Usiseme akikutwa a hatia. Kila mwenye akili timamu, na yeyote anahejua sheria, anafahamu kuwa Lisu hana hatia, wenye hatia ni hayo maharamia yanayoteka na kuua watu, na ndiyo yaliyomtengenezea kesi ya uwongo Lisu kwa vile yanataka yawe yanateka na kuua watu bila ya kuhojiwa, na yanajua kuwa Lisu ni kinara wa kuhoji kunapotokea ukiukaji wa haki.
Hivyo usiseme kiwa eti Lisu akipatikana na hatia, labda useme kuwa maharamia mauaji, yanayoitumia mahakama kwenye uovu wao, yakiamua kumwua Lisu kama yalivyofanya kwa maelfu ya Watanganyika, kutatokea nini.