kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PROFOUND NOTION

    Ni bora nife nikifukuzana na ndoto zangu kuliko kufa njaa kwenye dunia isio na haki

    Kipi special sanaa katika hii dunia kinachoweza kunijali kwa dhati eti nikionee huruma??? Eti kinifanye nicheze kwa standards zilizo fair, hakipo, so ni muda wa kuwa ruthless. Anaekuhubiria uache pombe, anatembea na mke wako Anaekukamata haujalipa kodi, anapita na pesa zote za mradi wa mtaani...
  2. mdukuzi

    DOKEZO Je,kuna money laundering kwenye timu zetu? Baadhi ya timu zina matumizi ya kufuru kuliko mapato

    Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuna bendi moja iliitwa Mviko Sound ,ilikuwa ikimilikiwa na mmoja wa wanafamilia yetu Kufikia mwaka 2004 bendi ikafa,huyu ndugu yangu akasema ni bora kuwa na wanawaje kumi kuliko kumiliki bendi. Wanawake kumi unaweza kuwatumia kama nguvu kazi au hata wakakuzalia...
  3. H

    Unajisikiaje kuishi kwenye ulimwengu ambao Simu inalindwa kuliko hata sehemu za siri ?

    Kuna muda huwa nawaangalia wazee na watu ambao umri umekwenda huwa najiuliza huwa wanatuonaje vijana , siku hizi starehe nyingi na wao nadhani baadhi wanazipenda nyingine zinawashangaza . Simu ina password ya kuifungua , kila application ndani ina password yaani imewekewa kila ulinzi mpaka...
  4. Meneja Wa Makampuni

    Huyu ndio mtoto mwenye akili nyingi kuliko wote Tanzania 2024

    Huyu mtoto ukimsikiliza ana uwezo mkubwa sana wa kujieleza na kufanya hesabu. Anajibu maswali ambayo hata wewe huwezi kuyajibu hapo ulipo saivi Ee Mungu tunakuomba huyu mtoto asiharibiwe na mfumo wa elimu yetu. Mtumie huyu mtoto kuonyesha ukuu wako. Amen na Jumapili njema WE PROTECT THIS...
  5. R

    Ikiwa unatumia muda mrefu kwenye kioo kujipamba kuliko maandalizi ya kiroho siku ya ibada jua hakuna ibada bapo!

    Salaam,Shalom!! Imeandikwa ( mithali 16:1), maandalio ya moyo ni ya mwanadamu, Bali.... Pana mtumishi mmoja pia aliwahi kuimba kuwa, Ibada huanzia nyumbani. Sasa TOBA, msamaha, utakatifu wa mwili NAFSI na Roho, ni vitu vinavyotakiwa kuanzia nyumbani. Kuoga, kusafisha mwili ni muhimu ila muda...
  6. snipa

    Ijue Sababu kwanini FBI hawaingilii sana biashara za Apple Inc kuliko wanavyoikandamiza Google LLC

    Kwanza tuanze kwa kujifunza kuhusu Open Source project katika ulimwengu wa Technology, Open Source ni zile project ambazo source code zinakuwa available in public kwaajili ya modifications n.k isipokuwa atakaechukua source code na kumodify hatakuwa na umiliki hadi kusema kwamba ni software au...
  7. X

    Baada ya China kujenga bandari kubwa na ya kisasa nchini Peru nayo Marekani yajibu. Kwa sasa China ndiyo taifa lenye ushawishi mkubwa Amerika Kusini

    Chancay port ni bandari ya kisasa iliyojengwa na kampuni ya China COSCO kama project ya BRI. Imezinduliwa 17th Nov 2024 na Xi na raisi wa Peru Ni smart port au full automated port kila kitu kinafanywa na mitambo au mashine na ndio smart port pekee barani humo. Robotic megaport that operates...
  8. Rorscharch

    Umewahi kutana na mtu ambaye mawazo yake muda wote yamekaa kingono tu?

    Katika safari ya maisha, mara nyingi hukutana na watu wa tabia tofauti, kila mmoja akiwa na changamoto zake. Wapo watu ambao mawazo yao yanaweza kuelekezwa kwenye masuala maalum kama kazi, familia, au maendeleo binafsi. Lakini pia wapo ambao, kutokana na sababu mbalimbali, maisha yao huzungukwa...
  9. K

    Serikali zetu za kulakula bila kujali wananchi kuliko vifaa vya zimamoto na uokoaji

    Serikali hizi zetu za kulakula bila kujali wananchi. Ukijiuliza ni kwanini wanasiasa tu machawa ndiyo wana nunuliwa magari ya milioni 300 na mia nne kwa kazi za kufuta wagombea wa vijiji wakati zimamoto hawana vifaa vya kuokoa watu na mali zao. Hakuna hata mtu mmoja anafukuzwa kazi. Kila kitu...
  10. Mi mi

    Kwanini China nchi ya kidikteta ina maendeleo makubwa kuliko Kenya na Zambia?

