Kuna Wadada wanapenda kuumizwa wenyewe, staff member center mpya ya kazi, dada haamini kuwa niko taken, amelazimisha aje ninapoishi.
(mke bado hajaja) nimemzuga ila mwishowe nimeona nimwambie ukweli kua hata akijichanganya tukasex akapata mimba chance ya kuwa na mimi ni 0, at best naweza...