kuongea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CHADEMA kuongea na waandishi wa habari Makao Makuu ya Chama

    Hii ndio taarifa inayosambaa duniani hivi sasa, Mkutano huo wa Kimataifa utafanyika Makao Makuu ya CHADEMA, Kinondoni Mtaa wa Ufipa, Nje kabisa ya Jiji la Dar es Salaam. Wote mnakaribishwa. Muhimu : Fuata mwongozo wa WHO wa kujikinga na ugonjwa hatari wa Corona
  2. Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika kuongea na Vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi Makao Makuu ya Chama

    Ataongea kwenye Makao Makuu ya Chama , Kinondoni Mtaa wa Ufipa kuanzia saa 5 asubuhi, fahamu kwamba neno la CHADEMA ndio neno la wananchi. Ni muhimu Tuzingatie mwongozo wa WHO wa kudhibiti maambukizi ya Corona kwa kuvaa Barakoa. Wote Mnakaribishwa.
  3. Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula kuongea na Vyombo vya Habari vya ndani na nje ya nchi

    Hii ndio taarifa aliyoisambaza kwa wahusika wote wa ndani na nje ya nchi, na kwamba Mkutano huo utafanyika nyumbani kwake maeneo ya Kimara suka tarehe 17/2/2021 kuanzia saa 5 Asubuhi. Kwa wale ambao ni Wageni wameelekezwa kufika hadi Kimara Suka halafu waelekee Golani hadi kituo cha Polisi cha...
  4. Kwa hoja za hawa wanazi wa CCM, ni dhahiri tumeanza kuongea lugha moja

    Rejea kichwa cha habari juu. Kwa sasa bungeni hakuna wapinzani wa kweli, kwa hoja za wabunge halisi, wanazi, wanachama kindaki ndaki, watiifu wa CCM kama Nape Mnauye, Joseph Musukuma kuhusu kufungwa kwa biashara sasa tunaelekea kwenye chumba kimoja. Hii ni dalili ya kuanza kuongea lugha moja...
  5. Mtaalam, mwenye uwezo na mzoefu wa kuongea na maruhani anahitajika

    Wana Body, anahitajika mtaalam, mwenye uzoefu na mwenye uwezo wa kuongea na MARUHANI, atalipwa kwa kazi hii ya masaa machache au lisaa tu. swala hili ni nyeti sana kuna mazungumzo ya kina na maswali na majibu yatahitaji kujibiwa na kuulizwa. Anaye mfahamu mtu huyo tafadhali msaada ni kwa nia...
  6. Wakenya wamcharukia Rais wao kwa kuongea kilugha (Kikuyu)redioni

    Wiki moja iliyopita Rais Uhuru alienda kwenye moja ya Redio na kufanya mahojiano kwa lugha ya Kikuyu mwanzo mwisho, jambo ambalo limewaacha Wakenya wengi njia panda. Na mijadala inaendelea kumzodoa Raisi.
  7. M

    Mliosoma vyema Communication Skills na Public Speaking hii style ya Kuongea ya Abdul Nondo wa ACT-Wazalendo inaitwaje?

    Kila anapoitisha tu Press tegemea yafuatayo kutoka Kwake.... 1. Kuongea kwa Kufokafoka kuwazidi hata akina Fid Q na Chidy Benz. 2. Kutemea sana Mate ( Kulowesha ) Vipaza Sauti vya Watu kama Chatu akitaka Kula Kitoweo chake. 3. Kupenda Kupigapiga Meza utadhani ana Ugomvi nazo kwa muda mrefu. 4...
  8. Dumu la mafuta ya kupikia lita 20 ni 82000 na cement ni 24000, hakuna wa kuongea tena!

    Nani atawasemea tena Watanzania kuhusu hizi gharama za kila kitu kupanda? Je, bado hatuoni faida ya Wapinzani Tanzania? Je, ni Wapinzani pekee wanaumizwa na gharama hizi? Maoni yako tafadhali. Tukumbuke cement haitoki nje (kisingizio cha COVID-19 hakipo). Tunalima alizeti mikoa mingi tu...
  9. Q

    Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kuongea na Taifa leo Jan 03, 2020 jioni

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii (YouTube, Twitter na Instagram), kuanzia saa 1.00 jioni. Stay tuned!
  10. Anayehitaji kufundishwa lugha ya kingereza kuongea na kuandika tuwasiliane

    Kama tujuavyo Teknolojia inaturahishia kujifunza Mambo mbali Bila kukaa darasani, Hivyo Basi kwa yule ambaye atahitaji kujifunza lugha Hii adhimu kwa ajili ya mahitaji yake Binafsi kama vile biashara, masomo , mahusiano , dini n.k Basi tuwasiliane PM, Masomo Yetu yako kwa njia ya WhatsApp na...
  11. Nitazidi kuongea hata kama mkiniita tapeli

