Madaktari naomba niwaulize, kwani miwani sio matibabu ya macho? Kama uono wako unategemea miwani na usipovaa sio tu kwamba huoni bali unaumwa sana na kichwa, kwanini sasa NHIF wanagoma kulipia huduma ya miwani katika vifurushi vyao?
Wiki mbili hizi nimepata mitihani ya kuuguza mzazi wangu na...
Anonymous
Thread
afya
huduma
huduma za afya
kifurushi
kulipia
kupata
kushindwa
malalamiko
pamoja
Generation Z au Zoomers ni kizazi cha waliozaliwa kuanzia mwaka 1997 hadi 2012. Umri wao ni kati ya miaka 9 hadi 24. Kizazi kitakachofuata baada ya Generation Z kitaitwa Generation Alpha (Generation Alpha and the generations that will come thereafter will be more worse than Generation Z)...
HABARI Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar Tabia Maulid Mwita, ameomba radhi na kutengua kauli iliyotolewa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni Zanzibar, Dkt Omar Adam ya kwamba mwanaume yeyote anayetaka kusuka visiwani humo itambidi alipie...
Habari za Leo wadau,
Mimi ni Wakala. Leo dada wa kazini amekosea kulipia control number ambayo ni ada ya mwanafunzi wa CBE akamlipia mwanafunzi mwingine wa CBE ambae sio alietoa pesa.
Naomba kuuliza hatua za kufuata Ili nitatue changamoto hii, naomba kuwasilisha.
MREJESHO:
Nilifuta ushauri wa...
Stendi ya Msamvu hali ni mbaya kimapato licha ya uzuri na ubora wake.
Menejimenti ya stendi hiyo yashindwa kulipia hata umeme. Abiria wanaporwa hovyo kwasababu ya giza lililotawala kwenye stendi hiyo.
Kama vipi tumkabidhi Muarabu aendeshe.
==============
Upande wa vyoo vichafu mno, upande wa...
Habari, naomba mwenye uzoefu wa kutumia mfumo wa kupata leseni ya biashara online uitwao tausi portal unaopatikana katika tovuti ya Tamisemi, anisaidie namna ya kupata mawasiliano ya huduma kwa wateja, kwani mtandao umekuwa na changamoto ya kuchelewa kutoa control number ili kupata leseni ya...
Daraja hili limejengwa na vijana wawili wa kata ya Sinoni katika halmashauri ya Arusha mjini, baada ya eneo hilo Kukosekana daraja kwa miaka mingi.
Daraja hilo hulipiwa kiasi cha shilingi 200 kila avukapo mtu. Hivyo basi wananchi hulazimika kutumia kiasi cha shilingi 400 kila siku kupita juu...
Wewe ni freelancer ,mwandishi au mfanyabiashara Na unahitaji kuweka mfumo wa kulipia ili watu kabla hawajajiunga kwenye group lako la WhatsApp au WhatsApp business waweze kulipia Na uweze kupokea fedha zako kirahisi.
Au pengine ni mfanyabiashara Na unahitaji kuuza bidhaa zako WhatsApp Na watu...
Wakazi wanaofikia 644 wa eneo la Magomeni Kota jijini Dar es Salaam waligoma kusaini mkataba wa kuanza kununua nyumba za eneo hilo kwa madai kwamba bei pamoja na muda wa malipo uliopangwa haukuwa rafiki kwao na wala hauendani na hali zao za kiuchumi ambapo walipaza sauti zao kumuomba Rais wa...
Habari naomba mtu anaejua jinsi ya kulipia matangazo instagram ili kuwafikia wateja au wahitaji wa huduma ninazotoa naomba anielekeze vizuri maana sina utaalamu mkubwa kihivo.
Mwaka jana nilifungua account nikapromote tangazo na likawa limepata viewers wengi sana lakn jinsi ya kuwalipa...
Naona Kuna south Africa, Wana promoted tweets nyingi kweli, nadhani Kuna namna wanalipia, Kila ukifungua mtandao, lazima ukutane na tangazo lao la utalii.
Nadhani wizara ilione hili ili kuvutia watalii na uwekezaji
Niende moja kwa moja.
Nimeingia sokoni, nikaona siwezi kufika kwangu na mizigo, acha leo nijisitiri vyoo vya kulipia Tegeta looh salaleee!
Ni Muda huu nahisi leo sitakula, nimekata tamaa kabisa. Ndani ya vyoo hivi unatoka na ugonjwa. Jamaniee sikushauri ukaangalie, panatia huruma. Nzi, kinyesi...
Hili ni zuri sana, haikulazimishi kulipia mtungi mzima kwa Sh 23000 au Sh 58000. Kwa Sh 1000 yako tuu (buku) unanunua sehemu ya gesi iliyo kwenye mtungi na kupikia. Achana na zile gesi ikiisha unatelekeza mtungi na kurudi kwenye mkaa au kulazimika kutibua bajeti yako uliyojiwekea.
Unalipia...
Ni miezi miwili au mitatu sasa hakuna umeme wa uhakika kabisa, nijikite kwenye mada.
Wapi kwa Dar es salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, au kwingine ukiwa na kazi za ofisini kwenye laptop unaweza kwenda kufanya kazi zako pindi umeme unapokatika.
Maana yake wengine tutakufa njaa na kazi za watu...
Ghana imeonyesha baada ya kufikiri kwa kina.
Dhahabu ni fedha ya kigeni.
Kama una dhahabu ya kutosha, unalipa madeni yako kwa reserves za dhahabu hiyo.
Mwigulu and co., hebu lifikirieni hilo kwa makini.
Inaitwa thinking out of the box.
Rejea kichwa Cha habari hapo juu.
Msaada wa jinsi ya kulipia (payment methods) ambayo nitamtumia Mpesa au mobile money YouTube ili nipromote contents zangu Kwa eneo ninalolilenga.
M-Gas ni kampuni inayoungwa mkono kimataifa. Tuna bohari zetu, mitungi ya gesi na magari ili kukuhakikishia kuwa unapata gesi (LPG)bora ya kupikia na huduma bora zaidi wakati wote.
M-Gas inatumia teknolojia janja kubadilisha maisha kwa kukuuzia gesi safi ya kupikia kwa Mtanzania saa 24, siku 7...
HUDUMA YA VYOO VYA KULIPIA KWENYE VITUO VYA DALADALA
UTANGULIZI:
Tukichukulia maisha ya mjini hasa miji mikubwa kama Dar es Salaam suala zima la mahitaji ya choo ni muhimu kwa jamii. Na karibu asilimia kubwa ya jamii ya wakazi wa mjini hasa miji mikubwa wanapata huduma ya choo.
Hata hivyo mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.