Shida ndugu wana wivu na mali za ndugu yao marehemu. Unavyoishi tafuta kibali cha ndugu pia ili uwe huru kuolewa kama mtoto wao..yaani baba mkwe apokee mahali kwa binti au baba mkwe atoe mahali kwa kijana wake aliyefiwa na mkendio. kwani shida iko wapi kiongozi? mbona mambo mengine marahisi tu mbona mnayakompliketi ivo?