kunyongwa hadi kufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mh.Tundu Antipas Lisu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa hadharani lazima vita itatokea Tanganyika.

    Lisu ni Icon ikitokea tu court imesema Lisu anyongwe hadi kufa vita lazima itokee wananchi wengi wanahasira sana na yanayoendelea kwenye serikali dhalimu ,isiyo na haki ya ccm
  2. JamiiForums Tanzania Kutatokea nini Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa Vs akiachiwa huru na mahakama?

    Watu wengi wanaongea kwa mihemuko, eti Lissu atafungwa ata miaka miwili then ataachiwa, sijui sheria wameisoma wapi. Hapa Kuna mawili akutwe na hatia , ahukumiwe kunyongwa hadi kufa au hasikutwe na hatia achiwe huru na mahakama. Kwa hizo scenarios kutatokea nini Lissu akikutwa na hatia na...
  3. JamiiForums Tanzania Je, kutatokea nini Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa?

    Kwa mdomo wake mwenyewe Lissu alisema Yuko tayari kunyongwa hadi kufa lakini kamwe hatopigia vibaka magoti. Na mpaka sasa there's no way Lissu atarudi nyuma, ameamua liwalo na liwe Wacha kesi ipigwe hadi mwisho. Je kutatokea nini siku ya hukumu Lissu anahukumiwa kunyongwa, na kutiwa pingu...
  4. JamiiForums Tanzania Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa mtapata faida gani? Utawala wenu utakubalika zaidi?

    Amekutwa na hatia ya kujibu. Maana yake kuchomoa hizi hatia kwa mahalama zetu hizi za Tanzania ambazo kada wa CCM Rostam Aziz alisema zinafanya maamuzi kwa kupigiwa simu ni kidogo sana. Ikitikea akahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa hili la uhaini wa mchongo mtapata faida gani. Kwamba...
  5. JamiiForums Tanzania KIAMA KWA MAGAIDI: Eneo la kuwanyongea Magaidi laandaliwa huko Israel

    Huduma ya Magereza ya Israeli imeanza maandalizi ya vifaa na uendeshaji kwa ajili ya utekelezaji wa hukumu ya kuwanyonga mpaka kifo magaidi inayowezekana kufuatia kusomwa kwa muswada wa kwanza wa Knesset unaoidhinisha adhabu ya kunyongwa mpaka kifo kwa magaidi katika kesi za ugaidi. Maandalizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…