kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukitaka kujua Watanzania wajinga nenda Facebook kaangalie wanavyokomenti kwenye habari muhimu na habari za udaku

    Baada ya kusoma comments za Watanzania juu ya habari ya uhusika wa Makonda kwenye jaribio la kumuua Lissu ninasema kuwa Watanzania hawastahili kuonewa huruma. Lissu tangu miaka ya 90 anapigania haki na ustawi wa Watanzania lakini Watanzania ni kama walifurahia jaribio la mauaji yake. Unaweza...
  2. Nchi inapaswa kujua Lissu alikuwa anawasiliana na nani na maudhui ya mawasiliano yalikuwa yapi

    Gazeti la the Guardian la Uingereza limeandika mwendelezo wa mgogoro wa ajira kati ya kampuni mama ya Tigo na mfanyakazi wao kutokana na kufukuzwa bila kufuata sheria kwa mfanyakazi huyo. Utetezi wa mfanyakazi umeegemea kwenye hoja kuwa hakupendezwa na kitendo cha Tigo uipa serikali mwenendo...
  3. N

    Picha: Naomba kujuzwa hii ni aina gani ya jiwe

    Naomba kujuzwa, hii ni aina gani ya jiwe?
  4. M

    Wataalam naomba kujua hili

    Hivi kipimo cha ultrasound kinaweza kusema incomplete abortion nakikawa kimedanganya? Kwamba mimba imetoka ila ikawa bado ipo?
  5. N

    Je unahitaji kujua jinsi ya kufanya Payroll na tax zake?

    Habari wana JF, Mimi ni Mtanzania mwenye elimu ngazi ya Degree ya biashara katika uhasibu. Natafuta kazi ya kuandaa Payroll na tax zake monthly kama Part time kwa gharama nafuu kabisa. Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 8 kwenye sector binafsi.. Napatikana kwa namba 0657940974 Karibuni sana..
  6. Ukitaka kujua ofisi unayotaka kufanya kazi, wafanyakazi wana hali gani, wewe tazama parking. Baaasi

    Hello! Ofisi yoyote iwe ya serikali au binafsi kama tu iko hapa Tanzania wewe tazama parking. Halafu uliza idadi ya wafanyakazi wote. Ofisi ina wafanyakazi 50 parking kuna gari binafsi 3 tu ya mwasibu, Afisa manunuzi na ya meneja tu hapo pamejaa ufukara. Nawewe unakwenda kuambukizwa ufukara...
  7. Content Creators mnaoanza (Episode I): Unatumia camera gani kutengeneza maudhui yako?

    Wakuu, especially mnaopenda tasnia ya "content creator" kwenye social media, naanza kwa kuwauliza, unatumia camera gani kurecord video? Iwe ni kwaajili ya YouTube, au kwaajili ya Instagram au TikTok, quality ya video na audio jumlisha na storyline nzuri ndio vitakavyokuweka tofauti na...
  8. Mfundishe mwanao kujua upande mwingine wa dunia kwa kumuonesha chaneli za tv kama nat geo, history, etc sio kila muda ni komasava

    Yani unakuta dogo wa form 1 au 2 ameshakalili dance moves zote za chino lakini ukimuuliza hivi unamjuaje hitler eti anakuuliza "hivi aliimba wimbo gani vile" ahah Sio kila mtoto atachukulia yaliyomo kwenye tv ni burudani tu mwingine anachukulia kama inspiration ya lifestyle yake. Anyway sio...
  9. Morogoro is my Third Home hivyo naomba kujua kuna nini Kinaendelea huko hadi hii hali imetokea?

