kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Tetesi: Mbunge Shangazi ana ubia na Kampuni ya DP World

    MBUNGE, Rashid Shangazi anatajwa kuwa ndiye Dalali wa Kampuni ya DP World inayotaka kuuziwa bandari zote Tanzania isipokuwa za Zanzibar tu, Shangazi alianza kuipigia debe na baadaye kuwaleta nchini na kukamilisha hiyo dili ambalo limezua mgogoro mkubwa Tanzania. Ushahidi wa ni SWALI NA 58 LA...
  2. B

    Jaji Mihayo azungumza kuhusu Twiga Cement kununua hisa za Tanga Cement, akemea uvunjaji wa sheria

    HATIMAYE Jaji Mstaafu Thomas Mihayo ameamua kuvunja ukimya kwa kueleza kuwa wanasheria waliipotosha Serikali na Mawaziri kuhusu kuendelea na mchakato wa kampuni ya Saruji ya Twiga kununua hisa za Tanga Cement wakati mahakama ilizuia kuwapo kwa muunganiko wa kampuni hizo. Pia amesema tayari...
  3. Wauza mechi hiki kipindi cha baridi msisahau kununua ARV, Azuma na Powercef

    Wasaalam wadogo kwa wakubwa😀😀 Natumai nyote wazima wa afya. Niende kwenye mada kama mnavyoona huu ni mwezi wa 6 sasa, na mjuavyo baridi imeingia mpaka DSM sasa. Na kama mnavyojua miili yetu, baridi ikiingia akili na mwili hutafuta joto na hilo joto lenyewe, hupatikana sehemu za siri huko😋...
  4. F

    Kununua ndege bila business plan ni kufuja fedha za maskini

    Biashara ya ndege ni moja ya biashara ngumu zaidi duniani. Hii ni biashara yenye mahesabu makali. Ni biashara ya kimataifa. Kufanikisha biashara ya ndege tunahitaji timu yenye weledi mkubwa sana kibiashara. Wazungu Afrika Kusini wamepata changamoto kubwa na hasara pia, Wanaigeria, Wamisri na...
  5. Utafiti: vijana wengi wanaogopa kununua condom madukani kisa eti wanaona aibu.

    Habari wanajf. Utafiti umefanywa na taasisi fulani umebaini kuwa, vijana wengi hasa wa kiume wanogopa kununua mipira ya kujikinga na maambukizi ya magonjwa mbalimbali na mimba zisotarajiwa kwa kigezo kuwa pindi wanapoenda kununua bidhaaa hiyo wanaona aibu na hasa wanapokuta wahudumu watu wazima...
  6. Lipi bora kati ya kununua nyumba iliyojengwa au kujenga yako mwenyewe?

    Je, ipi ni sahihi ukiwa na hela yako kama Tsh. Milioni 40, ununue nyumba mbalimbali zinazotangazwa mitandaoni na magazetini au kwa hiyo hiyo Tsh. Milioni 40 uliyonayo umtafute fundi na akujengee nyumba yako katika uwanja ambao tayari unao siku nyingi? Leo GENTAMYCINE nitakuwa ni msomaji zaidi...
  7. MKE wangu ameridhia kununua Robot wa kike ili awe MKE Mwenza, nimkubalie au nikatae?

    Kwema Wakuu! Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hakika ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Baada ya tangazo LA ajabu la kubuniwa Kwa ma-Robot ya kike yenye mvuto WA kimapenzi, kumbe MKE wangu nayo aliyaona hayo madude. Kwanza aliyasifia Sana ingawaje ni kiwivuwivu Mimi nikibaki kwenye msimamo...
  8. Wapi ni sahihi kujenga nyumba ya Maisha kati ya Kigamboni Gezaulole au Goba?

    Wadau, Naomba ushauri au mawazo yenu. Nataka kununua kiwanja cha kujenga nyumba ya maisha, sasa kuna hizi sehemu mbili. Kigamboni Gezaulole na Goba. Ipi ni sehemu sahihi?
  9. L

    Kujenga nyumba na kununua magari ni sababu mojawapo ya Umasikini

    Habari, "Tafuta kiwanja, Jenga, Oa/Olewa, nunua mkoko", njia hii na mawazo haya yamekuwa kwa vijana wengi wanaoanza maisha, hususani waliobarikiwa kupata ajira au biashara zao binafsi ambazo zinawapa kipato flani cha kuendesha maisha yao. Kwa uzoefu wangu hii imekuwa kati ya sababu moja kubwa...
  10. T

    Nahitaji kununua gps (nipo mwanza)

