Kwa kiutafuti changu ktk mazingira yaliyo ni zunguka na story za kitaa. Nimegundua nyumba ndogo nyingi sana zinatamani maisha ya ndoa.
Kuna mademu kama wanne nawajua. Kuna mmoja alikuwaga mwandishi wa habari, huyu mdada alizaa na mzee mmoja anafanya kazi UN.Dada ana shape la maana,mzee...