Hiyo ni kwa mujibu wa chapisho la Jarida la The Sun, ambapo limeeleza kuwa ngono kati ya roboti na Binadamu wa Kike itakuwa ya kawaida zaidi kuliko Wanaume.
WANAWAKE watakuwa wanawanyima wanaume wanapotaka kupata hali ya joto na wanaweza kuanza kuzipenda mashine hizo, kulingana na ripoti.
Dk...
Kwa nini japo nyama ya bata ni tamu kuliko nyama ya kuku ila kuku ni maarufu na analiwa zaidi ya bata ? Ni vigumu sana kupata bata mgahawani au hotelini.
Siasa ni sayansi na sayansi inategemea siasa;
CHADEMA wameondoka Vigogo wakubwa sana tena wenye profile kubwa na nzito kweli kweli kama vile Dkt Wilbroad Slaa,Zitto Kabwe,Kitila Mkumbo etc……
Ila Wanachama na wananchi wa kawaida waliona tu kuwa huo ni wakati wa kawaida chama chao kinapitia...
Bila Marekani, Saudi Arabia isingekuwa kama ilivyo. Ingeishageuka Afghanistan zamani.
Je ni halali taifa 'takatifu' kulindwa na taifa chafu kama Marekani? Wanangu wenye kujua nisaidieni.
Nimeona mitandaoni na kwenye vyombo vya habari inaonekana ccm pamoja na serikali wana matumaini makubwa sana na Mbowe kuliko Lisu.
Wako tayari kumpigia kampeni Mbowe na kupiga kampeni dhidi ya Lisu.
Haya mahaba na Mbowe yanatoa picha gani!?
Baada ya mwenyekiti wao na wafuasi wake kusema amekipambania chama nikatafakari na kujua wafuasi wa iko chama ni manyumbu
Iv kupambania maana yake katumia garama au pesa , kwa mfanya biashara mzoefu haoni hasara ku take risk ktk biashara
Uwekezaji wake katika chama wao wanaona kapambana...
Hellow Tanganyika!!
Uliyoyasikia kuhusu wewe kuchoka Si mwili pekee, Bali Fikra za kuleta uono Mwema wa chama na Nchi chini ya uongozi wako.
1. Kupoteza kumbukumbu ni kiashiria kikuu Cha Mkt Mbowe kuchoka, Ndugu Mbowe umeshasahau kuwa Mwaka 2014 chama chako kimekuwa mstari wa mbele kudai...
* Zitto amekaa muda mfupi na kupisha mwingine bila mabishano;
* Mbowe wa CDM amekaa miaka mingi na hana utayari wa kuamini kuwa wapo wengine wawezao kuongoza CDM;
CCM izidi kuwafundisha CDM ustarabu ktk chaguzi
Nimesikiliza maelezo ya Ezekiel Wenje aliyetuhumiwa na Lissu kumpeleka Abdul kumuhonga pesa, ukiniuliza mimi naona maelezo ya Wenje yamenyooka sana kuliko tuhuma alizokuwa anarusha Lissu dhidi ya watu anaodai wamehongwa.
Swali ambalo limebaki sasa ni kwamba Lissu anafanya mambo haya kwa sababu...
Kwa nini Lowassa (mtuhumiwa wa fisadi) alipata kura nyingi katika uchaguzi mkuu wa 2015 kuliko alizipoata Willibrod Slaa (msafi) mwaka 2010?
Ni mvuto wa kisiasa, pesa, sera, upadri wa Slaa au kitu gani kilicholeta matukio ya kuchanganya hivyo?
Jamani napata shida sana,kusikia Mbowe anasema yeye ndio amekijenga CHAMA, eti kwa fedha, mawazo,nk, nijuacho mm kiongozi mzuri na mwenye hekima hawezi kusema yeye ndio umekikuza CHAMA na kukijenga
CHAMA ni tasisi, ambayo inajengwa na watu mbalilmbali ndani ya nchi na nje, watu wanatoa michango...
Askofu Dkt. Bagonza
HONGERA CHADEMA, lakini.……
Mkutano wenu umeonyesha haya:
- Chadema ina mashabiki wengi kuliko wanachama. CCM ina wanachama wengi kuliko mashabiki.
- Kazi ya Chadema ni kubadili mashabiki kuwa wanachama, na ya CCM ni ya kuongeza mashabiki bila kupoteza wanachama...
Hamjambo Watanzania!
Ni dhahiri joto la uchaguzi ndani ya chama cha upinzani cha CHADEMA limepamba moto na katika ufuatiliaji wangu kwenye mitandao ya kijamii hususani Youtube,X na Instagram nimeona maoni ya wananchi na wanachama wengi wa kawaida wanamhitaji Lissu kuliko Mbowe. Kwa usanisi...
Huyu ndugu yangu Freeman Mbowe naamini ndiye recruiter bora kwa miongo 3 katika nchi hii (kwenye upande wa siasa).
Kwa nini serikali/system isimchukue na kumpa kitengo cha kutafuta vijana wenye uwezo, kuwapika na kisha tukapata wakina Lissu wengi, wakina Heche wengi, wakina Mnyika wengi...
Salaam, Shalom!!
Ni Rahisi sana kutolewa ugonjwa au LAANA iliyosababishwa na Hila za shetani na mapepo yake, lakini ugonjwa au LAANA Toka Kwa Mungu au wazazi huna namna ya kuiondoa.
Ukipatwa na LAANA Toka Kwa Mungu au wazazi waliokulea, huwezi pata msaada kwingine kokote, hayupo wa kukuombea...
Kazi ya elimu sio kumuingizia mtu vitu kichwani, kazi ya elimu ni kumsaidia mtoto kuugundua na kuufanyia kazi uwezo alionao.
Shule zetu za Kayumba hazimpi mtoto nafasi ya kuuonyesha na kuuvumbua uwezo alio nao bali mazingira yanamfanya awe mjinga zaidi hata kama anatapa A.
Mazingira ya Shule...
chanzo
english
english medium
faraja
iq kubwa
kariakoo
kitaifa
kubwa
kuliko
kutafuta
maana
mambo
nchini
simba
simba na yanga
ushabiki
wanaume
watoto
wengi
yanga
Makala hii nitaiweka kwa vipande kuepusha kero ya usomaji.
Moja ya hoja maarufu kutoka kwa watu wanaoamini Mungu (Theists).
Ni hoja ambayo imelenga kuweka matumaini ya mwelekeo katika maisha ili kuwafanya watu waone kuamini Mungu yupo ndio uchaguzi bora zaidi (rational) kwasababu haitakupa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.