kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. K

    Nimejikuta nachukia kula chakula chochote chenye asili ya Roho, naona kama nafanya ukatili

    Habari wakuu, Katika Maisha yangu yote hakuna chakula ambacho Sili Ila kuanzia mwezi huu nimeona maajabu Nimejikuta siwezi kula chochote chenye asili ya Roho naona kama nadhurumu nafsi ya viumbe yaani nakula kiumbe ambe ameuawa naona kinyaaa Sana kula nyama ya Kuku naona kama namuonea Kuku...
  2. Abby Chams: Sijawahi kula miguu ya kuku wala firigisi, wala sijawahi kusikia sehemu inaitwa Mburahati

    Akiwa katika kipindi cha Jirani kupitia Crown FM, mwanamuziki Abby Chams anasema hajawahi kula miguu ya kuku wala firigisi hazijui. Mwijaku akamuuliza unapajua Mburahati? Akamjibu hajawahi kupasikia ndio mara yake ya kwanza kupasikia. NB Huyu msanii Abby Chams kipindi cha nyuma aliwahi kusema...
  3. Ushawahi kula viagra alafu mtoto hakuja

  4. Hivi unawezaje kula chakula huku unawashwa?

    Unakuta mtu ananunua chakula kwa pesa aliyoitafuta kwa shida halafu anaweka pilipili kwenye mboga kiasi kwamba jicho linakuwa nyanya, jekunduuuu! Muda huo anakula huku ametumbua macho na kuachama (kuacha mdomo wazi) ili hewa ya oksijeni iupooze mdomo, muda huo lips zimekuwa tomato! Zimedoda...
  5. Ulishawahi kuwa kwenye mahusisno na msichana anayechagua vyakula? Mimi nilimlaza njaa siku mbili akaanza kula ugali dagaa

    Huyu binti alikuwa ni mpenzi wa rafiki yangu,sijui walizinguana nini,saa nne usiku akanipigia simu kuwa amezinguana na rafiki yangu yaani mpenzi wake na hajui atalala wapi hana hata mia mbovu Nikamwambia njoo ulale kwangu,usiku mrefu ndugu zanguni,nilikuwa naishi kighetogheto chumba kimoja...
  6. Mwanaume yuko radhi alale njaa au kushinda njaa bila kula ili hawala yake asie na malengo nae ale.

    Nilipita mahali leo ( uswahili kidogo) nikaona maandazi aina ya half cake Dukani kwa mangi nikayatamani. kwakua sijayala muda mrefu nikasogea kwenda kuuliza bei nikaambiwa 200 moja, muuzaji akaniambia naomba hela yako iwe ya chenji sina chenji zinasumbua. nikamwambia nina elf 1 akasema unataka...
  7. Maisha yana safari ndefu. Pambana kila muda, relax kula maisha. Usiweke umuhimu wa mtu yoyote kabla yako!

    Habari wanajukwaa! Nimefurahi kwamba wote muwazima, kwa wale wagonjwa nawaombea kwa Mwenyezi Mungu, kwa wale wasio na dini mpone haraka. Sitakuwa na mambo mengi ya kuandika, jambo ni moja tu! Kwenye haya maisha tupambane kila siku, ila tusisahau ku-relax na ku-flex kistaarabu baada ya...
  8. Nimepiga marufuku utamaduni wa mgeni kushukuru kwa chakula kila baada ya kula

    Naomba nikosolewe au kupongezwa kwa utaratibu nilioelekeza nyumbani kwangu kwamba ni marufuku wife kupokea shukrani za mgeni anaeshukuru kwa chakula. Hii imekua ikitokea hata kwa wageni ambao wanaishi muda mrefu, kwamba kila anapomaliza kula anamuangalia “mama mwenye nyumba” na kumshukuru kwa...
  9. Kujihisi kushiba muda wote baada ya kula kidogo

    Nimekumbwa na tatizo la kujihisi nimeshiba baada ya kula chakula. Nikinywa chai asubuhi utafika usiku bika kuhisi njaa wala kutamani chakula. Sisikii maumivu yoyote na napata choo kama kawaida. Walaam Tatizo laweza kuwa ni nini
  10. M

    Wakala wa Vipimo (WMA) mbona mageti yenu ya ukaguzi wa mazao hayazuii wala kupiga marufuku rumbesa? Wafanyakazi wenu wanaongoza kula hongo

    Moja kwa moja nawashukia wakala wa vipimo (Weights and measures Agency aka WMA) ambao wanahusika na udhibiti na ukaguzi wa uzito wa mazao hapa Tanzania. Hii taasisi ina vituo vyake katika kila sehemu zenye mizani katika barabara kuu hapa Tanzania. Mfano mizani za...
  11. P

    KILA NIKIMALIZA KULA NAPATA KIKOHOZI.

