TCRA ndio inatulea hivi, wanao present mambo ya maana media zao zinapewa onyo na kufungiwa, haya sasa leo EFM wanahamasishana kuwa wakifika kwenye Marathon ya tarehe 20 June wakishamaliza kukimbia wataenda kununua malaya Kahumba Morogoro.
Maudhui hayo yaliruka leo majira ya saa tano na dakika...