Serikali dhalimuLissu hawezi kunyangwa, nina sababu kadhaa..
-Hukumu ya kifo haijawahi kutekelezwa hapa Tanzania miaka ya karibuni.
-Kesi yake ni ya uongo, wanamweka ndani kumkomoa tu.
- Pressure toka nje, hii serikali inayojitahidi kurudisha "urafiki"na wazungu ili wapewe misaada wafabye anasa zao, hawawezi kujiharibia zaidi.
Usimwamini mtanganyika mkuu. Sugu enzi za magu alidhani akiwekwa ndani mbeya haitokalika, lililomkuta anajua yeyeLisu ni Icon
View attachment 3677660
ikitokea tu court imesema Lisu anyongwe hadi kufa vita lazima itokee wananchi wengi wanahasira sana na yanayoendelea kwenye serikali dhalimu ,isiyo na haki ya ccm
vita vya nini sasa wakati sheria inatakelezwa kama ilivyo gentleman?Lisu ni Icon
View attachment 3677660
ikitokea tu court imesema Lisu anyongwe hadi kufa vita lazima itokee wananchi wengi wanahasira sana na yanayoendelea kwenye serikali dhalimu ,isiyo na haki ya ccm