kulipia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teknocrat

    Kuanzia leo, sipandi Pantoni wala kulipia kwenye hilo daraja

    Haya sasa, watalipia hili daraja wenyewe ila usianguke tu.....
  2. Frumence M Kyauke

    Risper Faith amemwanikaTanasha Donna kwa madai ya kushindwa kulipa deni lake

    Mwanasosholaiti Risper Faith amemwanikaTanasha Donna kwa madai ya kukosa kulipia pesa za upasuaji wake. Jumbe zilizopakiwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Edgar Obare, Risper alidai kuwa Tanasha alimwendea na kumuuliza kuhusu upasuaji wa urembo na uzoefu wake. Risper alisema kisha...
  3. Mwamuzi wa Tanzania

    Msaada: Naweza kulipia leseni ya Udereva TRA kwa njia ya simu?

    Habari! Nimepoteza leseni ya udereva, nimekamilisha taratibu zote za kupata mpya (renew). Wamenipa kile kikaratasi chenye maelezo mafupi na tin number. Ni lazima kulipia palepale wanapokuambia ukalipie au naweza kulipia kwa njia ya mitandao ya simu? Thanks
  4. Chendembe

    Haijakaa sawa kulipia huduma ya choo katika sehemu za huduma za jamii. Litazamwe upya

    Tumekuwa na utaratibu wa kulipia huduma ya choo katika masoko yetu, stendi za mabasi nchini. Mimi nimekuwa najiuliza saana kuhusu utaratibu huo. Mbaya zaidi, ni pale hata wafanyabiashara au wenye ofisi maeneo hayo wanalazimika kulipia huduma hiyo. Inafahamika Wenyee shughuli zao katika sehemu...
  5. Suley2019

    Waziri Bashungwa awataka wamiliki wa redio kulipia muziki wanaopiga

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amewataka wamiliki wa vyombo vya habari Tanzania kuhakikisha wanalipa tozo za muziki unaopigwa katika redio zao ili kuwawezesha wasanii kupata haki zao. Bashungwa amesema hayo jana Ijumaa Septemba 3, 2021 wakati akizinduzi kituo...
  6. K

    Utaratibu kununua vocha za TTCL ni kero; Unalipia Benki baada ya kupewa control number

    Nilienda kununua vocha ya shs 5,000.00 pale Telephone House, ile natoa pesa naambiwa nipewe control number nikalipie benki. Jamani hii ni biashara au huduma na huku wanadai rudi nyumbani kumenoga. Hebu wajirekebishe.
  7. BASIASI

    #COVID19 PIC Makubi chunguza kitengo cha COVID 19 JNIA, wasafiri wanalazimishwa kulipia tena wakati washachanjwa

    Haya malamiko niliyapata wiki sasa nilikuja kupokea Wamalawi sita wana docs zote kuonyesha wamechanjwa na hawana Covid. Wazee wa JNIA pengine wamo uliowasimamisha kazi wamekuwa wakisumbua sana wasafiri kwa kuwalazimisha kutoa hela ingawa wengi wakishatoa wanapitiliza nje. Nashauri wenye kuwa...
  8. Red Giant

    Kwa nini Mpesa hawajaweka sytem ya kuweza kulipia kwenye app za google play?

    Nimecheki nimeona wenzetu Kenya, safaricom wanaruhusu hili jambo, tena muda mrefu sana. Hii inarahisisha sana malipo. Si kila mtu ana mastercard au visa card. Kwanini Mpesa na wenzake hawaliangalii hili?
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    Wasafiri Uwanja wa Ndege Dar, Walalamikia utaratibu wa kupimwa corona

    Download 720 Waziri wa Afya anatakiwa kubadilisha utaratibu mbaya unaofanywa Mjini Dares-Salaam Airport. kuhusu Wageni ama sivyo Mwaka huu Tanzania itakosa wageni wengi na pato la Taifa kuhus wageni litashuka. Sikiliza hiyo video. ==== WASAFIRI katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
Back
Top Bottom