kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Isaack Newton

    Nataka kujua bei ya kiwanja cha 19 kwa 21

    Habari wakuu, nina kiwanja changu maeneo ya tegeta kituo cha polisi, kina ukubwa wa 19 kwa 21. Hakijakaa square, kipo flat na hakijai maji. Kipo karibu na shule ya msingi na kituo cha polisi Tegeta. Gari inafika vizuri. Kutoka barabari ni dakika 5 kwa kutembea kwa miguu. Sasa nataka nikiuze...
  2. Oscar Wissa

    Jinsi ya Kupata Maarifa ya Chochote Unachotaka Kujua

    Katika ulimwengu wa sasa unaokua kwa kasi sana kiteknolojia na kijamii, maarifa ni hazina muhimu inayoweza kukusaidia kufikia malengo yako na kuboresha maisha yako. Lakini swali ni: Unawezaje kupata maarifa kwa ufanisi kuhusu jambo lolote unalotaka kujua? Hapa chini, tutaangalia njia mbalimbali...
  3. C

    Naombeni kujua utaratibu wa kuwa afisa usalama mahali pa kazi Kuna mambo mengi nayashuhudia mazuri na mabaya ila nimekosa platform

    Habari wadau ni utaratibu upi unatumika kuwapata Hawa watu( maafisa usalama katika ngazi mbalimbali) Naihitaji hii kazi kwa namna yoyote ile na najua nitaitendea kazi kisawasawa Mwenye kujua anipe mwongozo
  4. TheForgotten Genious

    Nahitaji kujua sehemu ama taasisi zinazotoa mafunzo ya matumizi sahihi ya silaha

    Wakuu naomba anayefahamu taasisi zitoazo mafunzo ya matumizi ya silaha hasa binafsi kwa hapa Dar
  5. Nyaka-One

    Msaada kwa mwenye kujua jina la band na wimbo unaozungumzia Nyerere kutembea kwa miguu kutoka Butiama hadi Mwanza kuunga mkono Azimio la Arusha

    Wadau naomba kwa mwenye kujua anifahamishe jina la band na wimbo wenye maneno haya: ..... Azimio la Arusha lilipotangazwa Tanzania, Nyerere alitembea kutoka Butiama mpaka Mwanza. Juhudi za Mwalimu na watanzania wote, haikupita miaka mingi tukatoka utumwani.... Ni wimbo wa miaka mingi...
  6. ney kush

    Mwenye kujua wapi naweza pata hiki kifaa

    hiki kifaa kwaajili ya Packaging machine.
  7. Mwamuzi wa Tanzania

    Kwa mnaotaka kujua Chief Godlove pesa anapata wapi leo nitawapa jibu

    Hello! Mara nyingi watu wanataka kujua kijana Godlove pesa anatoa wapi. Wengine wanakwenda mbali na kusema zile si pesa halisi kwamba ni pesa bandia, si kweli. Zile anazopiga nazo picha ni real money. Kama ni pesa bandia na yale maisha ya gharama ya kusafiri na msafara huko na huko anatumia pesa...
  8. Eli Cohen

    Is this biological or spiritual? Nisaidie kujua kuhusu issue ya huyu dogo

    Kuna dogo hapa ni mkurya wa kwanza kutokula nyama ya ng'ombe (haha natania lakini) Sasa dogo alikuwa anakula nyama ya ng'ombe alipokuwa mtoto mdogo hadi pale siku moja alikuta ng'ombe alikuwa anachinjwa then dada yake akamwambia nyama tunayokula inatoka kwa ng'ombe huyu, dogo ni akashtuka na...
  9. kimara Kimara

    NAOMBA KUJUA MAKADIRIO YA MAWE (TRIPU ZA MAWE) KWENYE MSINGI WA VYUMBA VIWILI, MASTER BEDROOM MOJA, SITTING ROOM, KITCHEN, STORE NA PUBLIC TOILET..

    Habari za muda Huu wapendwa, Kwa wale wazoefu wa ujenzi naomba kujua inaweza kugharimu mawe tripu ngapi kumaliza ujenzi wa Msingi wa Vyumba viwili, master bedroom moja, Sitting Room, dining, jiko na stoo. Naomba kujuza kwa yoyote mwenye uzoefu maana niliita fundi akanipigia hesabu na...
  10. Baba Dayana

    Ukitaka kujua kuhusu sisi

    Kuna sehemu sisi jina letu ni viburi kwasababu tu, tulishindwa kuvumilia dharau zao.. Kuna sehemu sisi ni selfish people, wenye tamaa zisizo na kifani, kwasababu tu, tulihitaji maboresho ya maslahi ya jasho letu.. Kuna sehemu sisi ni wavivu na wazembe kwasababu tu, riziki yetu haifanani na yao...
  11. Stephano Mgendanyi