    Habari zenu, nimekuwa tofauti kidogo pengine ni kawaida kwa kila mtu kupata kikohozi kidogo, hii ilianza yapata miaka mitatu iliyopita sasa nikaona nije humu mnisaidie. Asanteni
  12. Wengi hatuna utamaduni wa kula matunda na kunywa maji.

    Salamu.Watanzania wengi wanaishi vijijini. Nahuko matunda ni mengi lakini husafirishwa kwenda mijini. Matunda kama embe zinaonekana ni kwa watoto. Ndizi mbivu wengi huzidharau kwamba chakula cha nyani. Watu wa mijini wanajitahidi kula matunda sana. Watu wa vijijini hasa wanaume wakienda mijini...
  13. R

    LGE2024 Baada ya kupuuza Ule msemo wa jinsi ya kula na kipofu, Leo wanatafutwa wananchi wa kujiandikisha Kwa tochi ili kura ziibwe!

    Salaam, shalom!! Viongozi tulikuwa tukiwaonya kupunguza viburi, mlikuwa mkitamba Kwa kauli za kejeli kuwa " Hata msipoipigia CCCM kura Bado itaunda Serekali" Wengine wakaenda mbali na kudai kuwa " CCM kamwe haitatoka madarakani Hadi ipende yenyewe kama ambavyo Pascal Mayalla amekuwa akidai...
  14. Mnawezaje kula wali?

    Nisikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Binafsi nimeshajaribu sana hiki chakula lakini kimenishinda! Nimejaribu sana kula wali wa kila aina na ulopikwa Kwa mapishi tofauti tofauti lakini nimeshindwa!,Huwa napata taabu sana nikimtembelea ndugu,jamaa au rafiki nikakuta kapika wali,aiseee huwa...
  15. F

    Kuna watu wanakula mende?

    Je ni kweli kuwa kwa sasa hapa tanzania, watu wanakula mende?
  16. Nitaepukaje hali ya kujisikia mchovu baada ya kula?

    Hiyo hali imeshakuwa kero sasa! Mara nyingi, nikishakula tu, najisikia uchovu kiasi cha kutamani kulala, hata kama ni Mchana. Haijalishi kama nimekula chakula kidogo tu, nitajisikia tu kulala. Kuna jinsi ya kuiepuka hiyo changamoto? Asanteni!
  17. Mnawezaje kula mboga saba?

    Sijawahi kuelewa kabisa mtu anakulaje ugali mboga saba kwa raha mustarehe akifurahia chakula, wengine wanaita kucheza drafti. Mimi chakula kikizidi mboga tatu huwa naona kizunguzungu tu saa ya kula. Pia mboga zikiwa nyingi sana tofauti tofauti ugali huwa unawahi kuisha mboga zinabaki inabidi...
  18. Wananchi waungana kumchangia Nay wa Mitego kwa ujasiri wake wa kupigania haki za wananchi kupitia muziki wake

    Msanii Roma Mkatoliki aonesha upendo kwa msaa mwenzake Nay wa Mitengo kwa kuhamasisha wananchi wamchangie msanii Nay wa Mitego kama shukrani kwake kwa kupigania haki za wananchi. Nay
  19. F

    Natembelea Wilaya ya Igunga kwa mara ya kwanza. Wenyeji mniambie maeneo ya kula, kunywa na kulala. Yawe mazuri.

    Wadau mada yajieleza. Jumatatu ijayo nitakuwa igunga hadi alhamisi. Sasa kwa waijuao Igunga, nile na kunywa wapi na nilale wapi? Maeneo yawe mazuri sana. Asanteni.
  20. Ukame wasababisha Wazimbabwe kuchinja na kula Tembo

    Njaa isikie kwingine tu. Ikikukumba unaweza ukamkula hata mkeo [literally 😀]. Sina uhakika na vyakula vya huko kusini mwa Afrika. Labda nyama ya tembo ni moja ya delicacies pande hizo. Kutokana na ukame ulioikumba nchi hiyo, serikali yake imetoa ruhusa ya kuchinjwa kwa tembo 200 ili wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…