kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Vyakula wakipika wanawake kwenye shughuli mara nyingi huwa haviivi kuliko wakipika wanaume sijui watatizo gani hawa ndugu zetu

    Zunguka kote! Ukikuta kuna sherehe au msiba halafu wapishi wawe wanawake mara nyingi chakula kinakuwa kibovu mno kuliko wakipika wanaume! Wanawakwe huanza upishi kwa mbwembwe nyingi! Kuchambua mchele, kumenya viazi, vitunguu wanamenya, tena kilo zikiwa nyingi huwa wanagawana masufulia ili...
  2. D

    Nilichogundua mke kuolewa siyo bahati bali awe na sifa hana tofauti na kiwanja sehemu nzuri kununuliwa ni chapu kwa haraka kuliko magumegume

    Wanaosema kuolewa ni bahati huwa wanajifariji tu! Ukweli ni kwamba kuwa mke wa mtu ni vigezo na sifa maalum ambavyo siyo kila mwanamke anavyo! Kutokuwa malaya haina maana unasifa moja kwa moja kuwa mke wa mtu bali hii ni tabia njema ingawa siyo tiketi ya kuolewa! Mwanamke mwenye sifa ya...
  3. Mlaleo

    Kabila la Kiarabu la Druze huko Syria milimani Golan wanataka eneo lao lichukuliwe na Israel.. Wasema bora kuishi na Shetani umjuaye kuliko usiyemjua

    Habari inayosambaa Mitandaoni: Wadruze wa Syria wanaomba wao wenyewe kuunganishwa eneo la Milima yao ya Golan yote iwe ndani ya taifa la Israeli. Jumuiya ya Wadruze wa al-Hader nchini Syria wameamua Israel iwatwae, Israel 'wanauovu mdogo' mbele ya uwezekano wa kunyakuliwa na waasi wa Syria...
  4. G

    Biashara ni kama mpira hata Messi unahitaji pasi, familia / ndugu / ukoo wakiungana hufanikiwa zaidi kuliko jeshi la mtu moja

    Sio lazima wanafamilia / ndugu / wana ukoo wote wawe wamekusanyika sehemu moja, No !! Inaweza kuwa Mzazi, Dada, Kaka, Last born, Baba mkubwa na mtoto wake kila mtu ana biashara yake ila kuna baadhi ya mambo wanafanya na kufaidika pamoja 1. Ununuzi kwa Wingi Kundi la Familia / Ndugu / Ukoo: Kwa...
  5. Yoda

    Kilichotokea Syria kwa Urusi ni kibaya na aibu kuliko kilichotokea Vietnam na Afghanistan kwa Marekani

    Taarifa za Damascus kuanguka mikononi mwa waasi zikiwa zinaendelea kusambaa na kusubiria kuthibitishwa rasmi wengi wameshangazwa na waasi wa Syria kuweza kufanikiwa kirahisi na kwa haraka sana dhidi ya utawala wa Bashar al-Assad Hapa tunajifunza kwa vitendo pia kwamba majeshi ya Urusi, Iran na...
  6. Mwalimu wa field

    Bora kufia jela kuliko kufa maskini

    #usiue #usikabe #usipore
  7. mdukuzi

    Kwanini timu za EPL zina majeruhi wengi kuliko timu za Ligi kuu Tanzania. Je, Wachezaji wetu wamekomaa au hawajitumi?

    Tottenham,Man City,Arsenal zina majeruhi zaidi ya 10. Huku timu zetu wachezaji wote wako fit despite hawapitii vipimo vya afya vile inavyotakiwa. Je wachezaji wetu hawajitumi au wamekomaa?
  8. G

    Gharama nafuu sio unafuu wa maisha, heri mji wenye gharama kubwa utazoweza kumudu kuliko mji wenye gharama nafuu utazosota kumudu

    Kigezo cha kusema kwamba sehemu ina maisha nafuu kwasababu vitu vyake ni gharama nafuu ni dhaifu with a few exceptions. Kila mkoa / nchi ina system yake kwenye matumizi na kipato, ni jambo la kuzingatia sana hasa kwa wale wanaojitafuta. Unaweza kuwa sehemu kama Mbeya, ni mkoa unaosifika kwa...
  9. Money Penny

    Inawezekanaje mtu akampenda mchepuko sana kuliko mke wa ndoa?

    Haya nimeulizwa hilo swalo naomba jibu Nyie mnaopenda michepuko sana kuliko wake za ndoa mje mjibu nini mbaya? Na sahivi imekuwa kama tabia na inaenda kuwa legalised Sijui mtaishia vipi watoto wa sahivi?
  10. Waufukweni

    Huyu streka refu kuliko goli, Steven Mukwala ndio tuseme anaipenda sana Simba au ni Ubishoo tu?

    Begi la Ubaya Ubwela kutoka kwa Star Boy, Steven Mukwala Streka refu kuliko gali akiwa safarini kwenda kuwakabili CS Constantine Disemba 8 huko Algeria.
  11. tpaul

    Kwanini ushoga ni mwingi Zanzibar kuliko Tanzania Bara?