    MOROGORO - Moto mkubwa unavyoteketeza safu ya milima ya Uluguru kwa zaidi ya wiki moja sasa , milima hiyo ina umuhimu wa kipekee kwa kuwa ni vyanzo upatikanaji wa maji yanayotegemewa na wananchi wa Manispaa ya Morogoro na mikoa jirani. Chanzo: habarileo_tz Mdogo wangu wa damu kabisa steveachi...
  10. Kibongo Bongo wafanyakazi hawazijui Sheria za kazi. Wananyanyasika sana bila kujua haki na wajibu wao

    Habari, Ni ukweli usiopingika kwa ajira hizi tunazofanya bila kujua haki na wajibu wako ni kazi sana kutoboa. Wafanyakazi walio wengi hawajui haki na wajibu wao katika kazi wanazo zifanya. Mfano Sheria ya Kazi inasema mfanyakazi anatakiwa kufanya kazi masaa nane, yanayozidi baada ya hapo...
  11. Msaada: Naomba kujua bei ya tiles za jumla au connection ya kiwandani

    Habari ya muda huu wadau. Nipo stage ya kuweka tiles, sasa hizi hesabu zinanipa headache. 40×40 - box 65 25×40- box 45 Skirting - box 7 Tiles za tangastone- box 18 Naomba msaada wa kupata namba/connection ya kiwanda cha tile twyford pale chalinze. Au, Kujua wholesale price ya tiles za...
  12. Yamenikuta: Nilifunga ndoa ya kanisani kimya kimya bila mke wangu kujua

    Maneno ya mwisho niliyomwambia ni kuwa, "Huwezi kupata mwanaume mwingine kama mimi, ondoka, lakini najua utarudi, mjinga wewe!" Miaka miwili iliyopita nilifunga ndoa na mke wangu wa sasa. Kipindi hicho nilikuwa nimetoka kuachana na mpenzi wangu wa muda mrefu ambaye tuliishi naye kama mke na mume...
  13. Naomba kujuzwa gharama ya kujenga hii nyumba

    kujenga kama haka hadi finishing kanaweza kugharimu kiasi gani? kwa bajeti ya kawaida tu?
  14. Msaada kwenye tuta: Naomba Kujua software inayotumika kuingiza maneno ( KUTAFSIRI) video iliyo kwenye lugha nyingine inaitwaje?!

    Kichwa Cha habari hapo wakuu kinajieleza nataka Kujua Hawa wakina Mpemba og, side kama side Huwa wanatumia software gani kuingiza maneno Yao ?!? Nawasilisha swali na kama hujui kama Mimi Kaa kimya .
  15. Mwenye kujua wasanii wangapi mama amekwenda nao China naomba anijuze.

    Mama alisema kila ziara zake atasafiri na wasanii na tayari alikwisha enda nao India na Korea, hivi sasa mama yuko China. Ninaomba mwenye majina ya wasanii aliosafiri nao kwenda China anijuze, kwani ni jambo la muhimu sana kwenye ustawi wa sanaa Tanzania.
  16. Naomba kujua 100,000/- ya Burundi sawa na Shilingi ngapi za Tanzania?

    Kwema wakuu? Naomba kujua laki moja (100,000/-) ya Burundi sawa na shilingi ngapi za Tanzania?
  17. Unataka Kujua Jinsi ya Kuishi na watu wenye Personality ngumu?

    Kula hiki kitabu, Kitakufundisha jinsi ya kuishi na kuendana na watu wenye personality ngumu, Watu wasiopatana na watu, watu wakorofi, Watu hawa unakuta hatuwezi kuwaepuka kwan mara nyingi unaweza kuta ni mkeo, mmeo, mzazi wako, ndugu yako wa karibu, boss wako, mtoto wako,mwalimu wako,wateja...
  18. MWENYE KUJUA APARTMENT / AIRBNB YA BEI RAHISI DAR ES SALAAM

    Habari ndugu zangu, kama kicha cha habari kinavyo sema hapo juu, nina ugeni wa mtu wangu ambaye atakaa kama siku 14 (week mbili), sasa nilitaka kupata aprtiment nzuri yenye kila kitu ndani WIFI ISIKOSEKANE (kuanzia maeneo ya kiluvya, kibamba, mbezi, goba, kimara, tabata, ubungo , sinza, mlimani...
  19. Naomba kujua kuhusu TAMISEMI agencies

    Habari zenu wakuu Naomba kufahamishwa kuhusu agencies zilizo chini ya TAMISEMI ukiachana na Halmashauri, Manispaa na Majiji Je , TAMISEMI zina agencies zake zingine ambazo zinasimamia?? Uzi tayari
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…