    Habari wadau. Nahitaji kununua GPS, kwaajil ya kunisaidia kuchukua coordinates kwenye maswala ya uchimbaji (mining). Budget yangu ni kuanzia Tshs 400,000/= mpaka 900,000/= Kama nikapata contacts za dukani kwa Mwanza au Geita nitashukuru zaidi
  11. Jinsi ya kuepuka kununua gari kwa gharama zisizo stahili

    Habari wadau, leo nimeona nifanye kushare na nyinyi kidogo kuhusu uchaguzi wa magari hasa linalokuja suala la bei. Ni wazi bei za magari hazifanani, mfano Rav 4 latest model na Vanguard latest bei zao hasifanani lakini ukifuatilia utakuta unalipa pesa zaidi bila kujua. Nitazungumzia...
  12. Karibu ujipatie Bidhaa za kielectronic simu, PC, Tablet, Fridge, Sabufa na Tv kwa uaminifu mkubwa

    Bidhaa zote za kielectronic Simu, Pc, Tablet, Sabufa, Tv na Fridge vinapatikana kwa bei rahisi sana, simu zetu zipo used from Dubai na Full boxed mpya kabisa tunauza Iphone, Samsung, Google pixel, Sony, Oppo na Infinix warranty ni uhakika Tv pia zipo Hisense, Samsung ukubwa tofauti tofauti...
  13. Usijaribu kununua haya magari mawili utalia kilio cha mbwa mdomo juu

    Nimekuja mkoa flani kikazi nilitumia usafiri wa ndege. Huku kuna jamaa yangu akaniambia kwa kuwa akija Dar huwa nampatia usafiri nitumie gari ndogo ambayo huwa anatumia mkewe. Niende kwake nikachukue. Nikaenda. Nimefika nikakaribishwa ndani n.k nikamwambia shemeji nimeambiwa nije chukua gari...
  14. Nataka niagize Dye za kurudisha rangi za nguo zilizopauka rangi na kuchuja, Nipeni mawazo yenu ya ziada kuhusu hii business idea kwa bongo

    Habari zenu wakuu, nimepitia pitia mitandao ya huko kwa wenzetu nimeona kwamba huwa kuna unga ama vimiminika vinarejesha rangi za nguo zilizopauka rangi. Kwa hapa kwetu nimeona nguo hasa hizi za dukani zina janga la kuondosha rangi hara sana waweza kununu aipo fresh ila ukifua nara mbili ama...
  15. Serikali haiwezi kununua dhahabu kutoka kwa wachimbaji na kuitumia kufanya manunuzi ya nje na kulipa madeni?

    Eti wakuu sana. Haiwezekani kwa serikali kuingia mikataba na wauzaji huko na wadeni wetu ili tuwalipe kwa dhahabu? Maana suala la dola ni mtihani, huko wakishindwa kupandisha silingbodi la madeni dola zinapotea dunia nzima. Kwa nini tusinunue mafuta kutoka Saudi Arabia kwa kutumia dhahabu na...
  16. Ni wapi naweza kununua Dye ya kurudisha (refurbish) rangi za nguo?

    Dye ni unga au maji maji ambayo hutumika kubadili rangi, tuliyoizoea wengi ni ya nywele inaitwa picco, pia huwa kuna dye maalum kwajili ya nguo ambayo hutumika kurejesha rangi ya nguo hasa hizi jeans na cardets. Ni wapi naweza kuipata?
  17. R

    Wapi naweza kununua machine za kuchakata plastics?

    Habari wadau, Natafuta machine za kuchakata plastics kuwa flakes naweza kuzipata wapi kwa Kariakoo? Pet bottle flakes ceushing machine. Pet bottle label remover. Pet bottle neck ring remover. Pet bottle washing machine. Pet bottle dry machine. Pet bottle flakes compressor
  18. SWALI: "Ni akina nani" watakuwa na ujasiri wa kununua mali za Musiba hali wakijua mali hizo zilikopatikana na namna zilivyo patikana?

    Tuliangalie jambo hili kwa namna nyingine Unaweza kudhani itakuwa rahisi watu kujazana mnadani na kununua hizo mali lakini kiuhalisia unaweza shangazwa asipatikane mnunuzi kwa hofu kwamba mali hizo zilipatikana kwa namna isiyo elezeka na kuna uwezekano walio mwezesha kupata mali hizo ndio wanao...
  19. Ukaguzi wakati wa kununua gari.

    Tunatoa huduma ya kukagua gari kama mtu anataka kununua mathalani kwa magari used. Hii ni kwa gari ndogo tu. Gharama ya kukagua huwa ni kuanzia Tsh. 150,000/=. mpaka 250,000/= kulingana na aina ya gari. Pia kama tutakagua gari na ikawa na shida na hujaichukua, unaweza kutuletea gari nyingine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…