kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukitaka kununua gari usije kuomba ushauri JF, kuna watu wana kauli za kukera, wanakatisha tamaa na hawajawahi kumiliki hata terminal ya betri ya gari.

    MTU anakuja kutafuta ushauri ili asiumizwe huko Uswahilini anakoenda kutafuta Gari ya kuendana na kipato chake, watu watamjibu kwa kejeli, dharau, matusi na kila aina ya uchafu. Jamani kabla huja comment hiyo negative comment yako, jitafakarini, je ni lazima niandike kukebehi? Je kama sina...
  2. Ni bora kununua gari yenye kilometa 200,000 kutoka Japan kuliko kununua gari yenye kilometa 50,000 Tanzania.

    Madalali wa magari nchini Tanzania kila siku wamekuwa wakiharibu biashara ya magari ya mkononi kwa kukosa elimu ya biashara. Uaminifu, ukweli na uwazi ni msingi MKUBWA sana kwenye ukuaji wa biashara yoyote ndio maana kwa kulijua hilo, wenzetu wa nje hawarudishi nyuma kilometa ambazo zinasoma...
  3. G

    Walioshauri viongozi wetu kununua umeme Ethiopia km maelfu badala ya Nyerere wakamatwe wahojiwe km wahujumu uchumi ,Victoria inakuwaje chanzo mbadala

    Hapa ni pamoja na viongozi watetezi wao akiwepo Mzee wa Pp anayeona Marekani haikoseagi kiuchumi Huyu Anatuokotea Kila kitu nje Kama Dodoki bila kutuambia mazingira au Mfumo wa shirika la umeme la Marekani ukoje ni WA ushindani au Monopoly Nchi inapambana walau tuongeze export ya...
  4. S

    Kafulila utuelewe; hatukatai kununua umeme japo tuna ziada ya uzalishaji; hofu yetu ni kuambiwa tuna transmission cost kubwa na mbadala ni Ethiopia

    Nadhani hawa watu wanaojiita viongozi wetu aidha wana tatizo la kujieleza, au wanapenda kufanya mambo kwa kuficha ficha vitu. Sasa huyu Kafulila, ambaye siku hizi amejifanya msemaji wa serikali au Raisi Samia, anauliza kuna ajabu gani Tanzania kununua umeme toka nje wakati tuna ziada, akitoa...
  5. Trump apinga Marekani kununua umeme kwa nchi yoyote.

    Baada ya Canada kujibu vikwazo vya ushuru vilivyoweka na Trump kwa kuongeza kiasi cha ushuru katika umeme wanaoiuzia Marekani Trump amekuwa mbogo akiuliza kwa nini Marekani inanunua umeme kwa nchi yoyote na na nani alifanya hayo maamuzi!
  6. Ukienda kununua mbao nenda na Mita yakoo binadamu wamekuwa Simba nwdays

    SIO MBAYA wajenxi kukumbushana wapendwa Najua mpaka tunajenga tunahangaika sana sana kuweza kujenga Hizi changamoto utazikuta wakati WA ujenzi Ukiwa unaenda kununua mbao hasa pale buguruni Nenda na mtr yako..na usiwambie kama una MITA yako malizeni ku bargain sh ngapi kwa futi mkifika kupima...
  7. Habari za kununua umeme ETHIOPIA zinafikirisha sana.

    Heshima sana wanajamvi, Tumetangaziwa kwamba taifa litaanza kununua umeme Ethiopia !. Wanasiasa wa chama tawala na warasimu ndani ya serekali wamekuja na utetezi mwingi wa kitoto na wakibwege faida za kununua umeme Ethiopia. Sababu kuu ni upotevu wa umeme mwingi kutoka vyanzo vya uzalishaji...
  8. R

    Ni ujinga kununua simu ya zaidi ya milioni kama haina cha ziada katika shughuli zako unless you are rich , simu nyingi ≤ milioni 1 zinajotosheleza.

    Na hii ipo zaidi kwa bongo, simu mpya nyingi zinatoka kwa kuongezewa features ambazo wabongo hawazitumii kabisa au nchi haina miundo mbinu yake. mashahidi ni nyie hata humu jamii forums jukwaa la tech lina wadau wachache, Matumizi ya simu ni kupiga simu, kuchati, kusikiliza muziki, kurushiana...
  9. S

    Kwanini Tanzania inapanga kununua umeme kutoka nje ya nchi kwa ajili ya kanda ya kaskazini

    Umeme uliopo katika gridi ya Taifa unazalishwa kutoka ukanda wa kusini mashariki na hivyo kulazimika kusafirishwa umbali mrefu kwenda maeneo mbalimbali nchini hali inayosababisha upotevu mkubwa wa umeme.
  10. Bajeti yako ya mwisho kabisa kwenye kununua simu ni shilinga ngapi?

