Kutatokea nini Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa Vs akiachiwa huru na mahakama?

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Watu wengi wanaongea kwa mihemuko, eti Lissu atafungwa ata miaka miwili then ataachiwa, sijui sheria wameisoma wapi.

Hapa Kuna mawili akutwe na hatia , ahukumiwe kunyongwa hadi kufa au hasikutwe na hatia achiwe huru na mahakama.

Kwa hizo scenarios kutatokea nini Lissu akikutwa na hatia na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa au akikutwa hana hatia/kosa na kuachiwa huru na mahakama.

Karibu
 
Hiyo turmoil wataiweza? Huku uraiani labda Kila mwana ccm awe na polisi wake wa kumlimda na hao polisi wawe na polisi wao wa kuwalinda pia wakimnyonga itakuwa ndio mwisho wa Tanzania salama na ndio mwisho wa ccm majengo ya umma vituo vya polisi nk vitabaki majivu sio Kila kiberiti ni Cha kutingusha.
 
Hakuna kitakachotokea, Lissu ni mtu mdg sana nchi hii maisha yataendelea km kawaida. Mtu mahakama umemkuta na makosa sasa inawahusu nini wananchi wengine? Akiachiwa huru ni kwamba ushahidi umeshindwa kumtia hatiani ataendelea na maisha yake uraiani, full stop!
 
Hiyo turmoil wataiweza? Huku uraiani labda Kila mwana ccm awe na polisi wake wa kumlimda na hao polisi wawe na polisi wao wa kuwalinda pia wakimnyonga itakuwa ndio mwisho wa Tanzania salama na ndio mwisho wa ccm majengo ya umma vituo vya polisi nk vitabaki majivu sio Kila kiberiti ni Cha kutingusha.
Lioneni zombie km hili, huyu ni hasara kwa Taifa na kwa mamake
 
Watu wengi wanaongea kwa mihemuko, eti Lissu atafungwa ata miaka miwili then ataachiwa, sijui sheria wameisoma wapi.

Hapa Kuna mawili akutwe na hatia , ahukumiwe kunyongwa hadi kufa au hasikutwe na hatia achiwe huru na mahakama.

Kwa hizo scenarios kutatokea nini Lissu akikutwa na hatia na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa au akikutwa hana hatia/kosa na kuachiwa huru na mahakama.

Karibu

Kama wakuu Wa vyombo wamemtosa huyu asubirie kupewa mvua ya Maisha Gerezani au miaka mingi Gerezani ili iwe kama fundisho kwa wengine.

Uwezekano wa kutoboa ni Mdogo sana
 
Watu wengi wanaongea kwa mihemuko, eti Lissu atafungwa ata miaka miwili then ataachiwa, sijui sheria wameisoma wapi.

Hapa Kuna mawili akutwe na hatia , ahukumiwe kunyongwa hadi kufa au hasikutwe na hatia achiwe huru na mahakama.

Kwa hizo scenarios kutatokea nini Lissu akikutwa na hatia na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa au akikutwa hana hatia/kosa na kuachiwa huru na mahakama.

Karibu
Binafsi nina uhakika atahukumiwa KUNYONGWA hadi kufa na baada ya hukumu hiyo, mimi Mtoto wa Shule nitaenda kuyapongeza maamuzi kwa kunywa Konyagi.
 
Kitendo cha Lissu kutaka fanya maongezi na kina Kingai kabla ya kuanza kumtolea ushahidi kinaonyesha tosha kwamba Lissu is out.

Kingai na wenzake kutotoa ushahidi kunaashiria Lissu hakutaka fanya yafuatayo:
Kuwadhalilisha hawa wakuu wa vyombo vya usalama. IQ na Credibility zao ziikuwa zinaenda kuwa exposed kwa wananchi. Hadi leo wananchi bado wanakumbuka Kingai alivyosindwa jieleza kuhusu PGO mbele ya mahakama. Sasa ound hii wote wangebananishwa na nguli wa sheria, mtaani wangekuwa wanachekwa, huko jeshini wangeonekana hawafai, etc

UJIO WA AFCON TANZANIA
Kuna miezi michache tu kabla ya AFCON kuanza, nchi inahitaji utulivu katika kipindi hiki, Lissu kuendelea kaa ndani knafanya nchi kuendelea kuwa fragile, bad publicity, etc sitegemei Lissu kuendelea shikiriwa, makelele yaaenda haribu kabisa sifa za Uongozi wa Samia kimataifa zaidi ya yaliyotokea Okt29.

COMMON WEALTH
Hii club waga iko too linient, sasa ikichukua hatua zozote za kukata mashirikiano yake na TZ, inaama club zote za wababe zilizobaki zitachukua hatua kali zaidi, na hawa watu hawanaga ngonjera za uvumilivu. Kumbuka hadi sasa watanzania washapigwa pin kwenda USA, unless uwe msanii au mfanyakazi wa serikali, ila tayari milio ya wafanyabishara kama kina Benja.F inasikika, hao kina Rostam watakuwa kimya tu sababu unaweza kuta ana Pass za kutosha, ila wafanyabiashara wengi sasa hivi ni kilio. Wanaomba Lissu aachiwe, tuanze onekana wasafi, biashara zirudi kama kawaida.

Yapo mengi, ila kifui dalili zote zinaonyesha Lissu is out.
 
Back
Top Bottom