Kwema wakuu!
Katika duru za kisiasa, kinachoendelea ni sakata la Mhe. Spika na Mkuu wa nchi, Mhe. Rais Samia.
Nimesikiliza pande zote mbili nikaona nami nitoe maoni yangu.
Kama mimi ndio ningekuwa Spika nisingeomba Msamaha, ningeweza kufafanua kauli zangu kwa namna ya kutetea kile nilichokuwa...