    Huwezi kununua simu inayozidi sh ngapi? Tushirikishe…
  11. Umeme uliokuwa unapelekwa mikoa ya kaskazini utapelekwa wapi baada ya kununua mwingine kutoka ETHIOPIA?

    Mkulima analima mahindi. Baada ya kuvuna, anapata uvivu wa kupeleka mashineni yasagwe na kupata unga wa kula kwa kuona kwamba ni gharama kuyaosha na kuyaanika juani na baadae kuyasaga. Anaamua kuyauza na kisha kwenda dukani kwa mangi kununua sembe. Nauliza, umeme uliokuwa unapelekwa mikoa ya...
  12. P

    Rais nakushauri tu achana na hii biashara ya kununua umeme Ethiopia

    Tunashuhudia unyanyasaji mwingi katika hizi za kutegemea huduma kutoka nchi zingine hususani pale ambapo mausiano ya kidiplomasia yanapozorota. Lakini pia Tanzania kwa sasa tunazalisha umeme zaidi ya maitaji yetu sasa mtu unapata ukakasi wa kuanza kununua kitu unachokizalisha. Kwa vyovyote...
  13. S

    Uchambuzi wa Kiufundi naunga mkono nchi yetu kununua umeme kutoka inje nchi kuliko kusafilisha hadi kaskazini

    Nayazungumza haya nikiwa kama fundi mzoefu katika sekita ya umeme! Nimeona mijadala watu wakilalamika kwanini nchi inataka kununua umeme kutoka inje kwa mikoa ya kaskazini wakati ina umeme wa kutosha? Ni kweli nchi ina umeme wa kutosha lakini haina maana kwasababu umeme upo wa kutosha basi...
  14. Nawapongeza BOT kwa kuanza kununua dhahabu.

    Nimesikia kuwa benki kuu ya Tanxania imeanza utaratibu wa kununua na kuhifadhi dhahabu. Walianza mwaka jana na mpaka sasa wamenunua tani 2.6 kwa bilioni 570. Lengo lao ni kununua tani sita kila mwaka. Wanataka Tanzania iwe miongoni mwa nchi kumi za Afrika zenye akiba kubwa ya dhahabu. Kongole kwao.
  15. Kanuni mbili za kwenda sokoni kununua bidhaa

    Kuna watu wakienda sokoni wanajikuta wananunua bidhaa nyingine (nyingi) ambazo hawakupanga kununua, hayo ni matumizi mabaya ya pesa. Zifuatazo ni kanuni kuu mbili za kwenda kununua bidhaa sokoni. (1). IFAHAMU VIZURI BIDHAA UNAYOKWENDA KUNUNUA SOKONI: Usiende sokoni kichwa kichwa, utapigwa...
  16. O

    Wakuu hivi viti vya kuzunguka havina kesi yoyote nataka kununua ila nahofu

    Nikiviangalia sijui muundo wake lakini kwa chini naona Kuna chuma kimepita Sasa hakiwezi kutoka za mbao na kuleta balaa , embu tuambie, je muundo wako ukoje
  17. Kabla hujaenda kununua dada poa, zingatia haya. Sio kwa ubaya!

    #SioKwaUbaya 😭👉🔋 MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOKWENDA KUNUNUA WANAWAKE WANAOJIUZA (DADA POA) `````````````````````````````````` Soma kwa makini kilichoandikwa acha kukurupuka kuacha comment..kwa ajili ya Elimu. #msafi16 Mambo haya pengine ni ya aibu na hayasemeki kwa urahisi tena hayafurahishi...
  18. Wakaanga kitimoto huwa wanagharimika kununua mafuta ya kukaaingia au inajikaanga yenyewe?

    Hii nyama huwa ina mafuta sana. Hivi wakaanga kitimoto cha biashara huwa wana uhitaji wa kununua mafuta ya kukaangia au mafuta ya kitimoto chenyewe yanatosha kukaangia?
  19. Tabia ya kwenda kwenye maduka karibu na nyumbani kwako kununua tuvitu kama nyanya, Kitunguu inatia aibu sana

    Nimejikuta napata ubaridi baada ya kurejea maskani kwangu I mean home safari za dukani zimenisikitisha sana. Wadau inawezekana tunatofautiana utaratibu wa kibajeti. Napenda kununua Michele, Mahindi,maharagwe, sukari, mavitunguu nk nk Sometimes nikiwa nyumbani say weekend ndefu, nalala kama...
  20. Ipi rahisi, nafuu na salama zaidi kati ya kununua gari showrooms na kuagiza kutoka ng'ambo?

    Hebu mshauri mTanzania huyu anaekusudia kununua usafiri wake wa gari dogo sasa hivi. Ipi njia rahisi kwake kununua gari kwa urahisi, kwa unafuu wa fedha na muda na kwa usalama zaidi kati ya kuagiza kutoka ng'ambo na kwenda kuchagua tu sehemu mbalimbali yanapuuzwa magari nchini? Kwa niaba ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…