kumiliki gari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Msaada wa hatua za awali kuchukua unapohitaji kumiliki Gari

    Jamani naombe muongozo wa hatua za kuchukua napotaka kumiliki gari..!! Ndio umeliki wangu wa kwanza kwa hatua ya gari. Ni kampuni ipi nzuri ya kuanzia, Toyota, Subaru au nyinginezo ambazo zijaziusisha hapo? Kwa sisi tunaonunua Used...
  2. Updates za Paris Motor Show 2024 (Tarehe 14 - 20 October)

    Paris Motor Show ni moja ya maonyesho makongwe ya magari (tokea mwaka 1898) yanayofanyika kila baada ya miaka miwili, ambapo makampuni mbalimbali ya magari yanaonesha magari yao mapya, concepts, teknolojia na vitu vingine vinavyohusiana na magari. Kwa mwaka 2024, zaidi ya makampuni ya magari...
  3. J

    Gari gani bora kuanza kuimiliki kati ya hizi nne?

    Habari ya asubuhi ndugu zangu. Nahitaji kununua gari yangu ya kwanza lakini napata wakati mgumu kwenye kufanya uchaguzi. Kwa wabobezi wa mambo ya magari ni ipi tolea zuri kumiliki kati ya gari hizi kwa kuangalia uimara na upatikanaji rahisi wa spareparts. 1. Crown Athlete 2. Mitsubish...
  4. Kwa kipato cha Tsh. 600,000 naruhusiwa kumiliki gari?

    Kwa kipato cha Tsh 600k kwa mwezi naruhusiwa kumiliki gari au niachane na mbwembwe. Kama naruhusiwa kumiliki gari kwa mizunguko isiyozidi 5 kilometer kwa siku ni sawa kununua gari yenye 2500 cc? Natanguliza shukrani kwa ushauri wenu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…