Mume akifa ni marufuku mke kuolewa tena ila akitangulia mke ni ruksa mume kuoa tena

Mume akifa ni marufuku mke kuolewa tena ila akitangulia mke ni ruksa mume kuoa tena

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
5,168
Reaction score
8,982
Wakubwa hili jambo ni la wazi sana na sitegemei kuna mtu hapa ataanza kubishana maana liko wazi sana hata kwenye mila na desturi zetu.

na hata kimatinki tu haingii akilini yani wewe na baby wako mmechuma pamoja hlf ghafla unakata moto eti anatokea dume suruari mmoja na ke.nde zake mbili anaanza kujinasibisha na izo mali😳😳kwanza hata dini zetu hazitaki.

si ndio wakuu au kuna mwenye tashwishi?

Cc::
Joannah
Joanah
Lamomy
Anastasia21
realMamy
cocastic
 
Hii itategemea umekufa na kumuacha mke akiwa na umri gani, akiwa mzee(zaidi ya miaka 55) hiyo yawezekana asiolewe, ila kama umemuacha akiwa umri mdogo(chini ya miaka 50) hapo yawezekana akapata mme wa kumuoa.
 
Back
Top Bottom