Kutatokea nini Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa Vs akiachiwa huru na mahakama?

Kutatokea nini Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa Vs akiachiwa huru na mahakama?

Gharama za kumnyonga lissu zitakuwa kubwa kuliko kumuachia huru. Na zitakuwa kubwa kuliko bajeti ya vita.
Wake up, it is morning now! Hakuna mtu wa kuingia kwenye vita za kiraia kupigania uhuru na uhai wa Lissu. Wabongo tunawajua vizur
 
Kwenye hii Dunia nimeogopa kiumbe binadamu, binadamu wanabadilika sana
Inaonekana dhahir kwamba hakuna mtu anaeogopa kunyofoa roho yako wew ili alimde maslahi yake. Kujitoa kimasomaso ni kumaanisha kwqmba wewe mwenyew hujali chochote kuhus uhai wako. Wanakung'oa meno kweli ukahngaike na familia yako.

Angalia kelele zote zile za BBC n media nyingine. Leo hii kam hkuna kilichotokea, waliokufa hawajaamka n walio hai wanaishi vilevile hskun kilichobadilka
 
Hiyo turmoil wataiweza? Huku uraiani labda Kila mwana ccm awe na polisi wake wa kumlimda na hao polisi wawe na polisi wao wa kuwalinda pia wakimnyonga itakuwa ndio mwisho wa Tanzania salama na ndio mwisho wa ccm majengo ya umma vituo vya polisi nk vitabaki majivu sio Kila kiberiti ni Cha kutingusha.
Naunga mkono hoja...
Si kwa hoja zile za kumnyonga mtu...sijaona uhaini hapo
 
Watu wengi wanaongea kwa mihemuko, eti Lissu atafungwa ata miaka miwili then ataachiwa, sijui sheria wameisoma wapi.

Hapa Kuna mawili akutwe na hatia , ahukumiwe kunyongwa hadi kufa au hasikutwe na hatia achiwe huru na mahakama.

Kwa hizo scenarios kutatokea nini Lissu akikutwa na hatia na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa au akikutwa hana hatia/kosa na kuachiwa huru na mahakama.

Karibu
kitakachotokea nadhani ni ushindi mkubwa kwa sheria na katiba ya Tanzania 🐒
 
Mambo kadhaa yatajitokeza;
✓Watesi wake watafurahi sana
✓Watesi wake watatawala kwa amani (kwa mawazo yao)
✓Watesi wake, watahisi wamemaliza tatizo
✓CDM itarudi kuongozwa na Mbowe tena
✓Yeye Lissu atapoteza sifa za kugombea nafasi yeyote ya uongozi Nchini, na hili watesi wake wangependa litokee
 
Pole
 
Watu wengi wanaongea kwa mihemuko, eti Lissu atafungwa ata miaka miwili then ataachiwa, sijui sheria wameisoma wapi.

Hapa Kuna mawili akutwe na hatia , ahukumiwe kunyongwa hadi kufa au hasikutwe na hatia achiwe huru na mahakama.

Kwa hizo scenarios kutatokea nini Lissu akikutwa na hatia na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa au akikutwa hana hatia/kosa na kuachiwa huru na mahakama.

Karibu
Suala Lissu ndio linaamua Tanzania iingie kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe au ipone

Aliyetoa wazo au kuanzisha kesi ya Lissu alitarajia kuona Tundu analegeza msimamo.

Tundu akiwekwa mbali na siasa wafuasi wake na Watanzania waliokuwa wanasikiliza Sauti yake watakosa uongozi, watalazimika kuchukua Silaha.

Tundu Lissu akihukumiwa kwa namna yoyote ile basi Jumuiya ya kimataifa kwa nguvu kubwa itaweka vikwazo vya Nguvu kwa utawala haramu wa CCM
 
Inaonekana dhahir kwamba hakuna mtu anaeogopa kunyofoa roho yako wew ili alimde maslahi yake. Kujitoa kimasomaso ni kumaanisha kwqmba wewe mwenyew hujali chochote kuhus uhai wako. Wanakung'oa meno kweli ukahngaike na familia yako.

Angalia kelele zote zile za BBC n media nyingine. Leo hii kam hkuna kilichotokea, waliokufa hawajaamka n walio hai wanaishi vilevile hskun kilichobadilka
Kweli kabisa!?Basi upo vizuri mnooo kifikra.
 
