kuolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chachasteven

    Wema Sepetu asema hayupo tayari kuolewa

    Wanangu wa udaku, Wema Sepetu kupitia kipindi chake cha 'Cook with Wema amezua balaa.' Msikilize hapa:
  2. BARD AI

    Serikali haitabadili miaka ya Wanajeshi kuoa na kuolewa

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Dkt. Stragomena Tax, ameliambia Bunge kuwa kwa sasa utaratibu wa miaka 6 utabakia kama ulivyo kutokana na misingi iliyowekwa kwa ajili ya kuwaandaa Askari hao kulinda nchi. Dkt. Stragomena amesema Askari wapya wanaojiunga na Jeshi wanabakia kuwa...
  3. N

    Kwa hali hii, Mmarekani hana mpinzani wadau: jiandaeni tu kuolewa!

    Yanayoendelea huko Ukraine na Russia nilifikiri ni mihemko na ujuaji mwingi tu wa wabongo.......kumbe ni kweli mzee mzima putin anakutana na wakati mgumu; Vyombo vyote ninavyoangalia sasa, hata vile visivyo rafiki wa marekani, vinatangaza tu sasa kuyumba kwa urusi. Nikikumbuka jinsi dunia...
  4. magombe junior

    Tunaoa au kuolewa kwa sababu zisizo sahihi

    Habari za muda huu wanajumuiya ya MMU wenzangu, ni matumaini yangu kila mmoja anaendelea vyema. Katika tafakuri ya weekend leo nimewaza jinsi ambavyo ndoa zinawasumbua vijana wengi kila mmoja na sababu yake ingawa ukiziangalia zote zinatoa jibu moja kua huenda tulioa bila kuzingatia sababu za...
  5. A

    SoC02 Kumaliza shule siyo tiketi ya kuoa ama kuolewa

    "Subiri nimalize shule" imeongeza idadi kubwa ya wasomi ambao wameshindwa kutimiza malengo yao. Wengi hudhani ya kwamba, kuhitimu masomo ndiyo mwanzo wa kuanzisha familia. Wakike kwa waume wanasahau ndoto zao za awali na kukimbilia kuoa ama kuolewa pasipo kutimiza zile ndoto walizokuwa nazo...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je, unataka kuolewa na mume Mwafrika asiye Mtanzania? Wajue wanaume wa Kiafrika na sifa zao

    WANAUME WA AFRIKA.! 1. Wanaume wakatili zaidi Afrika - Waangola, Warundi na Wanubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao "Msamaha". 2. Wanaume wanaojali zaidi familia zao Afrika - WaSenegal. 3. Wanaume wanaopigwa zaidi na wake zao - Wakenya (Kati ya wanaume 10...
  7. Akili Unazo!

    Hivi kwanini mwanamke akitaka kuolewa anatolewa mahari?

    Hongera kwa kuvumilia maumivu ya tozo, pia msisahau kulipa ada kwa wale mliozaa kwenye ndoa au nje ya ndoa. Kwa nini mwanamke akitaka kuolewa kuna huu upuuzi sijui; Kupeleka barua ya posa Sijui kutoa mahari Sijui Kumvalisha pete ya uchumba Hivi ndoa haiwezi kufanyika bila huu mlolongo wa...
  8. Frumence M Kyauke

    Uzi maalumu kwa wasiotaka kuoa wala kuolewa

    Hii ni sehemu maalumu kwa wale wote wasiokuwa na mpango wa kuoa na kuolewa. Tupia Likes, Comments kuhusiana na uamuzi huu mgumu.
  9. K

    Kumbe nyumba ndogo nyingi zina tamani kuolewa

    Kwa kiutafuti changu ktk mazingira yaliyo ni zunguka na story za kitaa. Nimegundua nyumba ndogo nyingi sana zinatamani maisha ya ndoa. Kuna mademu kama wanne nawajua. Kuna mmoja alikuwaga mwandishi wa habari, huyu mdada alizaa na mzee mmoja anafanya kazi UN.Dada ana shape la maana,mzee...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Sitakuoa kwa sababu ninakupenda bali kwa sababu unastahili kuolewa na Mimi

    SITAKUOA KWA SABABU NINAKUPENDA, BALI KWA SABABU UNASTAHILI KUOLEWA NA MIMI. Anaandika, Robert Heriel. Naweza kukupenda lakini nisikuoe kama haustahili. Ninauwezo wa kuutiisha moyo wangu ufanye kile akili yangu itakavyo. Kupenda ni tendo lisilo la hiyari, lakini kuendelea Kupenda ulichokipenda...
  11. Willima

