kuolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mliooa na kuolewa tujuzeni tafwadhali

    Mlifanya hizo harusi zenu mkiwa na miaka mingapi??
  2. JamiiForums Tanzania Hivi huyu Lilian Mwasha nae ni Mchungaji? Haya wale Wanawake ambao bado hamjatupata wa Kuwaoeni mwenzenu kasema Umri sahihi wa Kuolewa ni miaka 40

    Mchungaji lilian_mwasha alipoulizwa kuhusu umri sahihi wa binti kuolewa ni umri gani. Kwa upande wake amesema kuwa umri sahihi wa mwanamke kuolewa ni miaka 40. Chanzo Taarifa: officialmkaliwenu Ninavyojua tu ni kwamba Wanawake wa huu Umri wa 40 Idara zao zote huwa tayari zimeanza Kuchoka na...
  3. JamiiForums Tanzania Mume akifa ni marufuku mke kuolewa tena ila akitangulia mke ni ruksa mume kuoa tena

    Wakubwa hili jambo ni la wazi sana na sitegemei kuna mtu hapa ataanza kubishana maana liko wazi sana hata kwenye mila na desturi zetu. na hata kimatinki tu haingii akilini yani wewe na baby wako mmechuma pamoja hlf ghafla unakata moto eti anatokea dume suruari mmoja na ke.nde zake mbili...
  4. JamiiForums Tanzania Hatua 5 wanazopitia watu walioko kwenye mahusiano

    HabarinI ndug zangu Leo nimekuja na mada inayowahusu watu waliopo kweny ndoa au waliopita kweny ndoa Katika mahusiano Kuna hatua 5 kutonakana nadharia ya (chall Chapman). Je? Wew ulio katika stage ipi kati ya hizi 1.romantic stage;hii ni hatua ya kwanza katika mahusiano yanapozaliwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Dada yangu anakaribia kuolewa na Tapeli, Nichukue hatua gani?

    Poleni na pilika na mbio mbio za maandalizi ya uchaguzi,vita ya congo na changamoto binafsi za maisha. Mimi Mbwichichi katika kuhangaika kwangu kuyatafuta maisha nimebahatika kukutana na watu mbalimbali wa kila aina,zaidi nimejifunza sana kutambua saikolojia za watu baada tu ya kuona matendo...
  6. JamiiForums Tanzania Je ni sawa kuolewa na kaka yako wa kambo?

    Nimeshirikishwa kwenye mgogoro wa kifamilia ambao wazazi waliooana wote wakiwa na watoto waliozaa kwenye mahusiano kabla ya ndoa. Wakati wanaoana, mtoto wa kiume alikuja na mke / mama akiwa na miaka 9 na mtoto wa kike alitokea upande wa mume na alikua na miaka 4. Hawajachangia damu ila wote...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke mwenye miaka 30+ asiolewe?

    Sio maneno yangu ni maneno ya mwanasaikolojia. Anasema mwanamke 30yrs hana jipya. Ametumika na wanaume wengi anatafuta pensheni na sio ndoa
  8. JamiiForums Tanzania Anayewahamasisha mtoe watoto English Elementary ndio huyo ana support bunge la Iraq kuruhusu wasichana wa miaka 9 kuolewa

    Mhamasishaji wenu: https://www.jamiiforums.com/threads/nasimama-na-bunge-la-iraqwi.2301833/ Kumtapeli mbongo ni raha sana, we mpatie vimaneno vimaneno vya hamasa ghafla ulimbukeni wake utaanza kutiki one by one hadi unamchukua mazima. Anaewaambia mtoe watoto elementary eti mnapoteza hela ndio...
  9. JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa waliokosea kuoa na kuolewa au kuwa kwenye mahusiano

    Ndugu zangu salaam Huu ni uzi maalum kwa wale waliokosea kuoa na kuolewa pia kw wale waliokosea kuwa kwenye mahusiano. Tuambieni ni nini ulikiona kwa mwanamke wako au mwanaume wako ukagundua hapa ulikosea kuoa au kuolewa nae. Pia kwa wale wengine tuambieni ni nini mlikiona kwa wapenzi wenu...
  10. JamiiForums Tanzania Ukichelewa kuoa au kuolewa ni ngumu kumpata mwenza mnayeendana

    Ukichelewa kuoa au kuolewa ni NGUMU SANA kumpata mwenza mnayeendana. Huu ni mtazamo tu wakuu japo najua kila mtu anaweza kuwa na namna yake ya kutazama mambo lakini mimi naona kama ni ngumu sana kwa wengi ya senior bachelors kupata wenza sahihi maana wale waliopaswa kuwa nao wanakuwa tayari...
  11. JamiiForums Tanzania Kama unataka kuolewa na Bilionea, kama alivyoolewa mke wa Mwamposa, ruka hapa fastaa

    Mwaka 2025 usikae kihasara Nikikuita kwenye darasa la Feminine unaona nakuibia Mmemwona Mke wa Bilionea Mwamposa? Alivyo mrembo? Alivyo FEMININE? Hivyo ndivyo wanaume wakiwa na hela wanachagua wanawake wanaowataka wao, ambao walishindwa kuwamiliki wakiwa hawana hela We zubaa hapo, shauriako...
  12. JamiiForums Tanzania Hakika tunawachezea na kuwaacha ili tukaoe waliochezewa na wanaume wenzetu.

