Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
- Thread starter
- #61
Haa🙆♂️Ni
Ni mjinga tu ambae anawaza mkewe asiolewe baada ya kufa kwake.
Mie nikifa, mke wangu akimaliza eda yake kama dini isemavyo, ni ruksa kuolewa.
Haa🙆♂️Ni
Ni mjinga tu ambae anawaza mkewe asiolewe baada ya kufa kwake.
Mie nikifa, mke wangu akimaliza eda yake kama dini isemavyo, ni ruksa kuolewa.
Ng'waaa nini?Haa🙆♂️
Hata kamaKwani ulimkuta Bikira?
Akifiwa anaruhusiwa kuoa au kuolewa, hata mandiko yamesema "kwa sababu ya zinaa mtu na awe na mke wake au mume wake" sasa unataka mwanamke kijana wa miaka 30s afiwe na mumewe asiolewe tena afanye zinaa ovyo ovyo na waume wa watu?hakuna "kutegemea" bana, usihalalishe haramu🚮
Kijana mwanamke wa miaka 30s unategemea asifanye mapenzi? Maandiko yamesema kwa sababu ya zinaa mtu na awe na mke au mume wake! Asiolewe kwa sababu tu ya wivu wa marehemu? Tambua mtu mfu ya dunia sio yake tenandio. kwani shida iko wapi kiongozi? mbona mambo mengine marahisi tu mbona mnayakompliketi ivo?
kijana unaruhusu hisia ndo zikuongoze?mwanamke wa miaka 30s unategemea asifanye mapenzi?
Ongeza "Nikifa Mke wangu marufuku kuolewa"Wakubwa hili jambo ni la wazi sana na sitegemei kuna mtu hapa ataanza kubishana maana liko wazi sana hata kwenye mila na desturi zetu.
na hata kimatinki tu haingii akilini yani wewe na baby wako mmechuma pamoja hlf ghafla unakata moto eti anatokea dume suruari mmoja na ke.nde zake mbili anaanza kujinasibisha na izo mali😳😳kwanza hata dini zetu hazitaki.
si ndio wakuu au kuna mwenye tashwishi?
Cc::
Joannah
Joanah
Lamomy
Anastasia21
realMamy
cocastic
Unafikiri uko duniani hizo hisia utaziweka wapi? Hata ambao hawakuolewa baada ya kufiwa na wenza wao walijaribu mahusiano hayakuwafaa, wengine walikutana na wahuni tu, wengine hawakuwapenda watoto wao, wengine wanakutana na waume za watu, basi wanajionea kasheshe wanaamua kuachana na mapenzi wanaona bora walee watoto walioachiwa na waume zao wapenzi.kijana unaruhusu hisia ndo zikuongoze?
Hata maandiko yanatambua kuna zinaa duniani ndio maana yakasema mtu awe na mke au awe na mume wakekijana unaruhusu hisia ndo zikuongoze?
haswaaa. tena wakome kabisa wanawake wotè hawa kwani hawawaoniOngeza "Nikifa Mke wangu marufuku kuolewa"
upo sahihi kabisa kiongozi, mke hatakiwi kuolewa mmewe akishakufa
Sio kweli hayo ni maawazi yako.nilidhani ungetoa hat kifungu cha mstari labda hata wa kitabu cha dini kumbe ni mawazo tuu.Wakubwa hili jambo ni la wazi sana na sitegemei kuna mtu hapa ataanza kubishana maana liko wazi sana hata kwenye mila na desturi zetu.
na hata kimatinki tu haingii akilini yani wewe na baby wako mmechuma pamoja hlf ghafla unakata moto eti anatokea dume suruari mmoja na ke.nde zake mbili anaanza kujinasibisha na izo mali😳😳kwanza hata dini zetu hazitaki.
si ndio wakuu au kuna mwenye tashwishi?
Cc::
Joannah
Joanah
Lamomy
Anastasia21
realMamy
cocastic
🤝🤝🤝Sahihi
🙆♂️Mila za wapi hizo?