Watu wengi wanaongea kwa mihemuko, eti Lissu atafungwa ata miaka miwili then ataachiwa, sijui sheria wameisoma wapi.

Hapa Kuna mawili akutwe na hatia , ahukumiwe kunyongwa hadi kufa au hasikutwe na hatia achiwe huru na mahakama.

Kwa hizo scenarios kutatokea nini Lissu akikutwa na hatia na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa au akikutwa hana hatia/kosa na kuachiwa huru na mahakama.

Karibu
Mmeshaingiwa na woga na taharuki isiyo na kichwa wala miguu...

Ujumbe rahisi tu ni huu: SI RAHISI HIVYO KUUA MTU KWA KUMNYONGA MCHANA KWEUPE KWA MASHITAKA YA UONGO YALIYOTENGENEZWA NA WATU WENYE CHUKI TU, KINA RAMADHANI KINGAI NA WENZAKE!!

Na sijui ni kwa nini watu tunashindwa kusoma mchezo huu pamoja na kutafsiri kwa usahihi mazingira na kila kauli na tendo linalohusiana na kesi hii...

Kwa wenye akili na ufahamu tulijua toka mwanzo hii kesi itaishia wapi na kivipi...

Kitendo cha jana cha DCI Ramadhani Kingai (ambaye ndiye aliyeandaa shitaka hili kuanzia kutengeneza kosa, kupeleleza na kuandaa ushahidi) kuingia mitini na kuogopa kwenda kutoa ushahidi wa kum - incriminate mtu aliyemshitaki na badala yake kuyamaliza wakiwa chemba, then IT'S THE END OF THIS CASE..

Na kauli ya Ramadhani Kingai "ya siwezi kutoa ushahidi kukutetea na nitafurahi ukikutwa na hatia" hata kama hakuitoa rasmi ili kuingia kwenye record za mahakama, ni ishara kuwa amekubali yaishe...!

Na ni kitu cha ajabu kingine ambacho watu wengi wameshindwa kuelewa logic yake ni kitendo kuwatolea taarifa wenzake CDF na IGP kuwa nao vivyo hivyo hawako tayari kwa upuuzi huo..

Tafsiri yake rahisi ya hiyo ni kuwa, BWANA TUNDU ACHANA NA MAMBO HIZI, ACHANA NA WAZEE HAWA (CDF & IGP), TUMEKUBALI YAISHIE HAPA NENDA KAFUNGE USHAHIDI WAKO UWE HURU MAISHA YAENDELEE....

DCI Ramadhani Kingai hakuishia hapo, akaingiza utani wa kusema, najua hunipendi na una bifu na mimi hivyo "NINGEFURAHI SANA UNGEKUTWA NA HATIA😂😂😂..."

Na kumbukeni huko nyuma...

Kwamba, wale mashahidi wakuu wa DPP ambao wengi ni Mapolisi walio chini ya huyu DCI Ramadhani Kingai walioendesha upelelezi, kukamata na kupeleka kesi kwa DPP walipofanyiwa cross examination in deep walikana kuwa IGP, DGIS, Rais na kamati ya ulinzi na usalama yote ya taifa hawakuwa wanajua lolote kuhusu uhaini huu na nini kilikuwa kinaendelea...🤔🤔🤔!!!

Ukiunganisha hili la jana la DCI Ramadhani Kingai (ambaye ndiye aliyeandaa shitaka hili kwa hatua zote), unagundua kitu kimoja tu....

Kuna kikundi kidogo cha kihuni ndicho kilichotengeneza hujuma hii nje ya mfumo rasmi wa ulinzi na usalama kwa kuwa tu wanamchukia Tundu Lissu na wanataka atoke ktk uso wao, yaani wamuue. Na hiki kikundi by all means, ndicho kilichopanga, kuratibu na kufanya mauaji ya 29/10 na baada ya hapo!!

Na Tundu Lissu sio mjinga kukubali hilo liishe kwa namna ile kwa sbb he knew exactly, AMEWAKAMATA NA KUWAWEKA KATIKA ENGO ALIYOTAKA!!

Maana yake Rais Samia Suluhu Hassan kadanganywa na kamati yote ya ulinzi na usalama wa taifa imeingizwa chaka na DCI Ramadhani Kingai...!!

Conclusion: Kwa scenario hii, it's obvious that the outcome of this case is vividly open - Tundu Lissu is NOT GUILTY, Tundu Lissu is a free man...!
 
Back
Top Bottom