kumbukumbu

The Kumbukumbu Room, or Kumbukumbu Room: Africa, Memory and Heritage, or Kumbukumbu Exhibition, was one of the spaces of the National Museum of Brazil, destroyed by the fire of 2018. The name of the room refers to a word in Swahili, used for "objects, people or events that make us think about the past."
In the room, objects from the African and Afro-Brazilian collections were on display. In particular, the collections Police of the Court and Heloísa Alberto Torres were featured. Also in the room were the set of gifts from Africa sent to John, the Clement, in 1810, including the Throne of the King of Dahomey. Most of the objects on display were from the 19th century.
The room was organized from nine showcases, six side and three central, and a map from which one could establish the origin of the exposed pieces. According to the official book of presentation of the exhibition:

View More On Wikipedia.org
  1. KENZY

    Je,ulimwengu hauna namna yoyote ya utunzaji kumbukumbu?

    Habarini waungwana,Leo tena mbele yenu huku nikiwa na swali nyeti kidogo ambalo limejikuta tu likilanda kwenye fikra zangu!.. Je, ulimwengu hauna namna yoyote ya utunzaji kumbukumbu..? Nikiandika ulimwengu naomba ichukuliwe vitu vyote kwa maana ya nyota, sayari zote,Galaxy n.k kiujumla vyote...
  2. Komeo Lachuma

    Hayati Dkt. Magufuli tutamkumbuka kwa kupambana na ufisadi na tutamlilia mbeleni

    Moyo wangu umeanza kutahaharika. Kutokana na yale ninayoyaona. Mafisadi wote ndiyo wenye furaha kubwa ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania. Hili limenifikirisha sana. Why asilimia kubwa ya wanaoonesha Furaha ni wale waliohujumu uchumi wa Taifa hili? Ni sawa wapo pia maskini na wasio mafisadi...
  3. Mohamed Said

    Kumbukumbu yangu fupi ya Mohammed Seif Khatib

    KUMBUKUMBU YANGU FUPI YA MOHAMMED SEIF KHATIB Mara yangu ya kwanza kukutana na Mohammed Seif Khatib uso kwa macho ilikuwa Makka wakati wa Hijja mwaka 1998. Balozi Ramadhani Dau alinichukua kwenda kumsalimia Mzee Aboud Jumbe ambae alikuwa amefikia kwenye nyumba za wageni wa Mfalme wa Saudi...
  4. Raphael focus

    Tupe kumbukumbu yako, ni kwa namna gani "Umakini" uliathiri mahusiano yako?

    Habari ya muda huu wana MMU! Kama mada inavyo jieleza hapo juu, sote tunatambua kuwa "umakini" ni jambo la muhimu kuzingatiwa katika mahusiano. Kutokuwa makini kati ya wenza wawili kumepelekea mifarakano na hata kuchangia kuvunjika kwa mahusiano. Kutokuwa makini...
  5. Miss Zomboko

    Makamu wa Rais aagiza kumbukumbu zote za Serikali ziandikwe kwa lugha ya Kiswahili

    MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan, amesema mkakati wa serikali ni kuhakikisha huduma na kumbukumbu zote muhimu za nchi zinatolewa kwa lugha ya Kiswahili na akahimiza haja ya mamlaka kuja na Sera ya Kiswahili. Aidha, Rais John Magufuli leo anatunukiwa tuzo maalumu ya Shaaban Robert kutokana na...
  6. Mohamed Said

    Kitabu katika kumbukumbu ya Mapinduzi ya Zanzibar sehemu ya kwanza. Pitio la kitabu: Mimi, Umma Party na Mapinduzi ya Zanzibar

    KITABU KATIKA KUMBUKUMBU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SEHEMU YA KWANZA PITIO LA KITABU MIMI, UMMA PARTY NA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MWANDISHI: HASHIL SEIF HASHIL Kuandika historia ya ukombozi katika nchi za Kiafrika kunahitaji ujasiri mkubwa sana na sababu yake ni kuwa Afrika ina historia rasmi...
  7. D

    Kumbukumbu (Legacy) ya Dkt. John Pombe Magufuli

    Kila awamu huacha kumbukumbu zake muhimu wengine hutumia neno "Legacy". Kwangu mimi ninaamini wananchi na Taifa litamkumbuka Rais Dr JPM kwa mambo yafuatayo baada ya muda wake kuisha: 1. Nidhamu maofisini haijawahi kutokea maadili na nidhamu kurejeshwa hivi hata kama bado kuna changamoto ya...
  8. FedhaBook

    SOFTWARE FedhaBook: Tunza kumbukumbu zako za mapato na matumizi bila malipo ya kila mwezi wala mwaka

    .
  9. Nyani Ngabu

    Kwa ajili ya kumbukumbu: Magufuli hatojiongezea muda

    Ok, so, me being me. The independent minded guy that I am. Native citizen of Realville. That straight shooter that I am. I am no shrinking violet when it comes to expressing my views. So I’m going to go out on a limb today and say it. If this means I’ll have to eat crow a couple years from now...
  10. Sky Eclat

    Viongozi mfikirie kumbukumbu (legacy) mtakayoaichia jamii baada ya madaraka na vifo vyenu