    Wanawake wana haki ya kubaki na majina yao ya ukoo (surname) baada ya kuolewa

    Wanawake kubadili majina yao ya ukoo (surname) baada ya kuolewa na kufuata majina ya waume zao ina onyesha au kuashiria hali ya utegemezi wa mwanamke kwa waume zao, mwanamke kufuata jina la mume wake baada ya kuolewa kunaashiria kuwa yeye ni mali ya mwanaume (mume wake), na anakosa mamlaka ya...
  12. Ravalomanana

    Kila mwanamke anataka kuolewa na Mwanaume mrefu tu

    Leo hii kila mwanamke anasema hataki kuolewa na mwanaume mfupi, kila mwanamke anataka mwanaume mrefu na warefu ni wachache sana, sasa hao wanawake wataolewa na nani ikiwa wanaume warefu wanahesabika?
  13. Mboka man

    Je ni kweli wazazi huwa wanaona mbali linapofika kuoa au kuolewa

    Japo sio wote ila kuna aina flani ya wazazi ambao linapofika swala la kuoa au kuolewa wana tabia ya kuwapinga watoto wasioe au kuolewa kutokana sababu wanazozijua wenyewe kama vile kabila , Dini, familia n. K kwa hofu watoto watakuja kuteseka Je katika hili kuna ukweli wowote ule
  14. Joao de Matos

    Kuzaa na mtu haikupi uhalali wa kuolewa naye

    Kuzaa na mtu sio ndoa, unaweza ukazaa na mtu na asikuoe pia na hata ukalalamika kwa wazee wake kama hata taka kukuoa hatakuoa tuu. Wasichana ujitunzi usizae tuu, na hata wazazi wako wakisema na kulalamika kwa familia ya mwanaume huyo mwanaume anaweza akakubali mtoto na asikuoe. Kuna kijana...
  15. DENG XIAOPING

    Kipi ni bora - Useja au kuoa/kuolewa?

    *USEJA - hii ni ile hali ya mtu kuishi bila ndoa. Swali: Kwa dunia ya Sasa na maisha ya sasa yalivyo kipi ni bora kuishi maisha ya useja au kukubali kuoa/kuolewa? - Kwangu Mimi maisha yaliyo bora ni kuishi kwenye useja. - Vipi kwenu nyie wanajamii majibu yenu ni yapi [ useja au kuoa/kuolewa ].
  16. royal tourtz

    Mwanamke wa miaka 27, kuendelea anakuja kuwa mwanamke wa kuaminika zaidi kuolewa kuliko chini ya umri huo

    za mda huu wadau, Niende kwenye mada moja kwamoja, tofauti na zamani ilivyokuwa, yaani mwanaume akitaka kuoa anatatafuta dogo dogo amkuze mwenyewe.. na wengi ilikuwa dogodogo wa kipindi hicho walikuwa wanakutwa bado bikra kabisa na unamtengeneza unavyotaka wewe. Kwa sababu zana ya kupata...
  17. Samson Ernest

    Namna Ya Kukabiliana Na Matamanio/Matarajio Yako Na Ya Wazazi/Ndugu Kuhusu Kuoa Na Kuolewa

    Wazazi wanapitia changamoto ya watoto wao kutoolewa na kutooa kwa wakati waliotarajia wao, vijana wa kiume wakiulizwa kuhusu hili wana sababu nyingi juu ya hili. Wapo watakuambia bado hawajaona wa kumuoa, wengine watasema wasichana wanachagua sana wanaume wa kuwaoa, wengine watakuambia muda...
  18. S

    Kwani kuolewa ni utumwa, mpaka wanaume wakinipa ofa za lift na kinywaji nizikatae?

    Kwani nani kasema kuolewa ni utumwa? Yaani hata nikikutana na mwanaume niliyecheza ama kusoma naye nimkimbie? Hata ofa ya kinywaji niikatae??
  19. Babe la mji

    Sio kila mwanamke anafaa KUOLEWA wengine wameumbwa kwa ajili ya kusterehesha wanaume ukilazimisha kumuoa wa namna hiyo basi kama sio jela utakufa tu

    Wakuu kufuatia tukio lililotokea juzi jijini mwanza kwa wanandoa kutoana uhai basi nimeona nitoe ushauri wangu kidogo kuhusu hili jambo. Namfahamu Oswayo vizuri Sana ni mfanyabiashara wa samaki aina ya sangara na Kwa aina ya u chumi wa Tanzania ana Mali ambayo ikipigiwa hesabu sio chini ya...
  20. Baharia Mahaba

    Ambao huwa tunasubiri majibu mpaka wapenzi wetu wanaoa au kuolewa na watu wengine, tukutane hapa

    Katika haya maisha binadamu tunapitia mambo mengi sana makubwa na mazito pia ambayo katika hali ya kawaida unaweza kukaa na kufikiria umewezaje kuchomoka salama? Eneo linaloongoza kwa vitimbi na kashkash nyingi katika maisha ya mwanadamu ni suala la mahusiano. Sasa leo nataka tujuzane yule mtu...
Back
Top Bottom