    Wanu H. Ameir (Mtoto wa Rais Samia) - Kupata Elimu ya Afya ni Jambo Moja, Lakini Muhimu Sana ni Kupima Kujua Afya yako

    WANU H. AMEIR - KUPATA ELIMU YA AFYA NI JAMBO MOJA, LAKINI MUHIMU SANA NI KUPIMA KUJUA AFYA YAKO "Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) tunaunga mkono Serikali zote mbili, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika masuala ya Elimu, Afya na Uchumi" -...
  12. R

    Wenye kujua machimbo ya Kahawa na Korosho tunaomba mtujuze

    Nawasalimu popote mlipo, Kama ilivyokawaida kukosa pesa Kwa watu wengi na kuwa na idea nyingi za biashara, ndivyo ilivyo kuwa kawaida pia kuwa na pesa nyingi afu huna cha kufanya Siku ya Jana nimeona Kwa vyombo vya habari zao la korosho kuuzwa mara mbili zaidi ya bei ya msimu uliopita Pia...
  13. kikoozi

    Ambao wameoa mwanamke daktari naomba kujua raha na karaha

    Habari za muda huu, kama kichwa cha habari kinavyoeleza, naomba kujua changamoto za kuoa mwanamke ambaye ni daktari kabla sijachukua maamuzi, daktari nikimaanisha Medical Doctor (MD). Karibuni
  14. ndege JOHN

    Naomba kujuzwa Maghorofa yaliyopo Tabora

    Nimeishia sana Nzega na Igunga sijawahi fika Tabora. Sijui ni ushamba wangu ila kipimo cha mji kuwa mzuri kwangu mimi ni majengo mazuri marefu. Kwa Tabora kupoje maghorofa marefu ni ya nini yana floor ngapi? Ofisi gani za serikali mpya na je mitaa ya kishua ni ipi huko Tabora kuna...
  15. Hyrax

    Naomba kujua Machimbo ya sehemu za kuchill pale posta, Vyakula na Vinywaji ni vya bei nafuu

    Nina jambo langu hapo Posta mpya naomba mtu mwenye kuyajua machimbo anipe area code. Asanteni
  16. S

    Kuna uwezekano kwamba wanaoteka na kuua wanafanya hivyo kwa maslahi yao bila raisi Samia kujua kwa kuwa wananufaika na uwepo wake madarakani?

    Kuna watu wamemlaumu raisi Samia moja kwa moja kwamba anahusika na utekaji na uuaji unaofanyika nchini kwa sababu kuna viashiria vikubwa sana vyombo vya dola vinahusika katika uhalifu huu. Lakini je, ni kweli kwamba raisi Samia anahusika moja kwa moja na utekaji na uuaji unaofanyika nchini hivi...
  17. Pa-Paa

    Ukitaka kujua hii nchi ina wajinga wengi tembelea @bambalivetz

    Umasikini na Maradhi angalau japo hali hairidhishi ila Ujinga bado sanaaaaa, sijui huu ufaulu unaopanda kila siku unapanda vilele vya ubwege au lah.. Si mara zote wanaiba kura ila hii nchi ina % kubwa ya wananchi wajinga haswa na huu ndo mtaji wa Sisiemu. Alooh hii ni mi5 tena kama asemavyo...
  18. D

    Nahitaji kujua juu ya biashara kukoboa na kusaga nafaka (mahindi)

    Habari wadau,. Kama mada inavyojieleza, nahitaji kupata uelewa wa biashara ya kukoboa na Kusaga mahindi. Ninapenda kuwa na mashine kwaajili hiyo Ili niweze kudunduliza kipato (mashine ya kutumia umeme). Ni usagaji wa rejareja tu mtaani. Nahitaji kufahamu bei za mashine mpya na used. Gharama...
  19. Brojust

    Ulimwengu wa Roho, Maswali kadhaa ya kutaka kujua ukweli usio na shaka yoyote.

    Great thinkers Habari zenu. Ulimwengu wa roho ni nini kwa kiswahili cha kawaida kabisa, Maswali yangu matatu tu ikiwapendeza naomba mnijibu ? NB; Rejea za vitabu vya dini zitumike panapo stahili, Ila akili yako huru ndio itatukomboa wengi tunaotaka kujifunza juu ya haya maswali. 1...
  20. R

    Miti ya parachichi inarefuka na kuwa myembamba

    Nina miti ya parachichi iliyo ota katika shimo Moja na imekua na muda mrefu sana bila kutoa matunda imerefuka tu na kua nyembamba kiasi Je, nifanyajee?
Back
Top Bottom