kulipia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Princesswaprince

    SoC04 Elimu ya shule ya msingi bure, tuition ya kulipia ya lazima kwa wanafunzi wote!

    Katika sekta ya elimu naipongeza serikali kwa uamuzi wa kutoa elimu bure kwa wanafunzi wote waliofikisha umri wa kuanza shule. Nawapongeza pia walimu katika utendaji kazi wao wa kutoa elimu kwa watoto wetu wote. Katika hili kuna changamoto kidogo ya matokeo katika mitihani ya shule mpaka...
  2. R

    DOKEZO Serikali inapata hasara ya mabilioni kwa watumiaji wa mifumo ya TEHAMA kulipia huduma isiyoendana na kiasi cha fedha kilicholipwa

    Kuna jambo nimelifanyia utafiti nimegundua makampuni na mashirika ya umma yanaiba fedha nyingi sana serikalini. Kuna fundi nilimtuma akalipe huduma ya kuunganisha maji. Nakumbuka jumla ya fedha zilizoletwa kama bill kwenda serikalini ilikuwa zaidi ya laki saba na sabini na nane. Nilimpa moja wa...
  3. Stephano Mgendanyi

    MBUNGE Condester Sichalwe: Kujengwe Barabara ya Kulipia

    Mbunge wa Momba Condesster Sichalwe ameishauri Wizara ya Viwanda na Biashara pamoja na Wizara ya Uchukuzi waone namna ya kushirikiana na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) ili kujenga barabara ya kulipia ambayo itaongeza Pato kwa Taifa. Sichalwe ametoa ushauri huo bungeni jijini Dodoma...
  4. Pdidy

    Vituo vya mafuta vina mabango ya "zima simu yako" lakini pembeni kuna linalosema unaweza kulipa kwa Tigopesa, Mpesa n.k

    Haya mambo sijui kama wanasomaga wanachoandika Unaambiwa zima simu yako tafadhali Pemben unaweza lipia mafuta via Tigopesa, Mpesa, Voda pesa. Nikishazima nalipaje a.A natumia nguvu za zagi?
  5. MK2017

    Kulipia huduma ya Choo sehemu za umma (sokoni na stendi)

    Habrini wana JF, Mimi leo langu ni swala zima la watu (haswa sisi watanzania) kulipia huduma ya kujisaidia sehemu mbalimbali kama stendi na sikoni. Najuwa baadhi yeta tunaweza sema oooh kunahitajika usafi, sawa, mbona kwenye viwanja vya ndege kuna vyoo na vipo safi muda wote? Pia hata nchi za...
  6. H

    KIDATO CHA NNE KULIPIA CHETI NI SAHIHI?

    Wadau Eid Mubarak, Niende kwenye mada nina mtoto wa mdogo wangu ambaye nimekuwa nikimsuport katika elimu yake ya Sekondari. Huyu binti anasoma shule moja SIJUI niite ya serikali au ya kijamii, ni shule zile amabazo zilijengwa mahususi kwa ajili ya jamii za kifugaji ili kuisaidia ukuaji wa elimu...
  7. Heparin

    Ahmed Ally: Si jambo jema hata kidogo Serikali kutoa Posho ya 1.2M pamoja na Usafiri kwa Mashabiki wa Yanga, Mpira ni Starehe

    Baadhi ya Mashabiki wa Simba waliojilipia nauli zao kusafiri kwenda kuipa support timu yao Nchini Misri Kila shabiki amejilipia Dola 1200 sawa na Milioni 3,126,000. Hili swala la Serikali kusafirisha Mashabiki nitatoa maoni yangu nikimalizana na Al Ahly, Sasa hivi akili inawaza namna ya kufuzu...
  8. Lycaon pictus

    Niulize chochote kuhusu matangazo ya kulipia Facebook na Instagram

    Mimi siyo expert wa kutangaza online kwenye Facebook na Insta lakini nina uzoefu kidogo wa kama miaka miwili hivi kutangaza huko. So niulize swali lolote kuhusiana na sekta hiyo nami nitakujibu. Nikishindwa watakuja wataalamu zaidi na mimi nitazidi kujifunza. Karibuni.
  9. masai dada

    Naenda kulipia befoward honda step wgn ya 2011, naomba ushauri

    Naombeni ushauri kuhusu hii gari naenda kuilipia leo. Sina ufahamu wowote nimependa space tu.
  10. P

    Kumbe siku hizi ukitaka ku sponsor post kuna kulipia VAT? Imeanza lini hii?

    Huu utaratibh Umeanza lini daah
  11. Mwamuzi wa Tanzania

    Leo naamka na watu wajinga wanaotaka kufanya sherehe kubwa kwa kuwachangisha wengine

    Moja kwa moja kwenye mada. Jana wakati naingia ofisini nakuta kadi ya mchango wa harusi mezani nikaambiwa na mfanyakazi mwenzangu kuwa ni yangu. Nafunua ndani nakuta haina hata jina Iko plain na wanaooana siwajui. Nikamuuliza yule mfanyakazi mwenzangu vipi mbona haina jina? Akasema wewe andika...
  12. Crocodiletooth

    Wanaccm tukumbuke kulipia kadi zetu za uanachama, tuonyeshe vitendo na mifano kwa vyama vingine!

