Suala la kulipia demu kodi ni gumu dunia kote sio kwa Mond tu ndiyo maana nasemaga kuoa ni kwa ajili ya watu dhaifu 🤣
wanaume nice guy huwa inalipa kodi hadi milioni 3 eti..! Dah halafu unalikuta linalipa hiyo kodi hata bima ya afya hana.
Mimi nakumbuka niliwahi kuachana na demu mmoja mseng&...
Kama mada ilivyo. Natamani kuanza kununua bidhaa kutoka nje ya nchi kupitia hii mitandao ya uuzaji kama Alibaba, AliExpress etc japo kwa sasa nataka nianze na AliExpress.
Sasa kuna kipengele cha kulipia bidhaa hapo ndio nakwama maana Kuna mahali naambiwa niweke card. Pia Kuna mahali wanataka...
Mimi kama mdau nahoji kwa nini vijana kutoka Tanzania bara wanapokuja kufanya mafunzo kwa njia ya vitendo ZANZIBAR wanalazimika kulipia kiasi kisichopungua shilingi laki moja na nusu kama gharama ya mafunzo kwa njia ya vitendo? Je ikitokea wakutoka zanzibar nao wameenda bara kufanya mafunzo je...
Wakuu habari. Naomba mnisaidie hii kitu, kuna movies flani zipo kwenye website flani flani ambazo huwezi kudownload, yani ni kuwatch online tu.
Sasa ningependa kujua naweza kupata website ambayo taweza kupaste url tu ya movie husika then nidownload ? please help me njia yoyote nayoweza kutumia...
Imetokea Zambia hii, Chris Brown alienda Sauzi kupiga show wiki iliyopita, Mke wa mtu akafunga safari kwenda kumuona, haikuishia hapo akalipia meet and greet, hiki ni kiingilio kwa wale wanaotaka kumuona msanii kule back stage na kupiga nae picha, Chris Brown huwa anatoza dola elfu 1 (shilingi...
ataka
baada
brown
chris brown
kulipia
kuona
kupiga
kuvunja
kuvunja ndoa
mahaba
milioni
milioni 2
mke
mke wake
mume
mwanaume
ndoa
picha
talaka
wake
zambia
Salaam Wakuu,
Baada ya Mdau wa JamiiForums aliyejitambulisha kama Dereva kudai NEMC imewachelewesha Mpani kwa wiki Mbili, NEMC wamewataka Madereva hao kuwasiliana na Wakala wao.
"Kwa muda wa takriban wiki mbili magari yetu ambayo ambayo yana mizigo ya skrepa kutoka Malawi kwenda Uganda na...
Je, ni sahihi kulipia kibali kwaajili ya marekebisho ya kupaka rangi nyingine nyumba yangu?
Nimeikuta huku Songea mkoa wa Ruvuma, ikiwa mwenye nyumba anataka kurekebisha rangi au kubomoa na kujenga vyumba vya kisasa inahitajika alipe pesa serikalini
Ili apate kibali je ni sahihi? Au ni sheria...
*Yasema matumizi ya bando ni nafuu na yanaondoa usumbufu
*Yaipongeza NSSF kwa kuweka mifumo katika Daraja hilo
Na MWANDISHI WETU,
Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, imeridhishwa na utaratibu wa manunuzi ya bando la tozo kwa matumizi ya Daraja la Nyerere...
Wakuu,
Watu kutoka manispaa za Kinondoni na Temeke wamekuwa na hekaheka za kwenda kwenye sehemu za wafanyabiashara, maarufu kama fremu na kupima mabango ambayo yapo kwenye sehemu za biashara, na kudai yalipiwe. Hizo ni sheria za manispaa.
Najiuliza sana, kuwa bango lengo lake ni kuelekeza...
Wakuu zangu huwa nataka kufanya Huduma Mbalimbali katika mtandao lakini huwa na kwama hapa...
Pia Napata shaka labda hata kuibiwa kimtandao...Wakuu naombeni Msaada.
Mzee wa makamo alie ongozana na mwanae walikuwa wameketi pembezoni mwa kuta za mgahawa pale mlimani city,
Hawakuonekana kuwa ni wazoefu wa maeneo hayo japo kijana alionekana kuwa mtanashati kutokana na mavazi yake niwazi huenda alikuwa ni mtumishi katika ofisi za Uma'
Mzee nywele zake...
Kuna baadhi ya vituo vya afya hapa nchini wanatoza malipo ya dawa kwa wajawazito waliojifungua hasa wale waliofanyiwa upasuaji.
Swali langu; Je ni haki mama aliyefanyiwa upasuaji kulipia gharama za dawa alizopewa ?
Hivi kuna watoto waliosomeshwa shule za kulipia na ni jobless maana hii inafikirisha?
Iwe shule ya msingi ama sekondari au hata chuo na bado akawa jobless hii inawezekana?
Na kama ni ndio tatizo linakuwa nini? Mzazi kutojitambua ama nini? Au anafanya gambling kwenye mafanikio ya mwanae? Au...