‘Dodo’, ile ngoma la King Kiba, kalisikilize tena leo. Yawezekana hukuelewa jana na majuzi ile. Ni ngoma ambayo unaweza kuitumia kusaka ‘waifu’ flan hivi na ukafanaikiwa. Ni ngoma ambayo inakuwa tamu kadiri inavyoishi.
Yeah (Ye Baba)
Kupenda ni vitendo, Si maneno maneno, Leo nakupa kitengo...