Mfano Korea Kusini
Taiwan
Kwa East Africa Kenya.
Israel middle east
Rwanda (japo bado anaungaunga)
Kimsingi nimejaribu kuangalia kwa ukaribu hata nchi yetu tukiamua kuqnzia sasa tufungamane bega kwa bega na wazungu tu na US, tukawapiga chini waarabu, wachina, warusi tunaweza kutoboa kirahisi...
Nakumbuka hata mimi nilivyokuwa teenager nilidhani dunia ndio inanizunguka mimi, yani nilijua nilichokijua kuwa ni bora ndicho kilicho bora kuliko vingine vyote.
Yani leo hii mtu anakuja kuandika humu JF eti haka kakisabengo ndiko kaandishi bora wa maandishi ya muziki.
Tofautisha kati ya...
Nchi yetu inapitia kipindi kigumu ambacho hakijawahi kuwepo tangu Taifa liwepo.
Japo kumewahi kuwepo malalamiko mbalimbali kuhusu usalama na haki za watu, lakini hali haijawahi kuwa mbaya kama ya awamu hii.
Kwenye awamu zilizopita, mathalani wakati wa utawala wa Kikwete, Dr Ulimboka alitekwa...
Ni kweli Simba kafungwa mechi 4 mfululizo na kapoteza ubingwa mara 3 mfululizo lakini haiondoi ukweli kwamba muelekeo wa ni sahihi na wanakaribia kuupata ule ubora wao wa misimu minne iliyopita.
Simba kwa sasa haifungwi kwa makosa ya kiufundi ya Timu nzima bali inafungwa kwa makosa ya...
Nimetembea Dar, Mwanza, Mbeya, Dodoma, Tanga na Arusha yenyewe ambako kuna yanayoitwa majiji ya nchi yetu, niseme tu watu wa jiji la Arusha wanaongoza kwa unadhifu na usafi wa binadamu na mazingira.
Yani hata ukipanda daladala (wenyewe wanaita hiace/Haisi) za Arusha harufu ya kwenye daladala...
Wazee mambo vipi Mnyunguli hapa.
Aisee hali ni mbaya ubebari ni balaa watu wanajali pesa tu takwimu zinaonesha vijana na magonjwa ya figo ni kama chupi na sehemu za siri...hii inachangiwa na unywaji pombe.Nawaelewa sana wanaoamua kutumia beer za nje wakiamini kwamba zina usalama mkubwa na...
CCM wanaamini katika Elimu hasa nafasi za juu na uteuzi, ili uteuliwe lazima kuwe na usomi ndani yake .
Huku CHADEMA tunakwenda Kiuhalisia zaidi kwamba Pesa ni bora kuliko elimu na ukizikosa uwe na ushawishi kidogo .
Yote sawa ila nadhani kuna upande unahitaji mabadiliko
Muwe na siku njema
Kwa mwenendo wake na hata ayanenayo tokea ajiuze huko CCM, Peter Msigwa amekuwa akitumia nguvu kubwa kutaka kuaminisha Umma wa Watanzania eti yeye ni CCM kindaki-kindaki haswa.
Najiuliza, hivi Msigwa haijui CCM vizuri eti?
Wallah CCM watakachomfanya Msigwa hatokuja kusahau!
Ndugu zangu leo nimechanganyikiwa nimemfumania Mpenzi wangu tuliyekuwa kwenye mahusiano kwa Miaka 2 sasa.
Amebananishwa kwenye uchochoro saa mbili usiku na Dereva bajaji wanakulana mate,
Sikutaka kuanzisha ugomvi maana ni Mpenzi tu huyu sio mke baada ya hapo nimemuuliza dereva bajaji amekiri...
Katika mjadala wa utofauti wa elimu nchini Tanzania, kuna dhahiri kwamba safari ya Baba Levo Marekani inaonyesha tofauti kubwa kati ya wasomi na wale wasio na elimu rasmi. Baba Levo anatumia mbinu nzuri katika kutangaza makampuni yaliyompa udhamini, na anajulikana kwa ufanisi wake.
Kwa upande...
KWA NINI WATANZANIA WENGI NI MASKINI?
Sijawahi kumwona Mtanzania kwa wakati wowote ule ameondokana na umaskini, umaskini ambao sasa ni mkubwa mno na unakaribia kutudidimiza.
Binafsi nauchukulia umaskini kama kukosekana kwa mahitaji ya lazima ya kila siku kwa mwanadamu: malazi mazuri, chakula...
baada
bado
dini
kuliko
masikini
matumizi mabaya ya madaraka
miaka
rasilimali tanzania
tanzania
ufisadi tanzania
uhuru
umasikini tanzania
usomi
wakristo
wao
wapi
wasomi
Nimetumia materia zote tajwa hapo juu ,linapokuja swala la ukuta kuvamiwa na fungus naona kama chokaa Ina afadhali , ila suala la ukuta kupendeza chokaa inashika nafasi ya mwisho unless upate fundi kweli , wewe umeonaje
Wakati wa utawala wa mzee JPM, watu wenye kujinasibu ni wazalendo, walitumia muda mwingi kumsifu, kumpa utukufu uliovuka UBINADAMU, kiasi kwamba akina Nape wakitabiri kuwa Edo angefia ikulu, ila JPM mpiga push up hafi 😭😭 that was blasphemy against the almighty God, 😭😭 conscious foolishness...
Ni moja katika ya ma profesa wachache wenye kujua kuzungumza na kujua kuchezea lugha ya Kiswahili. Huwa namsifu.
Ni profesa ambaye unaweza ukampa kazi awaelezee watu faida za kufuga Nzi ni nyingi kuliko kufuga Nyuki. Na akaelezea kwa mbwembwe sana na wengi wakafurahia sana na kuanza kuangalia...
binafsi nimefanya tafiti katika makanisa na misikiti,
haswa katika utoaji sadaka unakuta ukienda makanisani wakati wa sadaka,wanakuwa na bonge la kapu hilo kapu hela zitakozajaa mule haujahesabu unasema pale si chini ya milion 1, njoo huku kwa waislamu unakuta sheikh anachangisha sadaka kwenye...
Hiyi nchi sio kwamba viongozi walio chini ya uongozi mkuu hawawezi wajibika hapana isipokuwa mamlaka aliyopewa Raisi ni makubwa kuliko uhalisia au uwezo halisi.
Mimi naamini tuna viongozi bora sana na wenye nia ya kujituma ila kwakuwa mkuu ndio mwenye mamlaka ya kila kitu kitachofuata utafanya...
Maoni binafsi
Dini -ni Kama mfupa mgumu ambao walipewa watu waangaike nao -kuumeza huo mfupa wengi hawawezi kuumeza wala kuuvunja.
The bible is there
Quruan is there
But only few people can use it positively.
Watu wanatengana
Wanabaguana
Wanachukiana
Dini zote zinafundisha UPENDO...
BORA MAHUSIANO YAKULIZE HUKU UNA HELA KULIKO KULIZWA NA HELA HUNA 😔
Mahusiano ni eneo ambalo linazungumzwa sana ikiwa ni kiashiria kuwa wengi hujihusisha huko ila pia changamoto ni nyingi sana huko .
Usipojidhibiti utajikuta muda mwingi unafikiri tu mahusiano kuliko mambo mengine na huo ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.