    LIPA ADA YAKO YA UWANACHAMA KUPITIA MITANDAO YA SIMU: Fahamu namna ya kulipa Ada ya Uanachama wa CCM na jumuiya zake kupitia mitandao ya simu. Ili kutimiza wajibu wa kikatiba wa kulipa Ada, ewe mwanachama zingatia namna zifuatazo katika vipeperushi(bango) jinsi ya kulipa Ada kupitia mitandao...
  13. Crocodiletooth

    Wajuzi wa mambo naomba kufahamu za kulipia gari iliyokuwa exempted mwaka 2012

    Waungwana nimenunua mkweche uliokuwa exempted. Naomba kujuzwa wastani wa kulipia kwa gari ya namna hiyo, Discovery Landover. Msaada tutani.
  14. Miss Zomboko

    Uko tayari kulipia kupata kadi ya kupiga kura endapo kadi uliyonayo itapotea?

    Kwa mujibu wa kifungu cha 20(2) cha mswada mpiga kura aliyejiandikisha kupiga kura kwa madhumuni ya mswada huu, endapo kadi yake ya kupigi kura itapotea, kufutika au kuharibika atalazimika kufanya maombi ya kuomba kitambulisho kipya kwa afisa mwandikishaji wa eneo husika. Afisa mwandikishaji...
  15. Determinantor

    Dar: Kijana ashushiwa kipondo na Dada poa baada ya kushindwa kulipia huduma

    Kama Kuna Watu wako hatarini kutoweka ni wanaume halisi.....jamaa kapokea kipondo heavy baada ya kushindwa kulipia huduma ya dada poa. WENYEWE WAJITETEA KUWA NI MAIGIZO, SIO UHALISIA. JAPO WAMESHINDWA KUSEMA NI MAIGIZO YA KIKUNDI GANI NA MAUDHUI YAKE NI NINI ......
  16. BARD AI

    Ripoti: Tanzania inatumia 10.1% ya Fedha za Mikopo kulipia Mikopo ya Nje

    Kwa mujibu wa Kanzidata ya Kimataifa ya Takwimu za Madeni (IDS) kuhusu Madeni ya Serikali za Afrika, imeonesha kati ya mwaka 2015 hadi 2023, Tanzania imetumia wastani wa 4.26% hadi 10.1% ya Fedha za Mikopo katika kulipa Deni la Nje. Ripoti imeonesha Nchi 30 za Afrika zinatumia Fedha nyingi...
  17. ChoiceVariable

    Tanzania yalipa Fidia ya Tsh. Bilioni 75 kwa kufuta Leseni ya Kampuni ya Madini

    Inauma sana pesa za Walipakodi kupotea Kwa sababu ya uzembe wa Baadhi ya watu na hawachukuliwi hatua yeyote. Dola mil.30 sawa na Bil.75 ni km 55-60 za Barabara ya Lami ila Kuna watu wamepata kiulaini. Swali. Hivi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Huwa inalisaidiaje Taifa? === Kwa mujibu...
  18. KAGAMEE

    Kuna umuhimu gani wa kulipia king'amuzi wakati umeme hakuna?

    Wakuu habari zenu.Mimi siyo mwanasiasa japo siasa naona inanishindisha giza na kunilaza giza.Ndani ya siku 30 nilizolipitia king'amuzi changu cha AZAM nakadiria kutumia bandle hilo kwa siku 11 tu. Siku zingine umeme hakuna. Sijui wenzangu mnaiona hiyo hasara wanayonipatia TANESCO
  19. K

    Nimechoka kulipia lodge, leo naupeleka mchepuko home ili wife akome kuninyima mbususu

    Nimechoka kulipia lodge, nataka nipeleke mchepuko nyumbani ili wife akome kuninyima mbususu. Wakuu naombeni ushauri! Nina mke lakini amekuwa mtata Sana kwenye kunipa mbususu Hali iliyopelekea nitafute mchepuko. Sasa shida ni hela ndugu zangu,yaani kila ninapotaka kwenda kuuzagabua mchepuko...
  20. B

    Suluhisho la kutopatikana wa Dola na kushindwa kulipia gari kutoka SBT JAPAN

    Salam wadau Ni takribani wiki mbili sasa nimeshindwa ku-clear invoice ya kununua gari kutoka Japan kutokana na ukosefu wa Dola sokoni. Nimewekwa kwenye lisit ya kusubilia, hila kila nikienda bank naambiwa kuwa bado. Ili kutatua changamoto hii, nimepewa option mbili 1. Kufungua akaunti ya dola...
Back
Top Bottom