kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. Vyakula gani sipaswi kula endapo nina tatizo la acid reflux?

    Pia naomba kuuliza. Parachichi Apple Ndizi mbivu Wali Ugali Nyama Maziwa mtindi Maziwa fresh(boxed like asas and first choice) Wine. Mayai ya kukaanga au kuchemsha Vitu gani Kati ya hivi sipaswi kutumia kabisa? Maana nasumbuliwa na acid reflux na tumba kujaa ges. MWENYE UFAHAMU NAOMBA ANIJUZE...
  2. Ushauri Kwa wajumbe wa CHADEMA, kula kwa Mbowe ila Kura kwa Lissu.

    Naomba niwashauri wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA, pesa zikija au kuletwa kwenu kuleni bila huruma ila kura mpigieni mwanamageuzi Lissu. Ushauri wangu kwenu ni kwamba kuleni kwa Mbowe ila kura mpigie Lissu. Asanteni kwa kunielewa.
  3. Wakubwa tukutane hapa mida yetu ya kula sikukuu ikifika.

    Niko hapa nina mialiko minne ya sikukuu na bado sijarudi mkoani kwa mama yoyoo. Sitaki kuwakera maboss zangu walionialika kwa hio nimejigawa, jana usiku nimekesha kwa mmojawapo. Leo saa nne nmeenda kula supu ya jogoo shababi kwenye mwaliko wa pili, hapa naelekea kwenye mualiko wa tatu nikaguse...
  4. V

    Naomba mnisaidie niweze kula vizuri๐Ÿ™๐Ÿผ๐Ÿ™๐Ÿผ

    Habari wakuu. Baada ya kugundua kuwa sina uwezo wa kujenga,kununua gari au kwenda mavacation nimeona nifurahie maisha kwa japo kula vizuri kama matajiri.Starehe na anasa yangu iwe kula vizuri. Uwezo wa kula vizuri ninao ila siridhiki na vitu ninavyokula.Najikuta kila siku nakula vitu vile vile...
  5. Kwa wale mnaokuja kula Christmas vijijini, zingatieni yafuatayo

    1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia saa 12 jioni baada ya kutoka shamba, acheni shobo. 2. Mje na dada wa kazi huku hakuna mtu wa kubeba mtoto wako anaye deka-deka. 3. Hakuna kuchotewa maji ya kuoga, ndoo ya maji kutoka...
  6. Pre GE2025 Makonda: Tangu nimepata uenezi sijawahi kuchukua hata sh 100 kwenye mshahara wangu, huwa natoa yote sadaka!

    Wakuu, Makonda asema Tangu alipopata uenezi, mshahara wote ameweka mahabahuni kwa Mungu, na hata alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa Arusha hajawahi kula hata sh kumi, mshahara wote unaenda madhabahuni! Makonda ameyasema hayo leo wakati akiongea na wananchi katika matembezi ya kuliombea taifa leo...
  7. Askofu mfufua wafu aliyeiba kura za wapinzani ni nani?

    Kwenye wimbo wa nipeni maua yangu wa msanii Roma kuna mstari unasema hivi: Askofu mfufua wafu anaiba kura za mpinzani atashindwaje kuiba sadaka za waumini kanisani. Mchungaji akitaka gari twamchangia muumini akitaka gari twamuombea, basi mchungaji tusimpe sadaka tuombee tukae pale tushuhudie...
  8. Kama unataka kupata ajira wekeza muda mwingi katika utafutaji ajira epuka biashara itakayokula muda wako

    Habari Hopefully wote mko salama. Leo nipo hapa kushare nanyi research yangu niliyoifanya baada ya kumaliza chuo na kuwa jobless kwa miaka kadhaa. Muda namaliza chuo mpaka napata ajira ya kudumu kuna kitu nimejifunza sana ambacho ningependa kushare na wahitimu mbalimbali wanaotafuta ajira...
  9. Sababu za kiroho kwa nini unatakiwa kula mananasi kwa wingi kwenye msimu huu wa Mananasi

    Sababu ni moja tu nayo ni๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ Kwa sababu huu ni msimu wa Mananasi. Katika ulimwengu wa roho, kunapokuwa na msimu wa kitu fulani, tafsiri yake ni kwamba muda huo ndio muda sahihi wa kufanya kitu hicho. Mifano kupanda mazao msimu wa mvua zinapo anza. Sasa hivi ni msimu wa Mananasi, tafsiri yake...
  10. Unaweza kula ugali na nyama ambayo haijaungwa?