    Ndugu zangu kufuatia mwaka huu mpya mwanzoni kabisa ni bora kwa kifupi kuweka huu ukweli mchungu kabisa ili watu wajitafakari upya. Nikweli tunawachezea na kuwaacha na kwenda kuoa na kuolewa na walio chezewa hivyo hivyo. A) WANAUME AMBAO HAMJAOA Wanaume wenzangu unapokua na mwanamke kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Oh Mungu wajalie waja wako, waoe na kuolewa mwaka huu

    Kila anayehangaika kupata mwenza ili aoe au aolewe, mwaka huu afanikiwe na sote humu pia tuwasaidie, watimize lengo lao.
  14. JamiiForums Tanzania Mdahalo wa ndoa, Idadi kubwa ya Waafrika wanaamini kuoa au kuolewa ni kufanikiwa maisha, hoja zangu ni za upande wa hasara, weka zako

    Idadi kubwa ya Waafrika wanaamini kuoa au kuolewa ni kufanikiwa maisha ndiyo maana neno ndoa limekuwa likipigiwa kelele kila kona huku maswali ya kuoa au kuolewa yakizidi kusumbua akili za watu wanaoulizwa au kuwakera ikitegemea na namna mtu anavyochukuliwa Ukweli ni kuwa Kuoa au Kuolewa sio...
  15. JamiiForums Tanzania Wauza uduvi jijini Dar hatarini kuolewa!

    Wauza uduvi wote Dar wapewa tahadhari ya kujiongeza vinginevyo WATAOLEWA! **Mwenye mahari anakaribishwa https://youtu.be/LIjez6dA9jw?si=-v8WNpI7o76jClr2
  16. JamiiForums Tanzania Binti, kama unampango wa kuolewa usichelewe kuolewa. Umri sahihi 20 - 30

    BINTI, KAMA UNAMPANGO WA KUOLEWA USICHELEWE KUOLEWA. UMRI SAHIHI MIAKA 20 - 30. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuolewa ni faradhi lakini kuzaa inaweza kuwa majaliwa yaani mapenzi ya MUNGU. Ikiwa unajua kuna siku utataka Kuolewa au utaolewa Basi ninakushauri usichelewe kufanya hivyo. Umri...
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake njooni hapa mfahamu wanaume tunataka mwanamke wa aina gani

    Tumekaa Wakataa Ndoa na tulio ndani ya Ndoano, tumekuja na Ukweli Mchungu kwa Faida yenu wanawake Ndoa sio lelemama, sio karata za Bahati Nasibu, na kwa hakika sio safari ya majaribio. Hii ni safari ya milele inayohitaji maarifa, uvumilivu, na upendo wa kweli. Tukiwa tumejifunza mengi kupitia...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua mke kuolewa siyo bahati bali awe na sifa hana tofauti na kiwanja sehemu nzuri kununuliwa ni chapu kwa haraka kuliko magumegume

    Wanaosema kuolewa ni bahati huwa wanajifariji tu! Ukweli ni kwamba kuwa mke wa mtu ni vigezo na sifa maalum ambavyo siyo kila mwanamke anavyo! Kutokuwa malaya haina maana unasifa moja kwa moja kuwa mke wa mtu bali hii ni tabia njema ingawa siyo tiketi ya kuolewa! Mwanamke mwenye sifa ya...
  19. JamiiForums Tanzania Nataka kuolewa, ila nataka nieendelee na uhuru wangu

    Ntaka niolewe lakini niendelee kuwa na uhuru wangu! Nina mchumba wangu ambaye Mungu akipenda, mwezi huu mwishoni tunafunga ndoa. Hata hivyo, nimeshaanza kuogopa. Sio kwamba ananifanyia kitu kibaya au ni mtu mbaya, hapana, lakini kuna mambo yanatokea ambayo sijayapendi. Mchumba wangu ni daktari...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kuolewa ukiwa na miaka 30+ ni kumfanyia ukatili mumeo

    Kibaolojia, mwanamke hukata moto wa kuchakatana (kugegedana) na hukoma kuzaa akiwa na 45 ama chini ya hapo. Ndiyo kusema kama mwanamke ameolewa na 32 tafsiri yake ni kwamba atakuwa consummated (atagegedwa) kwa miaka isiyozidi 12 tu. Baada ya hapo anakuwa sawa na mlinzi wa getini tu. Sasa vipi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…