The Kumbukumbu Room, or Kumbukumbu Room: Africa, Memory and Heritage, or Kumbukumbu Exhibition, was one of the spaces of the National Museum of Brazil, destroyed by the fire of 2018. The name of the room refers to a word in Swahili, used for "objects, people or events that make us think about the past."
In the room, objects from the African and Afro-Brazilian collections were on display. In particular, the collections Police of the Court and Heloísa Alberto Torres were featured. Also in the room were the set of gifts from Africa sent to John, the Clement, in 1810, including the Throne of the King of Dahomey. Most of the objects on display were from the 19th century.
The room was organized from nine showcases, six side and three central, and a map from which one could establish the origin of the exposed pieces. According to the official book of presentation of the exhibition:
Nyerere: Serikali corrupt duniani kote hazikusanyi kodi hubaki kufukuzana na wamachinga barabarani hata Italy pale wana mzigo wa madeni.
Kumbukumbu ya miaka 22 baada ya kifo cha Nyerere
Chanzo: ITV
Naamin mpo good wadau,
Leo nlikua kijiwen na wajuba tunapiga piga story ya mambo za Hamza, mara story zikahama mpaka kwenye minyaduano maana kuna dada bonge bonge alipita kijiweni akaharibu kilinge baada ya jamaa mmoja kusema unaeza muona na minyama hivo halafu ukafika 6x6 ukakuta hakuna kitu...
NAMKUMBUKA RASHID KHERI BAGHDELLEH RAFIKI WA BABA YANGU
Anza kwa kuangalia picha hapo chini.
Baba Said Salum, Babu Salum Abdallah na juu ni Kheri Rashid Baghdelleh.
Baba na Baghdelleh wakifahamiana toka udogo wao Dar es Salaam ile ya 1950s.
Baghdelleh baada ya uhuru akawa Regional...
TAAZIA YA DR. DAU KWA BENJAMIN WILLIAM MKAPA NA YALE MAKUBWA NA MAZITO AMBAYO HAKUYASEMA
Hakuna kitu kinagusa fikra na linabaki akilini na kuhifadhika kwengineko kama neno lililoandikwa.
Aliyesoma taazia ya Dr. Dau kwa rafiki yake Benjamin William Mkapa atakuwa ameona kanitaja kuwa mimi ndiye...
Mwishoni mwa mwezi wa July nilifikwa na jambo kubwa katika maisha yangu.
Ilikua ni kumpoteza mtu ambaye nilikuwa na kila sababu ya kuamka na kupambana ili aone matunda yangu siku moja. Mungu alimchukua mpendwa babangu na kuniacha nisijue thamani ya maisha kwa muda ule baada ya kukubali na kuona...
Habari za majukumu wana mizengo bila shaka muwazima wa afya naomba kwenda kwenye mada moja kwa moja
PUNGUZA MISAADA WATU HAWANA KUMBUKUMBU
[emoji117]Watu wanapost sana huo msemo hapo bila kujua wanakosea san ipo hivi unapomsaidia mtu tarajia malipo kutoka kwa Mungu na sio kwa binadamu yeyote...
Nimesikiliza tangu mwanzo kumbukumbu ya Hayati Benjamin William Mkapa. Hii ni Tanzania ya waswahili. Unaandaaje kumbukumbu kama hii na kuiendesha kwa lugha ya kingereza? HAPANA.
Waandaaji wa matukio kama haya kama wa leo UONGOZI INSTITUTE ni vema wakajua kila waandaacho ni kwa ajili ya...
Sijui. Mimi huwa napenda kuyaangalia mambo kwa upeo wa tofauti kidogo.
Mbowe ni kiongozi mkubwa tu kitaifa kwa CHADEMA. Najiuliza hiyo kuvamiwa kwake na kupigwa miguu lengo lilikuwa nini? Hospitali huwa mtu anayepigwa kwa magongo au kitu kikubwa mwilini majeraha yake yanafahamika. Kitaalamu...
Nyerere aliongoza mapambano ya kudai Uhuru toka kwa wakoloni. Kama ingelikuwa ni ujenzi wa ghorofa nasi Uhuru ni sawa msingi (foundation)
Alijenga umoja wa kitaifa.
"Reli ya Tazara"
"Mabwawa ya Kidatu na Mtera, nk."
Marais wote waliofuata baada ya Hayati Nyerere walijenga nchi juu ya msingi...
Jumamosi ya leo siku kama ya leo mwaka 1976 Makomandoo wa kiisrael walishuka paple Uganda Entebe air port kuokoa ndugu zao. Makomandoo hao waliongozwa na kija a Jonathan Netanyahu akiwa na miaka 28 tu ( umri wa kwenda Disco), alijitoa mhanga kufa ili ndugu zake 126 waokolewe.
Magaidi ya...
Ni shauri wangu
Kwanza linavuka bahari, ni ishara ya kuvuka awamu moja kwenda nyingine, pili in ishara ya upatanisho kati ya upande mmoja na mwingine, kisiasa, kiuchumi, kijamii, anapatanisha nchi, anaunganisha kama daraja linavyounga pande mbili.
Tanzanite ina asili ya huko ilikotoka, iwepo...
Habarini,
Kama katiba yetu inavyosema kuwa 'kila mtu anayo haki ya kutoa maoni yake kwa uhuru', Mimi pia nina maoni yangu. Pale posta kwenye mnara maarufu wa Askari ninashauri mnara wa Askari utolewe na uwekwe mnara wa Samia Suluhu (Rais wa Jamhuri ya Muungano).
Maana wengi hatujui maana...
UKIBADILI NAMNA UNAVYO TAZAMA VITU NA VITU UNAVYOTAZAMA HUBADILIKA
Kinachotokea sio tatizo ila tafsiri unayoweka juu yake ndio inaweza kuuwa tatizo
Kikwazo chochote kinachotokea huwa kinakuja kuboresha sehemu ya maisha yetu
Usitazame vikwazo kwa ubaya wake tazama vikwazo kwa mazuri yake...
Leo naja na huu uzi kwa gender zote but especialy wadada
Kuna watu wanatunza meseji nyie,balaa..Hata Makumbusho ya taifa pale Posta haiko deep kama wao.....Anatunza meseji za tangu unamtongoza mpaka mmeachana...khaa!nimewavulia kofia..Especially wanawake,ur best at this...nooomaaa!
Sasa...
Watalamu wa mambo wanasema historian ni mwalimu mzuri sana, wahenga mlikuwa mnafuatilia masuala ya burudani mnakumbuka mtindo wa maisha wa Elizabeth Michael jina Lulu, kabla ajapata tatizo la tuhuma za kumuua mwigizaji Kanumba.
Lulu alikuwa ashikiki binti scandal hazimuishi bata club yeye...
Kama kuna Maamuzi ambayo Generalist Mimi nitayafurahia na nitazidi Kumpenda (Kumkubali) Rais wangu Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan, Serikali yake na Chama chake (changu) cha CCM ni kama akiliamua hili lifuatalo.
Kwamba tarehe ya Kumbukumbu (Kumbukizi) ya Kifo cha Rais Hayati Dkt. Magufuli...
Habarini wakuu…
Wakati bado tukiwa kwenye maombolezo, nimeona ni vema nifanye utafiti kidogo wa kumulika uchumi wa Hayati Magufuli, ili tuweke record zetu sawa, maana huku mtaani na kwenye vyombo vya habari kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana.
Japo mimi sijawahi kuwa mshabiki wa Hayati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.