    Unaweza kula ugali na nyama ambayo haijaungwa?
  11. Ukiona nyanya ikiwa hivi usipende kula mbichi au kutumia kabisa.

    Ukiona nyanya ikiwa hivi usipende kula mbichi au kutumia kabisa ,Kuna wakati inakuwa imezuliwa na Nyoka,Popo au aina ya wadudu fulani Follow magical power
  12. Kusafiri umekaa siti moja na mtu anayependa kula hovyo.

    Habari wakuu, Siku mbili nyuma nilikua safarini kutoka mkoa x kuja mkoa y. Safari yangu niliianza majira ya saa 1 jioni kwa usafiri wa bus. Sasa kuna mtu tena mmama nilikua nimekaa nae siti moja nikashindwa kumuelewa alikua na appetite ya namna gani. Kila bus likipiga break yeye lazima anunue...
  13. Unalipi la kuzungumza au ushawai kula hii kitu wapi

    Unalipi la kuzungumza au ushawai kula hii kitu wapi
  14. E

    Tuendelee kula nyama ziko chini

  15. LGE2024 Wasimamizi wa vituo vya Uchaguzi 1,213 wapewa mafunzo na kula kiapo

    Kuelekea siku ya Uchaguzi wa serikali za Mitaa, wasimamizi wa vituo vya Uchaguzi 1,213 wamepewa mafunzo na kuapishwa kwa ajili ya kusimamia uchaguzi huo utakaofanyika siku ya Jumatano ya Novemba 27, 2024. Msimamizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Nachingwea Mhandisi Chionda M. Kawawa amewasihi...
  16. W

    LGE2024 Nani analinda kura ya HAPANA kwa mgombea wa chama kimoja pekee?

    Kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa za mwaka huu hakuna mgombea atakaepita bila kupigwa badala yake kutakuwa na kura ya NDIO au HAPANA kama itatokea mgombea ni mmoja katika nafasi husika. Vyama vya siasa vina haki ya kuweka mawakala katika vituo vya kupigia kula ikiwa vimetoa...
  17. Chakula kikidondoka chini kula. Sababu ni hii

    Mfano unakula kitu chochote halafu kwa bahati mbaya kimeanguka, okota na ule. Acha kuogopa bakteria na wadudu wengine hatari kwa sababu wadudu ama bakteria pindi waonapo chakula kimeanguka kwenye mazingira yao hawakifakamii ghafla bila kuunda tume ya uchunguzi. Kwanza kabisa kuna bakteria...
  18. Rais tafadhali kula kichwa cha RC Mtanda, kitendo alichofanya CCM Kirumba kimakuharibia kuelekea uchaguzi mkuu

    Kwa afya ya nchi yetu na chama chetu hususan katika kipindi hiki cha uchaguzi, alichofanya huyu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ni kama anataka kukuharibia. Ikikupendeza mpumzishe kwanza. Kwa sasa, mpira unaleta mchango mkubwa sana kwenye amani, furaha na ustawi wa maisha yetu na kwa bahati wewe umekuwa...
  19. Njooni mtufundishe kula panya, mbwa, punda na viumbe wengine wa ajabu ajabu

    Wananzengo hamjambo? Humu kuna watu huwa wanakula panya, mbwa, punda, mende, mijusi, kenge na viumbe wengine wa ajabu ajabu. Ebu tuambieni, mnavyokuwa mnawala huwa mnahisi ladha gani? Inawezekana sisi tunawaogopa bure, huku nyie mkifaidi peke yenu kula vitu vyenye ladha nzuri. Tushawishini...
  20. Ukitaka Mwanamke atoroke kwa Nyumba, kula hii mbichi

    UKITAKA MWANAMKE ATOROKE KWA NYUMBA KULA HII MBICHI
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