Mume akifa ni marufuku mke kuolewa tena ila akitangulia mke ni ruksa mume kuoa tena

Mume akifa ni marufuku mke kuolewa tena ila akitangulia mke ni ruksa mume kuoa tena

hakuna "kutegemea" bana, usihalalishe haramu🚮
Akifiwa anaruhusiwa kuoa au kuolewa, hata mandiko yamesema "kwa sababu ya zinaa mtu na awe na mke wake au mume wake" sasa unataka mwanamke kijana wa miaka 30s afiwe na mumewe asiolewe tena afanye zinaa ovyo ovyo na waume wa watu?
 
ndio. kwani shida iko wapi kiongozi? mbona mambo mengine marahisi tu mbona mnayakompliketi ivo?
Kijana mwanamke wa miaka 30s unategemea asifanye mapenzi? Maandiko yamesema kwa sababu ya zinaa mtu na awe na mke au mume wake! Asiolewe kwa sababu tu ya wivu wa marehemu? Tambua mtu mfu ya dunia sio yake tena
 
Si mmesema mwanamke anachangia pato la familia? Wacha aolewe, ameshiriki kuchuma pia. Kama hakushiriki arithiwe na kaka au wadogo zako
 
Wakubwa hili jambo ni la wazi sana na sitegemei kuna mtu hapa ataanza kubishana maana liko wazi sana hata kwenye mila na desturi zetu.

na hata kimatinki tu haingii akilini yani wewe na baby wako mmechuma pamoja hlf ghafla unakata moto eti anatokea dume suruari mmoja na ke.nde zake mbili anaanza kujinasibisha na izo mali😳😳kwanza hata dini zetu hazitaki.

si ndio wakuu au kuna mwenye tashwishi?

Cc::
Joannah
Joanah
Lamomy
Anastasia21
realMamy
cocastic
Ongeza "Nikifa Mke wangu marufuku kuolewa"
 
kijana unaruhusu hisia ndo zikuongoze?
Unafikiri uko duniani hizo hisia utaziweka wapi? Hata ambao hawakuolewa baada ya kufiwa na wenza wao walijaribu mahusiano hayakuwafaa, wengine walikutana na wahuni tu, wengine hawakuwapenda watoto wao, wengine wanakutana na waume za watu, basi wanajionea kasheshe wanaamua kuachana na mapenzi wanaona bora walee watoto walioachiwa na waume zao wapenzi.
 
Wakubwa hili jambo ni la wazi sana na sitegemei kuna mtu hapa ataanza kubishana maana liko wazi sana hata kwenye mila na desturi zetu.

na hata kimatinki tu haingii akilini yani wewe na baby wako mmechuma pamoja hlf ghafla unakata moto eti anatokea dume suruari mmoja na ke.nde zake mbili anaanza kujinasibisha na izo mali😳😳kwanza hata dini zetu hazitaki.

si ndio wakuu au kuna mwenye tashwishi?

Cc::
Joannah
Joanah
Lamomy
Anastasia21
realMamy
cocastic
Sio kweli hayo ni maawazi yako.nilidhani ungetoa hat kifungu cha mstari labda hata wa kitabu cha dini kumbe ni mawazo tuu.
Kingine nimaamuzi ya mfiwa.
Mbona kuna mtu anafiwa na mke haowi tena maisha yake yote hata kama uwezo wa koa anao au mwanamke anafiwa na mumewe haolewi tena maisha yake yote hata kama uwezo wa kuolewa anao.
 
Kwangu Mimi naona ikiwa umeacha mke ana watoto pengine watatu au wanne sioni haja ya kuolewa ukizingatia watoto pengine ni wadogo......

Bora atulie alee watoto wake, japo mwenye maamuzi ya mwisho ni mjane mwenyw
 
Back
Top Bottom