    Takwimu zinaonyesha na ukweli unadhihirisha kwamba vitendo vya kishoga nchini Tanganyika ni vichache kuliko ilivyo nchini Zanzibar, hadi kufikia hatua ya kukemewa na viongozi wa dini wanaokerwa na tabia hizi chafu. Tazama jinsi mashoga yanavyofanya shughuli zao na kujinadi hadharani bila...
  12. Yoda

    Vita vya Syria vina mchanganyiko sana, ila dikteta Assad ni uovu wenye afadhali (lesser evil) kuliko waasi Wanajihadi

    Ukiangalia kwa undani makundi ya waasi yanayopigana dhidi ya utawala wa dikteta Bashir Al-Assad nchini Syria hayatoi matumaini mema kwamba endapo yatafanikiwa kumng'oa Assad siku za usoni za Syria zitakuwa njema chini ya utawala wao mpya, makundi yanayompinga Assad ukiondoa Wakurdi nusu yake ni...
  13. E

    Ukweli ni kwamba ACT wazalendo wamemtendea vyema kiongozi aliyetekwa kuliko CHADEMA kwa wafuasi wao

    Ndani ya Muda mfupi wametoa taarifa muhimu ambazo zitasaidia kupatikana kwa mfuasi wao CHADEMA sasa hivi wangekuwa kwenye media wakitoa matamko kuna kitu wajifunze .
  14. Magical power

    Ukiogeshwa unatakata kuliko uogavyo mwenyewe 😀 kama hujawahi kuogeshwa siku ujaribu rafiki

    Ukiogeshwa unatakata kuliko uogavyo mwenyewe 😀 kama hujawahi kuogeshwa siku ujaribu rafiki
  15. Poppy Hatonn

    YAS nadhani wamepanga kutuibia hela nyingi kuliko TIGO

    Nilikuwa nimekopa hela hapa YAS,kuzilipa imekuwa kisanga matata. Kila nikipeleka hela,naambiwa mkopo bado. Hapa nadhani nimedhulumiwa sh. 2000
  16. Chibule

    Vijana ambao hawapo kwenye Ndoa wanatakiwa kuwa na Mafanikio Kuliko Walioko Kwenye Ndoa, kivipi?

    Vijana wengi wasio na wake wanapaswa kuwa na mafanikio zaidi kuliko walivyo sasa. Lakini kwa sababu wanatumia pesa nyingi kwa wanawake ambao sio wake zao, ndio maana hawafanikiwi. Bro unajua mapenzi yanaweza kukurudiasha nyuma kama usipoingia kwa akili? Ila mapenzi ni matamu sometimes lakini...
  17. OMOYOGWANE

    Kocha mpya wa Yanga Sead Ramovic ni hatari zaidi kuliko Gamond baada ya mechi tano zijazo mtamsahau Gamond

    Naomba niwe mtu wa kwanza kutofautiana na wengi wanaomponda kocha RAMOVIC. Ni kawaida kwa kocha yeyote mpya kupoteza mechi ya kwanza japokuwa sio makocha wote. Uchebe mwanzoni mwa pre season alikuwa anafungwa mpaka na Dodoma jiji kwenye friend match, pia Al Hilal ilimkanda kwenye CECAFA, Kocha...
  18. D

    Kumbe Majini sio viumbe vya kuogopa, yana vibrate at low frequency kuliko sisi

    Knowledge is power..kumbe MAJINI, WACHAWI, NA BLACK MAGIC ZOTE, zinafanyika at low vibrational frequency ndio maana ili mtu alogeke lazima washushe frequency yake awe kwenye range zao. Kwa mfano mtu akiwa ana hofu au hasira ni rahis kumloga coz ana resonate at 7Hz very low frequency. PEPO...
  19. U

    Marioo asema nyimbo zake zote ni hit. Je, ni kweli ana hit nyingi kuliko Diamond, Harmonize, Rayvany, au Mbosso?

    Asalaaam wanajamvini. Kazi yangu moja tu kuanzisha mada kutokana na wanayoongea wengi wakiwamo wasanii. Kuna msanii mmoja mkwe wake Majani anafahamika kama Mario, amesema nyimbo zake zote alizotoa ni hit, na ni kweli sipingani na Hilo, hata Maromboso pia nyimbo zake alizotoa official zote ni...
  20. Friedrich Nietzsche

    Mfuko wa UMOJA FUND vipande vyake ndo vina thamani kubwa kuliko vipande vyovyote vile vya mfuko wa UTT

    Nilikua napitia thamn ya vipande tofauti Leo 27.11.24 1️⃣Umoja fund-1076 🟥 1087 KUZ🟩 2️⃣Ukwasi/Liquid fund 427🟥 427🟥 3️⃣Jikimu 177🟥181🟩 4️⃣Bond 118🟥118🟩 Hii ina maana gani?? Je ni sahihi na ninavo tafsiri thamani?
Back
Top Bottom