    Wazungu wanasema legacy ni pesa au mafao unayo yaacha kwenye jamii yako baada ya kifo chako. Dunia ya leo ina kumbuka legacy ya Mwalimu Nyerere si kwakua alijilikimbizia mali bali alijali watu wake mpaka mwisho wa madaraka yake. Kwa exposure ya Nyerere, aliweza kuangalia Cuba Fidel Castro...
  11. Analogia Malenga

    Oktoba 14: Kumbukumbu ya Kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Imetimia miaka 21 tangu imempoteza Tanzania kifo cha Baba wa Taifa

    Leo ni Kumbukizi ya Kitaifa ya miaka 21 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kilichotokea Oktoba 14, 1999 nchini Uingereza alipokuwa anapatiwa matibabu. Mwalimu Nyerere ni mmoja kati ya waasisi wa Taifa la Tanzania, ambaye alishiriki kikamilifu katika harakati za...
  12. FRANCIS DA DON

    Je, endapo kumbukumbu zako zote zikafyonzwa na kufutika, kisha ukawekewa kumbukumbu za gaidi, nawe utakuwa gaidi? Au moyo utagoma?

    Ni vyema tukaliweka hili sawa, je, mtu yupo kichwani au moyoni? Mfano mtoto mdogo wa miaka 12, mwenye tabia nzuri kama malaika, tukaamua kunyonya memory yake na kuifuta kabisa kichwani kwake, kisha tukamjaza memory za gaidi la katili. Je, huyo mtoto atakuwa yule gaidi kwa kila namna au moyo...
  13. M

    Wasanii wa Kitanzania na siasa

    Kama kichwa ha habari kinavojieleza hapo juu, msaada tafadhali. Tunaeleka mwaka wa uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge pamoja na madiwani. Ipo haja sasa kwa Watanzania kukaa na kupima licha ya kwamba Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuweka wazi kabisa katika Ibara zake kuwa kigezo cha...
  14. FRANCIS DA DON

    Napendekeza TCRA wapige marufuku matangazo ya BBC nchini Tanzania. Wameitukana kumbukumbu ya Mwl. Nyerere

    Eti wameonyesha kipindi cha historia ya ukombozi wa Afrika, ambapo wametaja wapambania uhuru kama akina Kwame Nkrumah, Patrice Lumumba na Nelson Mandela, Jomo Kenyatta miongoni mwa wengi. Lakini cha ajabu walipofika kwenye ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika wameishia kumtaja Mandela tu na...
  15. St. Paka Mweusi

    Ni yupi aliyebakiza kumbukumbu ya kudumu katika suala la mahusiano?

    Katika suala zima la mahusiano na mapenzi watu wanatofautiana. Tofauti hizi huacha kumbukumbu nzuri za kudumu na wakati mwingine majuto ya kudumu. Binafsi nishakutana na wengi. Yupo anayeongoza kwa usafi wa mwili. Yupo mtoto wa kindendeule aliyempindua mtoto wa kifipa kwa uzungushaji wa...
  16. mgt software

    Video Clip zote za tambo za Makonda wekeni hapa ili iwe kumbukumbu kwa wenye tabia kama hii

    WanaJF Katika kuweka kumbu kumbu sawa watu wote wenye video za majigambo na tambo, hata screen short za Twitter, Insta ili iwe funzo kwa watoto wetu kama sehemu ya history kwa vijana wenye tamaa waliozaliwa 1982.
  17. kavulata

    Tuzivunje pia kumbukumbu mbaya kwetu.

    Kufuatia kifo Cha Floyd kwa sababu za kibaguzi, dunia inapambana kuondoa kumbukumbu mbaya kwa mwafrika dhidi ya wazungu na watu weupe. Wakati wenzetu wakipambana kuvunja masanamu ya watu walioutweza uafrika huko nyuma sisi tunazitunza eti kuja kuwaonyesha wazungu ili watupe fedha. Mimi...
  18. technically

    Kumbukumbu: Watakapokuwa baadhi ya watu baada ya 2025

    Huu uzi uwekwe kama kumbu kumbu na tuje kujikumbusha watakapokuwa wamefikia 1:Ole Sabaya 2: Makonda 3: Magufuli 4: Bashiru 5 Polepole Uwenda na mimi sitakuwepo ila nataka huu uzi uwe wa kumbukumbu kwao kwamba hata uko nyuma kulikuwa ma watu wasioguswa miamba lakini walianguka vibaya.
  19. M

    Kumbukumbu za Mfanyakazi: Pale Kikwete alipowashushia neema Wafanyakazi

    Wakati JK anaingia madarakani mwaka 2005, Kodi ya mapato kwa mfanyakszi ilikuwa ni asilimia 18, Yaani alikuwa akikatwa asilimia 18 ya mshahara wake. Lakini hadi kufikia mwaka 2015 serikali ya JK ilifanikiwa kuishusha kodi hiyo hadi asilimia 12 na hivyo kuleta unafuu mkubwa sana wa maisha kwa...
  20. Equation x

    Mapenzi ni sanaa, ukiyatumia vizuri yanaweka kumbukumbu kwa aliyetendewa

    Jitahidi unapokuwa kwenye mahusiano, utumie sanaa zaidi ili kuuteka moyo wa mpenzi wako. Mfano umemtongoza X leo, usikimbilie kwenye tendo moja kwa moja, bali muwekee mazingira ya yeye kuendelea kuwa karibu na wewe. Mfano kutembea tembea maeneo mbalimbali, kukumbatiana, kutumiana meseji tamu...
Back
Top Bottom