13. naomba kujua tofauti ya PEP na ARVs

    habari humu jukwaani,juzi niimenda kituo frani cha afya kuomba nipewe dawa ya PEp kutokana na mazingira hatarishi ya afya nilliowaeleza ,nikapimwa afya nikapewa dawa imeandikwa F67 je hii ndio PEp halisi au Ni ARVs?
  14. Yanga wakiclick button ya answer kujua matokeo yao na Al hilal calculator unasema Math error. Nini maana yake?

    Wakuu mambo ni magumu sana utopoloni moja haikai. Najua wakifungwa calculator inazima.
  15. naomba kujua jina na tiba la ugonjwa huu

    habarini wana Jf,kuna mdogo wa mke amepata ugonjwa wa ajabu amekuwa ananyonyoka nywele kama mnavyoona yeye ni umri wa miaka 13 ,je huu ni ugonjwa gani tiba ni ipi.
  16. P

    Waliosoma uganda au wenye kujua kuhusu hii kozi ya ufamasia nchini uganda

    Wakuu habari,hivi ni vyuo vikuu gani vizuri Kwa kozi ya pharmacy ngazi ya degree nchini Uganda nataka nimpeleke ndugu yangu akasome huko Uganda msaada wakubwa
  17. Ushauri wa biashara

    Habari wana Jamii forums? Naomba kujua zaidi kuhusu biashara ambayo naweza kuanza kwa mtaji mdogo na ikakua na kufungua fursa zingine za kibiashara. Binafsi nimekuwa nikiwaza sana kuhusu stationery yenye electronics, car wash na grocery. Naombeni mawazo yenu hapa wakuu
  18. USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua

    Habari wakuu Wa JF, niende kwenye mada.... Katika vitu najivunia sana tangu nimeanza kuujua ulimwengu wa smartphone ni kuijua jamii forums.. Nimejiunga jamii forums ni kama miaka 5 nyuma huko sina hakika sana, pitapita, hangaika na harakati za vijana kuhusu chupi kwenye umri wa miaka 17...
  19. Jinsi ya kujua thamani ya coin unayotaka kuinunua

    Kwa kawaida, watu wengi, hasa wale wanaoanza safari yao kwenye ulimwengu wa cryptocurrency, mara nyingi hupenda kuangalia bei ya coin. Wanafikiria, “Hii bei ni ndogo sana! Acha ninunue kabla haijapanda!” Lakini, rafiki, ngoja nikushike mkono na kukuonyesha siri kubwa ya soko hili kwani bei ya...
  20. J

    Mambo matatu ya kujua kuwa Mchungaji fulani si Mtumishi wa kweli wa Mungu

    Habari zenu wanajamii, siku hizi kuna makanisa mengi sana yanaibuka yenye wachungaji, manabii, mitume, walimu, n.k. Jambo linalopelekea upotoshwaji mwingi kufanyika kwa kutumia jina la Mungu na mwanae wa pekee Yesu Kristu. Haya ni mambo matatu unayoweza kutumia kujua kanisa au mtumishi gani ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…