kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. Kama hii ndio simba tulioitaka bora wazee

    Habari zenu wana sport wa Jukwaa hili, Kama wote tunavyojua Jana Timu yenye Jina na sifa kubwa ndani ya bara la Afrika ilikipiga pale Libya. Kiukweli Jana Timu ilicheza vibaya poor control skills, dribbling, marking & concentration. Timu ilikuwa down sana hamna pace, no clear target &...
  2. Kula maisha, wkend ndio imeanza

    Hakuna kupika leo, tuingie mtaani, wkend imeanza; wapi kuna vaibu nzuri kwa siku ya leo; kuwepo na laivu bendi yenye mdundo wa taratibu, usiochosha mwili na viungo. Mi nimeshapiga pamba zangu nyeupe kwa ajili ya kujichanganya na jamii; we unajipanga kwa lipi katika wkend hii? Maisha ni haya...
  3. Boss analazimisha wafanyakazi kula chakula na usipo kula unaitishiwa kikao. Kina usalama kweli?

    Mkuu wa kitengo ,boss ,msimamizi katika eneo fulani,nk. Anaamua kuleta vyakula vyake na kupikwa na watu wake huko anaowajua ndani ya eneo la kazi na kupakuliwa huko huko. Nakulazimisha watu wale tena kwa kutuma watu wachunguze kama umekula usipo kula unaitishiwa kikao na jopo la watu kwann...
  4. Ugonjwa wa figo umesababisha nishindwe kula kimasihara. Tunzeni figo zenu

    Daaah! Ama kweli hujafa hujaumbika Nilikutwa na shida ya figo na nikapata taarifa kwamba itafika kipindi mzuka wa kula papuchi utaisha. Jana nimepata demu pisi kali nakwenda nae ghetto mgejege umegoma kutoa ushirikiano nikajua tayari CKD ishafanya yake Jamani tunzeni figo zenu maana athari...
  5. Ukikamua tunda ili kupata juice unapoteza nyuzinyuzi zake ( Fibers)

    Ukikamua tunda ili kupata juice unapoteza nyuzinyuzi zake ( Fibers). FAIDA ZA KULA FIBERS; Mosi , Fibers ni chakula cha chembe hai za utumbo mpana. Utumbo mpana huzibadili fibers kuwa mafuta yajulikanayo kama BUTYRIC ACID. Mafuta haya ndo chanzo cha nishati kwa chembe hai za utumbo mpana (...
  6. Namna ya Kula pesa za Watanzania bila kutumia nguvu kubwa

    1. Anzisha Chama cha siasa, piga domo upate angalau Diwani, mbunge ruzuku kama zote. 2. Anzisha huduma za maombezi na kupata utajiri, utakusanya pesa za wavivu mpaka ukimbie, 3. Betting/Bahati Nasibu ya kujishindia Mamilioni kwa kucheza kwa Tsh 500 Tu. 4. Andaa matangazo ya ajira mishahara...
  7. Simulizi za waungwana: Ukitaka kula na shetani tumia kijiko kirefu

    SHETANI Baada ya msoto wa muda mrefu, Chuwa alifanikiwa kupata kazi. Licha ya kazi hiyo kuwa na mshahara mkubwa na marupurupu yakutosha ila iliuweka rehani utu wa Chuwa kwa kumlazimisha,achangamane na watu walio kinyume na misimamo yake, maadili yake,tamaduni zake na kila jema alilolijua...
  8. Huyu mwanaume anaesifia kula chips twitter (x) ni nani Tanzania?

    Kuna mtu kila nikiingia x namkuta anapost kusifia chips. Na hii ni baada ya wadau kumponda nadhan anatumia muda wake wote maishani kujaribu kuonesha yuko sahihi. Wanaume/Mwanaume usile chips we mwanaume ujue. Isipokua kwa wale second class men
  9. Kupaka mbao dawa au kupaka oil ipi inakaa muda mrefu bila wadudu kula?

    Wakuu mimi Niko hapa kwenu nawapa tip ya ujenzi hii hapa maana mimi kwenye ujenzi nmeboboa. Kutreat mbao kwa dawa zile za kijani kijani wanazopiga wengi wauzaji wa mbao. Oili chafu inadumu muda mrefu zaidi kuliko hizi dawa. Ukweli ndio huo oili kwanza kadili inavyopigwa joto ndio kwanza...
  10. S

    Nimekoma kula misosi ya dezo toka kwa mademu wa kibongo, ni hatari nilidhani napendwa kumbe ndio wananiumiza

    Mwenzenu nimejifunza sasa na nimekoma kwa yaliyonitokea, nimekuwa na mahusiano na wadada tofauti katka nyakati tofauti, lakini kitu kimoja tu kinafanana katika hao wote ninao kuwa nao nacho ni kuwa mara tu napokuwa nao basi hilo kosa lazima ataenda kunitengeneza ili nimpende zaidi na technic...
  11. Naomba kujua umri wa Boka, nahisi kaja kula pensheni yake

    Yanga tumesajili beki mpya wa pembeni Boka. Anachukua nafasi ya Lomalisa. Jana alicheza dakika 10 tu akatoka nje kwa majeraha. Naomba kujua umri wa huyu veteran wetu mpya? Kuna hesabu napiga hapa…
  12. Nimeacha kula kwasasa ili niweze kuexport save pesa