    Humu ndani ukizungumza habari za Forex na Bitcoin, unaitwa tapeli. Iteni mpendavo lakini lazima niwachangamshe akili kidogo. Bitcoin moja leo imefika USD 23,000 ( Kama Tzs 53 Million. Na tarehe 16 March mwaka huu 2020, bei ya bitcoin moja ilikuwa inauzwa kwa Tzs 11 Million, maana yake ni...
  12. Airtel Money huduma mbovu sana, haya mmeondoa kipendele cha kuongea na muhudumu kimya kimya

    Kuna wakati hawa jamaa siwaelewi kabisa yaani kwenye hii Airtel Money, ukinunua luku wanakuletea tu kuwa malipo yako yamefanyika bila kuleta balance ya akaunti yako baada ya muamala huo kufanyika. Ukitaka kufanya muamala kama salio halitoshi wanakutumia msg salio halitoshi bila kuonyesha salio...
  13. Aliyekufa na kuzikwa zaidi ya miaka 20 iliyopita apatikana ila hawezi kuongea

    Nimekutana na hii habari. Mimi bado nina maswali mengi ===== Kijana aliyefariki tangu mwaka 1994 amepatikana na kukukutana tena na familia yake Mama yake amemtambua na kujiridhisha kuwa ni mwanaye baada ya kutambua baadhi ya maeneo ya mwili wake Kijana huyo hana uwezo wa kuzungumza kwa sasa...
  14. Viongozi wa Juu wa CHADEMA kuongea na Wanahabari Novemba 25, 2020 Makao Makuu ya Chama, Kinondoni

    Kesho Jumatano, Novemba 25, 2020, CHADEMA kupitia uongozi wa juu wa Chama, kitazungumza na Umma wa Watanzania kupitia waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari, katika mkutano utakaofanyika Ofisi za Makao Makuu ya Chama, kuanzia saa 5 asubuhi. Asanteni. Wote Mnakaribishwa.
  15. Anayejua software ya ku-type kwa kuongea

    HELLO Habari wana jamvi mimi nimepata shida kidogo mahali nilikuwa nimepewa kazi moja ila kwa kweli ni kubwa mno. Nina makaratasi hapa kama yote na yameandikwa kwa lugha ya kingereza sasa nilikuwa nataka software nzuri kwa ajili ya kunisaidi kurahisisha kazi, mimi niwe naongea tu yenyewe iwe...
  16. Hivi kuna Mwanasiasa kweli wa Kitanzania mwenye Ujasiri wa kuongea maneno haya mbele ya Hakimu kama Boby Wine wa Uganda?

    Baada ya Kukamatwa Juzi na leo kupelekwa Mahakamani angalia jinsi Mwanasiasa Jasiri wa Uganda Robert Kyagulanyi alias Boby Wine alivyojitetea. "I am not here because I committed a crime. I am here because I offered myself to lead Ugandans into ending 35 years of a dictatorship," Presidential...
  17. J

    Jinsi ya kuongea unaposhinda Uchaguzi, au unaposhindwa. Chama Tawala na Wapinzani wanapaswa kujifunza

    Mwanasiasa anaposhinda uchaguzi anatakiwa azungumze kwa namna itakayoteremsha joto la uchaguzi. Hii ni hotuba aliyoitoa Bill Clinton wa Marekani baada ya kushinda uchaguzi. Nilitaka niweke hotuba ya Obama lakini nadhani ile ina vionjo vya kihistoria. Aliyeshindwa uchaguzi naye anatakiwa...
  18. Polepole aache kuongea ongea, anaboa

    Huyu jamaa Hana lolote la kutuaminisha, aache kuongea ongea, tunajua bhana how life goes, alichokifanya JPM Kila moja anajua bhana, kanunua midege, kajenga barabara za mtaa, kajenga majengo ya vituo vya afya bila watendaji kazi, SGR na bwawa la umeme, japo mpaka sasa 80% ya Watanzania...
  19. D

    Kesho Jumamosi viongozi wakuu wa CHADEMA, ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari-Makao Makuu ya CHADEMA

    Kesho majira ya saa nne asubuhi viongozi wakuu wa CHADEMA na ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari. Yatafanyika Makao Makuu ya CHADEMA mtaa wa Ufipa Kinondoni. Stay tuned!
  20. Q

    Uchaguzi 2020 John Mnyika: Kuongea na vyombo vya Habari, saa 8 mchana

    John Mnyika: Jitihada za mawasiliano na NEC juzi, jana na leo mpaka muda huu kudhibiti hujuma kwenye uapishaji wa mawakala zimekwama maeneo mengi. Nitazungumza vyombo vya habari HQ saa 8 mchana. Kwa sasa , #PeoplesPower itumike maeneo ambayo hujuma zinaendelea. #SasaBasi. ===== MNYIKA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…