    Kwanini China nchi yenye udikteta wa chama kimoja ina maendeleo makubwa kwenye nyanza mbalimbali kuliko nchi za kidemokrasia za vyama vingi kama Kenya na Zambia?
  11. Magical power

    Kuna wanawake ni MALI SAFI sana wana umri fulani, wana misimamo fulani ambayo wanaume WAGALATIA huchukia ila ile misimamo yao ina faida kuliko hasara

    Kuna wanawake ni MALI SAFI sana wana umri fulani, wana misimamo fulani ambayo wanaume WAGALATIA huchukia ila ile misimamo yao ina faida kuliko hasara
  12. kwisha

    Je, unaweza kuendelea kuishi na mwanamke wa namna hii ?

    Mimi ni kijana nimeoa Kwasasa Nina mwaka mmoja toka nioane na mke wangu na tumejaliwa kupata mtoto ana miezi miwili. Lakini pamoja na hayo Kuna kitu Nilikuwa nashindwa kuelewana na mke wangu Nilikuwa Niki sex naye naona reaction ya mwenzangu ni kama mtu ambaye hayuko pamoja na mimi ananipa...
  13. TUKANA UONE

    Tanzania ni kubwa,ishi mahali popote ulipokuwa ukifanyia kazi kuliko kwenda kuishi kwenu,utadharirika!

    Je Wajua ya Kuwa Bugger Kwa Kiswahili fasaha uitwa "SANGWEJI ?" Ndiyo,chukua hiyo kama ulikuwa haujui! Kumekuwa na tatizo la waastafu wengi kupata shida kurudi mikoani,wilaya kwao kuanza maisha upya pindi wanapostaafu! Tanzania yetu ni kubwa mno na hamna haja wastaafu kurudi mkoani kwenu...
  14. Mchochezi

    Mwenye genge kama hili anaweza akawa na ana kipato kizuri kuliko watumishi wengi wa umma

    Napasua kwenye mshono!! Mwenye genge kama hili akiwa eneo zuri lenye mzunguko wa pesa anaweza akawa na kipato kizuri kuliki watumishi wengi wa umma!
  15. Yoda

    Kwanini uvaaji wa mwanamke una maslahi kwa watu wengi na kelele nyingi sana kuliko wa mwanaume?

    Hawa wako kifua wazi kabisa lakini haijawa habari iabisa hata hapa Daslamu, ikitokea mwanamke maarufu ametokea hadharani na brazia nchi inaweza kusimama! Tuache double standards.
  16. M

    TANESCO wekeni mipaka au Bicon kwenye maeneo ya miradi mikubwa kuepuka kuwabomolea wananchi nyumba zao hapo baadae

    Nalileta hili kwenu kwa sababu nimeona madhara mengi kwa wananchi. TANESCO, mnatakiwa mkishapima eneo, hasa kwenye miradi mikubwa ya nguzo za chuma, muweke alama zenu za mawe (bicon). Sababu ni kwamba maeneo ya mwisho wa mipaka yenu huleta mizozo mingi na wananchi. Hata kama mradi wa kujenga...
  17. technically

    Bora kufa kimwili kuliko kufa kiroho

    Kufa unatembea ni kubaya Sana Bora kufa na kuzikwa Watawala wa sasa wanatembea wakati wamekufa kiroho CCM inatwala wakati imekufa kiroho Serikali ya awamu ya 6 imekufa kiroho Ila kimwili inatawala!.. Ndio maana ni ngumu Sana Sana kufanikiwa kwa sasa!!
  18. Bubu Msemaovyo

    Hospitali Binafsi wana Utu kuliko Hospitali za Serikali

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Nimeshuhudia mimi mwenyewe. Nilikuwa na mgonjwa aliyehitaji huduma ya dharura katika hospitali moja ya Wilaya ya Ilala. Tena tumemkimbiza usiku wa saa sita. Tulipofika tu akaanza kupimwa na kutokana na hali aliyokuwa nayo alihitaji kufanyiwa upasuaji usiku...
  19. NostradamusEstrademe

    Wazungu ni wa hovyo kuliko sisi Waafrika

    Wazungu pamoja na kwamba tunaona ni wastarabu na ndio walituletea ustarabu lakini upande mwingine wa shilling mambo mengine wafanya kama hamnazo na jaribu kuainisha na wewe uandike zako. Mfano. 1.Mtu na mke wa ndoa kugoma kuzaa kisha wanataka ku enjoy lakini wana asili mtoto 2.Kuoa mke zaidi ya...
  20. M

    Kunaibuka kizazi ambacho baadhi ya watu wamwekuwa wakishabikia upuuzi wa kwenye mitandao ya kijamii kuliko masuala ya muhimu

    Fikiria suala la Pididdy lilivyowachukulia muda wao kulijadili kuluko hata kujadili suala muhimu la kilimo na elimu. Sasa hivi kichwani mwao ni suala la Baltsar Engonga. Kana kwamba ni wapuuzi wanaoshinda kudadadavua mambo Hawajui kuwa sayansi na technolojia ipo juu kiasi kwamba hata picha...
Back
Top Bottom