    Nimekuja kugundua ya kwamba kula chakula Mara kwa Mara kunamaliza pesa aisee mpaka najuta Kwanini nakula chakula Kwahiyo nimeamua kujizuia kula chakula Asubuhi, mchana na Jioni au usiku ili nituze pesa zifikie kiwango Fulani ndipo nitaanza kula Kwanza kula kunapoteza muda,muda ambao Mimi...
  13. S

    Ewe mwanaume, ukiona wakati wa uchumba unaombwa vocha, nauli ya daladala, hela ya LUKU na hela ya kula, kimbia

    Huyo siyo mtu ni kupe, na kama siyo kupe basi hafai kuwa mke, maana hatokuwa msaada kwako. Ndiyo! Kama ameshindwa kutafuta hela kwa ajili ya vitu vidogo kama hivyo unaoa kwa ajili ya nn sasa? Kuzaa tu? Hata panya anazaa. Acha ujinga wewe, chukuwa mke atakayekuwa msaidizi wako kiuchumi...
  14. Tafadhali Wakatoliki Wenzangu mliokomaa katika Ukatoliki naomba huu ufafanuzi wa nani hasa anatakiwa kwenda kula Ekaristi Takatifu Siku za Maombi

    Kama ni kweli kutokana na Mkatoliki Mmoja kuniambia kuwa anayetakiwa kwenda kula Ekaristi Takatifu / Mkate wa Bwana hasa Siku za Ibada za Jumapili na nyinginezo ni yule tu ambaye Kaungama dhambi zake Siku ya Alhamisi ya Wiki husika basi nina uhakika wa 100% Dhambi ambazo GENTAMYCINE ninazo mpaka...
  15. Watanzania mliopo hapa Kampala Uganda mnawezaje kula Mdudu (Kitimoto) cha hapa kisicho la ladha kama ya kwetu Tanzania?

    Nitavumilia tu hadi nikirejea kwa Mapumziko au Majukumu yangu Kumalizika huku ili niendelee Kula Mdudu (Kitimoto) kinachopikwa vyema na Watanzania. Yaani Wabongo wote mlioko hapa Jijini Kampala mnatamba Goli (Eneo) la Kitimoto la Machame kuwa ndiyo wanaipika vizuri wakati ukweli ni kwamba...
  16. Dr Chris cyrilo, Africa amani wanufaikaji zaidi ni Watawala ili waendelee kuiba na kula, huku masikini wakiwa hoi.

    Nakubalina kabisa na mdau huyo kuhusu amani. Nyimbo za tuidumisje amani, tuitunze amani wanufaikaji ni watawala ili waendele kula kwa amami na raha mstarehe. Raia wanacho fanya huuziwa uoga wa vita ili wawe watulivu hata wasiulize yale ya msingi kwa faida yao. Wakati watawala wanahubiri amani...
  17. KULA SANA BATA HATA KUKU WOTE LAKINI KAMWE USIWASAHAU NDUGU ZAKO.

    KULA SANA BATA HATA KUKU WOTE LAKINI KAMWE USIWASAHAU NDUGU ZAKO. "Kama MUNGU amekujalia uwezo mzuri wa kiuchumi, weka nguvu kwa ndugu zako pia. Usiwasahau ndugu zako kwasababu ipo siku utawahitaji na usipowahitaji wewe basi tutawahitaji sisi kwaajili yako. Siku ukiumwa au kupata matatizo...
  18. Nani muasisi wa kula mara tatu kwa siku?

    Hii ya kula mara tatu kwa siku naona kama imetapakaa dunia nzima. Nini chanzo au kunasupportive doc yoyote ya kitaalam. Watu walitakiwa kula wanapohisi njaa na hisia hizo zitakapofikia hatua ya kuona kama nguvu zinawapungua. Kwenye vitabu vya dini hatuoni mungozo wa mtu ale mara ngapi...
  19. Kula kwa jasho ni kuhangaika kutafuta riziki sio lazima utoe jasho la mwili au ufanye kazi za nguvu ya mwili

    KULA KWA JASHO NI KUHANGAIKA KUTAFUTA RIZIKI SIO LAZIMA UTOE JASHO LA MWILI AU UFANYE KAZI ZA NGUVU YA MWILI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna kasumba ambayo inatesa baadhi ya vijana wa kiume ndani ya jamii huku wakinukuu maandiko ya kwenye Biblia Kuwa "Mwanaume atakula kwa jasho"...
  20. Nimepata mashaka makubwa sana dhidi ya ueledi wa Admin alie unganisha Uzi wangu na Uzi wa Kula PAPUCHI kimasihara.

    Uzi wangu ulikuwa na title " KWA MWENYE UZEOFU NA UWEZO WA KITANDANI WA WANAWAKE WA KIMATUMBI KUTOKA KILWA" Ndani ya Uzi nimesema kuwa nimepata demu single mother wa kimatumbi, weekend hii nimepanga kwenda Somanga KUKUTANA nae. Nikauliza kama kuna mtu aliwahi kutoka na mmatumbi anijuze kuhusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…